Dont let me cheat on my ........, Oohh Lord!!!

Shukrani tele kwa makochi ya reception hahahahaha lol!!!! yameweza kuzuia mgegedo wa nguvu 🙂🙂...Natumai umefika home salama salimini.

Wapendwa nashukuru kwa sala zenu, kweli tuliongea sana till late hours tukiwa wote sobar na nguo zetu maana tulikuwa tunaongea kwenye makochi ya reception ya hotel afterward kila mtu alienda kulala. HApa niko KIA nasubiria flight yangu kurudi home safely. Trust me nothing happen btw the two of us. BAK usihofu wala usitie shaka u know mie huwa siko kirahisi, sijisifii ila am hard to get.
Stay well and be blessed friends, me love u all.
 
Last edited by a moderator:
Am safely home best friend hahahaaaa makochi ya reception loohhh yaliokoa jahazi kumbe nawe wivu ulikuwa juu thanks for all yhe songs ndo nasikiliza hapa home.

Sredi zako na mwandiko wako sijui kwa nini huwa naufananisha na ule wa sakapal

I wonder kama tunafanana wish nionane na huyu sakapal wewe ni mtu kama wa tatu unaniambia tumefanana but I dont know sakapal mwambie I wish nionane nae kufahamiana ni nusu ya udugu.
 
Last edited by a moderator:
kumbe ni kukumbushia tu jamani dada yangu kuwa na huruma kumbushieni haya mambo hayataki roho mbaya
kumbe jamaa alipiga kitambo tu sasa italeta shida gani?
 
Hapana banaaa!!!! mie sikuwa na wivu ila ulivyopotea kipindi kirefu nikajua ndio mko busy na mgegedo wa kukumbushana enzi zenu za chuo kumbe gumzo lilikuwa limenoga kwenye "makochi ya reception" 🙂🙂 shukuru mungu hayakuwa makochi ya chumbani lol!!!!

Am safely home best friend hahahaaaa makochi ya reception loohhh yaliokoa jahazi kumbe nawe wivu ulikuwa juu thanks for all yhe songs ndo nasikiliza hapa home.
 
Am safely home best friend hahahaaaa makochi ya reception loohhh yaliokoa jahazi kumbe nawe wivu ulikuwa juu thanks for all yhe songs ndo nasikiliza hapa home.

Mmh ni kweli mnafanana hasa yale mambo muandikayo...

sakapal aliaga hapa kwenda kijijini kulima magimbi...nadhani bado yupo huko hajavuna bado...
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa nashukuru kwa sala zenu, kweli tuliongea sana till late hours tukiwa wote sobar na nguo zetu maana tulikuwa tunaongea kwenye makochi ya reception ya hotel afterward kila mtu alienda kulala. HApa niko KIA nasubiria flight yangu kurudi home safely. Trust me nothing happen btw the two of us. BAK usihofu wala usitie shaka u know mie huwa siko kirahisi, sijisifii ila am hard to get.
Stay well and be blessed friends, me love u all.

Afadhali umeleta feedback wailofunga na kuomba roho nyeupe pee. nilifikiri umerudi dar ukiwa mwepesiii.... chezea mgegedo wewe
 
Hahahahaaaa ingeuwa makochi ya chumbani ningechelrwa flight loohhh na siajabu leo pia tungelala A town heheheee haya bana mienlijua ulishikwa na wivu
Hapana banaaa!!!! mie sikuwa na wivu ila ulivyopotea kipindi kirefu nikajua ndio mko busy na mgegedo wa kukumbushana enzi zenu za chuo kumbe gumzo lilikuwa limenoga kwenye "makochi ya reception" 🙂🙂 shukuru mungu hayakuwa makochi ya chumbani lol!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmh ni kweli mnafanana hasa yale mambo muandikayo...

sakapal aliaga hapa kwenda kijijini kulima magimbi...nadhani bado yupo huko hajavuna bado...

It seams unamkubali sana sakapal eehhh mwambie huko aliko kynamtu anafananishwa nae. Na yeyr ni mchaga kama mie? Kaolewa? Anawatoto wangapi?
 
Habari zenu wote,
Lengo la kuja hapa mnisaidie kufanya maombi/ kusali nisi-cheat. Niko arusha kikazi (semina)kwenye hoteli moja maarufu mjini, sasa nimekutana na mtu ambaye tululikuwa lovers wakati niko chuo. Tuliachana bila ugomvi ni kukatika kwa mawasiliano tuu kwani yeye alienda nje ya nchi kufanya masters. Sasa wiki yote hii nimekuwa nikimkwepa na kesho ndo narudi Dar, hapa kanishikia bango tukumbushie, roho I radhi kutoku-cheat ila mwili u dhaifu.
Ubarikiwe kwa kuniombea.....
Usiku mwema.

No excuse kwa hilo!Sijui mmkumbushane ni upu u zi mtupu!Uzinzi kitu kibaya sana
 
Mmmhhh we kijana unajua sku hz sionekani sana humu maana sitaki kuharibu tena mahusiano yangu na hubby. Yaani tunafatana kama kumbikumbi au bata. Huyu Mkunde O unayemsema tumefanan simfahamu kwa kweli. Watu si unajua wanaiga wakiona flani kavutiwa nae wanaiga hadi kutembea kwake. Si ajabu Mkunde O kanipenda the way nilivo humu hata kuniigiliza uandishi wangu.
Mmh ni kweli mnafanana hasa yale mambo muandikayo...

sakapal aliaga hapa kwenda kijijini kulima magimbi...nadhani bado yupo huko hajavuna bado...
 
Last edited by a moderator:
It seams unamkubali sana sakapal eehhh mwambie huko aliko kynamtu anafananishwa nae. Na yeyr ni mchaga kama mie? Kaolewa? Anawatoto wangapi?

Nakumbuka tu soga zake...she was a friend hapa jamvini...
Sijui kabila lake wala her marital status wala hilo la watoto...
Ila kama anakusoma kama guest bila shaka atayaona haya maswali
 
sakapal said:
Mmmhhh sikuwa najua hili ngoja nifatilie ni yeye kaniiga au mie ndo namuiga.

Ooh thr you're besti...at least leo umekutana na pacha wako Mkunde Original....
 
Back
Top Bottom