Thabit Karim Muqbell
Member
- Sep 25, 2019
- 5
- 5
The pistles damages earlier than the Mortar. Mmelewa hapa lakini? 😂😂
Mi hata sijaelewaThe pistles damages earlier than the Mortar. Mmelewa hapa lakini? 😂😂
Hata hizo nyingi sana, fanyeni haraka mkawahi kufanya mambo ya msingi.
Unasukumwa hukooo uwahi ukafanye mambo ya msingi.Kwendraaa...
Mimi bila kuikausha sishuki... Acha nichelewe... Lakini sishuki ng'ooo
Unasukumwa hukooo uwahi ukafanye mambo ya msingi.
Du! Disc za spinal chord hazisagiki kweli?Mimi Binafsi naweza enda Dakika 40 mpaka 60 na hapo Situmii Dawa yeyote. Sasa Sijui nina Matatizo au lah?
Hamna Mkuu! Na Napiga vingi tu! At least Vitatu kwa Usikua.Du! Disc za spinal chord hazisagiki kweli?