Donors weigh CAG, PAC reports

Donors weigh CAG, PAC reports

What do you have while your president walks days and nights begging for donor money? Watz bwana

Fikirikwanza, you know, people like East African Eagle a.k.a crow, do not have brains to think. They just swallow propaganda bait, line and sinker. People with brains know that if it were not for the donors withholding their money, the thieves of CCM would never even have acknowledged the existence of this scandal, let alone allow it in the parliament. It is because of the people like this crow, that the likes of Kikwete rule Tanzania now, criss-crossing the world on our ticket. You will find that our friend, the crow, has not even got decent shoes in the land of the Tanzanite. Worse, he does not know why is that!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
well said sijali, we keep getting surprises from people like East African Eagle a.k.a crow (escrow). do they real have something in their heads, empty headed walking tanzanian
 
....labda naye alipewa mgao mnene na hao wapata mgao wengine wanalijua hilo hivyo wameshamtisha ukimwaga ugali sie tunamwaga mboga, labda ndio sababu kulikuwa na juhudi kubwa sana ya kuhakikisha ripoti ya CAG haijadiliwi Bungeni na haya kulikuwa na rumors kwamba kuna barua toka mahakama iliyozuia mjadala wa ripoti ya CAG usifanyike Bungeni na baada ya watu kutaka kuiona barua hiyo na pia kutaka kujua iliandikwa lini na nani aliyeiandika kukatokea sintofahamu nyingi huku mahakama ikisema hawajaandika barua kama hiyo na ofisi ya katibu wa Bunge ikidai haijapokea barua kama hiyo. Juhudi zote zile labda zilikuwa ni za kumsitiri Kingunge asiadhirike na hii kashfa kubwa. Haingii akilini wiki inakatika hakuna tamko lolote toka kwa Kikwete kuhusiana na mapendekezo ya PAC.

hakuna shaka kwamba jk atakuwa anahusika katika ufisadi huu, vinginevyo angekuwa ameishawaagiza wezi wamrejeshee hizo fedha kwenye viroba kama alivyofanya kwa wezi wa EPA. kwa kuwa naye kapiga mgao na kwa sababu fedha alizopiga keshampa riz1 afanyie biashara, inakuwa vigumu kuwaamuru wezi (naye akiwamo) warudhishe fedha za umma walizokwapua.
 
Suppose the new CAG comes out with different findings? What will be the effect?

Did the previous CAG work alone to establish the findings?, I hope not, he had pe

ople under him who are still in office, so the same applies to the new CAG , he wont be going from office to office by himself. So if the same people bring us new findings then we wi have to put a big question mark. (?).
 
Serikali dhaifu iliyoshindwa kujisimamia na kuanza kuwaibia wananchi wake iache isimamiwe na wenye huruma na wananchi,bila ya wahisani kuweka mgomo pangine ripoti isingefika bungeni na wezi tusingewajua...yaani kwa namna hii mataifa ya nje yana haki ya kutudharau...kisa serikali ya wezi ccm!!
 
Si kweli kwamba kuna uchunguzi wa TAKUKURU kuhusiana na wizi wa ESCROW unaoendelea. PCCB walimaliza uchunguzi wao hata kabla ya CAG na kuikabidhi ripoti yao kwa Pinda, lakini kwa jinsi PInda alivyo muongo akakanusha kwamba hajakabidhiwa ripoti hiyo. Kumbuka Pinda ni mmoja ya wale waliotoa kauli kwamba pesa za Escrow si za umma. Wanahabari wana haki ya kufuatilia huko kwa mabalozi wa nchi za wafadhili kwa sababu kama ujuavyo wamezuia kutoa equivalent na shilingi trilioni za msaada kwa Serikali na hivyo kusababisha ukata mkubwa sana ndani ya Serikali hata hospitali nchini kukosa madawa. Uthibitisho wa kukamilika kwa ripoti ya TAKUKURU huu hapa.

Kashfa mabilioni Escrow moto bungeni

By Waandishi wetu

12th November 2014

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akichangia hoja wakati wa kikao cha Bunge, mjini Dodoma jana.

Huku kukiwa na madai kuhusu baadhi ya wabunge kupitiwa kupoza kashfa ya kuchota kifisadi Dola za Marekani milioni 200 (Sh. bilioni 320) kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mvutano mkubwa umeibuka juu ya uhalali wa ripoti ya uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusiana na kashfa hiyo kuwasilishwa na kujadiliwa bungeni.

Mvutano huo, ambao umewahusisha upande mmoja na wabunge; Ezekia Wenje (Nyamagana-Chadema), Joshua Nasari (Arumeru Mashariki-Chadema), Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini-Chadema) na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya upande mwingine.

WENJE
Mvutano huo uliibuka jana bungeni baada ya Wenje kuomba mwongozo wa spika akitaka kujua kama ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) itawasilishwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja na ya Takukuru.

NDUGAI
Akijibu mwongozo huo, Ndugai alisema ripoti ya Takukuru haitawasilishwa bungeni na kwamba, itakayowasilishwa ni ile ya CAG pekee.

“Jibu lake (mwongozo huo) ni kwamba, ni hapana. Ripoti ambayo itapelekwa PAC ni ripoti ya CAG peke yake. Takukuru wakishafanya kazi yao, wakigundua kuna matatizo watachukua hatua moja kwa moja, hawana haja ya kupata ushauri wa Bunge,” alisema Ndugai.

NASARI
Hata hivyo, Nasari aliomba mwongozo wa spika na kupinga majibu hayo yaliyotolewa na Ndugai kwenye mwongozo wa Wenje akisema maamuzi ya kutaka CAG afanye ukaguzi katika kashfa ya Escrow ni ya Bunge.

Alisema pia Bunge liliazimia kuwa Takukuru ifanye uchunguzi kuhusiana na tuhuma za kashfa hiyo.

Hata hivvyo, alisema anastaajabishwa kusikia tena Ndugai akitamka kwamba, itakayojadiliwa na Bunge na ripoti ya CAG pekee, lakini ile ya Takukuru haitawasilishwa bungeni.

“Lakini Mheshimiwa Naibu Spika hili suala linazidi kuwa na utata zaidi na sintofahamu kubwa,” alisema Nasari.

Alisema hiyo inatokana na kwamba, wiki iliyopita Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah, akiwa jijini Mwanza, alikaririwa akisema kuwa ripoti ya taasisi yake amekwishamkabidhi waziri mkuu.

Lakini akasema baadaye kupitia Bunge, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akasema hajakabidhiwa ripoti hiyo.“Nini kinachofichwa hapa katikati? Kwa hiyo, mheshimiwa naibu spika, naomba mwongozo wako kwamba inakuaje Bunge linadharaulika?

Na tunafahamu hizi fedha zimeliwa na watu wachache, ambao wametajwa kwenye ripoti, tayari taarifa tunazo na ndiyo sababu imegharimu kufichwa na ndiyo maana kwenye ratiba hii (ya shughuli za Bunge) hili suala limekuja kuwekwa kwa siku moja kabla ya Bunge kufungwa,” alisema Nasari.

Aliongeza: “Ni kwa sababu kuna hofu kwamba serikali inakwenda kuanguka, kuna watu wametajwa, kuna mawaziri wamo ndani, viongozi wakubwa. Mheshimiwa naibu spika, naomba mwongozo wako, wakati ambao nchi ina crisis ya dawa, wakati ambapo nchi ina crisis wanafunzi wanakosa mikopo, tunaomba mwongozo wako ni kwanini ripoti hii isiletwe ndani ya Bunge ya uchunguzi wa PCCB, kwa sababu lilikuwa ni azimio la Bunge na kama ni serikali kuanguka, ianguke kihalali.”

NDUGAI
Akijibu mwongozo huo wa Nasari, Ndugai alisema sehemu kubwa ya maelezo yake hayana ukweli kwa sababu hakuwa na taarifa sahihi mapema.

Alisema mwanzoni mwa mkutano wa Bunge, suala hilo liliibuliwa na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, na kwamba walikubaliana kwamba, Kamati ya Uongozi wa Bunge ikutane ili kutathmini na kuona namna gani Bunge litashughulikia jambo hilo.

Ndugai alisema kamati hiyo ilikutana na kubadilisha ratiba ya shughuli za Bunge, ambayo inaonyesha kuwa Novemba 26 ripoti ya suala hilo itawasilishwa bungeni.

Hata hivyo, alisema kulingana na utaratibu wa Bunge, ripoti haiwezi kuwasilishwa moja kwa moja bungeni kabla ya haijapitia kwenye kamati husika ya Bunge, ambayo huipitia kisha itawasilishwa mezani na kusomwa maoni yake na kamati hiyo ndani ya Bunge.

Alisema ahadi iliyokuwapo ni kwamba, kashfa hiyo ingeshughulikiwa na CAG na Takukuru.Ndugai alisema kwa upande wa ripoti ya CAG, ambayo imeahidiwa wakati wowote wiki hii itatolewa, utaratibu wake wa kibunge itapita PAC, ambayo itakaa na kuipitia kisha baadaye Novemba 26, ambayo imepangwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge, itawasilishwa bungeni ili kuwapa fursa wabunge kuijadili na kutoa ushauri.

Kuhusu ripoti ya Takukuru, Ndugai alisema itachukua muda mrefu zaidi na kwamba, haijulikani, kwani inaweza kuchukua miezi mitatu au sita kwa kuwa ni ya uchunguzi, ambao utahusisha hadi nje ya nchi.

Alisema kisheria, Takukuru wakishafanya kazi yao, wanatakiwa kuchukua hatua moja kwa moja pale, ambako wanaona kuna matatizo, ikiwamo kumuandikia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na kwenda mahakamani.

“PCCB hana sababu ya kuja bungeni. Aje ili ajadili nini sasa? Ndiyo maana ripoti, ambayo itakuja hapa ni ripoti ya CAG kwa utaratibu wetu wa kibunge,” alisema Ndugai.
Alisema kama ilitakiwa ripoti ya Takukuru ipelekwe bungeni ilibidi ipelekwe kwenye Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama kisha mwenyekiti wake aipeleke bungeni jambo, ambalo haliwezekani.

“Kwa hiyo, jambo hilo haliko hivyo, liko hivi ambavyo naelezea. Kwa hiyo, hakuna kilichofichwa na mambo haya yamepangwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge. Kwa hiyo, kama kuna hoja yoyote iambieni Kamati ya Uongozi na itakutana tena na tena na tena, kama kuna jambo tunarekebisha tu,” alisema Ndugai.

Aliongeza: “Lakini tusihisiane kwamba kuna mtu anajaribu kuficha chochote katika jambo hili, hapana hata kidogo. Ni mtiririko wa shughuli zenyewe za Bunge zilivyo na utaratibu wenyewe ulivyo. Tunachoweza kufanya kwa ratiba ya Bunge ni tarehe 26, 27 tutajadil jambo hilo kupitia kamati ya PAC, ambayo itakuwa imekwishaipitia na wabunge wote mtapata nakala, sioni ugomvi ni wa jambo gani.”

ZITTO
Zitto alisema namna Ndugai alivyoelezea ndivyo, ambavyo inapaswa kuwa, lakini akasema changamoto iliyopo kwa wabunge ni kwamba, ripoti ya CAG inazungumzia mchakato wa ufunguaji na utoaji wa fedha katika akaunti ya Escrow.

Alisema PAC itakapokuwa ikifanya kazi ni lazima iwe na taarifa ya ziada wakati itakapokuwa ikiwahoji watu, ambao wametajwa katika mchakato mzima.

“Kwa mfano, kabla ya kuthibitisha manunuzi kama yamefanyika ilitakiwa Brela (Mamlaka ya Usajili na Usimamizi wa Biashara) wawe wamefanya due delegency (kujiridhisha).

Kama Brela hawakufanya delegancy ni rahisi fraud (wizi) kuweza kutokea. Anayeweza kuditact (kubaini) fraud (wizi) ni PCCB (Takukuru),” alisema Zitto.
Aliongeza: “Kwa hiyo, anayeweza ni lazima PAC katika mchakato mzima iwe na taarifa ya PCCB.”

Pia alisema inasemekana kwamba, masuala ya kisheria, ambayo yamekuwa yakiandikwa na serikali kwa ajili ya suala la kampuni ya kufua umeme ya IPTL, yalikuwa yanaandikwa na wanasheria wa IPTL na kwamba, hilo wanalo Takukuru kwa sababu wao ndiyo waliokuwa wanaangalia mawasiliano ya kompyuta ya IPTL na ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

Hivyo, akasema ili PAC iweze kumhoji vizuri AG, lazima iwe na ripoti ya Takukuru. “Yaani hakuna namna ambayo tunaweza tukaikwepa ripoti ya PCCB,” alisema Zitto.
Alisema kuna minong’ono na kampeni nyingi zinaendelea kuhusiana na suala la Escrow na kusema njia pekee ya kuondokana na hilo ni uwazi, kwani itakuwa rahisi kushughulikia jambo kama hilo na kuondoa mambo hayo aliyosema kuwa yanaendelea miongoni mwa wabunge.

Hivyo, akaomba Spika wa Bunge aiagize serikali ipeleke ripoti zote za CAG na ya Takukuru kwa pamoja bungeni ili wabunge wazishughulikie na pia mchakato mzima wa uendeshaji wa mahojiano ya kazi hiyo uwe kwa uwazi, na kwamba, usifanyike kwa siri.

“Tukiufanya kwa siri tutakuwa haya maminong’ono yanayoendelea miongoni mwa wabunge, wabunge mnajua mnapitiwapitiwa, ili tuyaondoe haya maminong’ono tufanye kwa uwazi ili kila mtu astahili adhabu kulingana na aliyoyafanya,” alisema Zitto.

PROFESA MWANDOSYA
Profesa Mwandosya alisema serikali imesikia kwa makini hoja za wabunge, lakini akasema haiwezi kuficha.

Aliitahadharisha PAC na wabunge kuhusiana na kazi watakayoifanya kuhusiana na kashfa ya Escrow, isije ikaingiliana na kazi za Takukuru, ambazo alisema zinaweza kusababisha mashtaka ya jinai yakafunguliwa dhidi ya baadhi ya watuhumiwa.

“Lakini kwa maana ya kuisaidia kamati kuna ripoti za aina mbili, moja inaweza kuja kwa maandishi. Lakini kamati inaweza kuiita Takukuru kuisaidia shughuli zake,” alisema Profesa Mwandosya.

Aliwataka wabunge kutozingatia ripoti akisema kwamba, hupelekwa bungeni kwa aina mbili, ambayo Takukuru inaweza kutoa kwa kamati ilimradi haitaharibu mchakato wake wa kupeleka makosa ya jinai mahakamani.

RIPOTI YA CAG KWA PINDA WIKI HII
Wakati hayo yakiendelea Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Francis Mwakasalila, amesema ripoti ya uchunguzi wa suala hilo itawasilishwa kwa Waziri Mkuu siku yeyote wiki hii.

Mwakasalila ambaye hakuta kuzungumza kwa undani zaidi suala hilo, aliiambia NIPASHE jana kuwa kimsingi, uchunguzi umekamilika na kilichobaki ni kuipitia kwa ajili ya kuikabidhi.

SOURCE: NIPASHE

BAK katikakti ya matokeo ya kamati ya bunge na uchunguzi unaoendelea wa Takukuru na ufafanuzi unaosubiriwa wa CAG bado the guardian wakaona waende kumuhoji...hapo huoni kuwa walikuwa wanataka mheshimiwa balozi aseme yale wanayoyataka wao ili wapapte cha kuandika??? kwa nini hawasubiri kupisha mchakato wa uchunguzi na ufafanuzi???
 
bak kama huna hoja busara unyamaze...kamati ya zitto imeiagiza takukuru wafanye uchunguzi wa kina...wewe unakanusha na kumwita Mheshimiwa Pinda mwongo..Mbona wew ndio mwongo mkubwa unayetaka kutulazimisha tuamini yale unayosema...Takukuru wameagizwa wafanye uchunguzi wa kina kwa wote waliohusika ili kubaini kama kuna jinai katika mchakato huo na CAG ameagizwa afafanue kauli yake kuhusu umiliki wa fedha zile ..sasa ukituambia ati si kweli bila shaka tuamini kuwa wewe ndiye yule dokta anayetajwa kufadhili na sasa unaamini kabisa kuwa mheshimiwa Pinda mwongo ila wewe ndiwe msema kweli....Halafu najiuliza una haraka gani??? mbona unashinikiza mambo wakati kuna taratibu za kufuata au uliwekeana dau na mtu kuwa lazima utamng'oa Profesa na katibu wake mkuu sasa unaona siku zinapita na hakuna matokeo...
Si kweli kwamba kuna uchunguzi wa TAKUKURU kuhusiana na wizi wa ESCROW unaoendelea. PCCB walimaliza uchunguzi wao hata kabla ya CAG na kuikabidhi ripoti yao kwa Pinda, lakini kwa jinsi PInda alivyo muongo akakanusha kwamba hajakabidhiwa ripoti hiyo. Kumbuka Pinda ni mmoja ya wale waliotoa kauli kwamba pesa za Escrow si za umma. Wanahabari wana haki ya kufuatilia huko kwa mabalozi wa nchi za wafadhili kwa sababu kama ujuavyo wamezuia kutoa equivalent na shilingi trilioni za msaada kwa Serikali na hivyo kusababisha ukata mkubwa sana ndani ya Serikali hata hospitali nchini kukosa madawa. Uthibitisho wa kukamilika kwa ripoti ya TAKUKURU huu hapa.

Kashfa mabilioni Escrow moto bungeni

By Waandishi wetu

12th November 2014

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akichangia hoja wakati wa kikao cha Bunge, mjini Dodoma jana.

Huku kukiwa na madai kuhusu baadhi ya wabunge kupitiwa kupoza kashfa ya kuchota kifisadi Dola za Marekani milioni 200 (Sh. bilioni 320) kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mvutano mkubwa umeibuka juu ya uhalali wa ripoti ya uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusiana na kashfa hiyo kuwasilishwa na kujadiliwa bungeni.

Mvutano huo, ambao umewahusisha upande mmoja na wabunge; Ezekia Wenje (Nyamagana-Chadema), Joshua Nasari (Arumeru Mashariki-Chadema), Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini-Chadema) na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya upande mwingine.

WENJE
Mvutano huo uliibuka jana bungeni baada ya Wenje kuomba mwongozo wa spika akitaka kujua kama ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) itawasilishwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja na ya Takukuru.

NDUGAI
Akijibu mwongozo huo, Ndugai alisema ripoti ya Takukuru haitawasilishwa bungeni na kwamba, itakayowasilishwa ni ile ya CAG pekee.

"Jibu lake (mwongozo huo) ni kwamba, ni hapana. Ripoti ambayo itapelekwa PAC ni ripoti ya CAG peke yake. Takukuru wakishafanya kazi yao, wakigundua kuna matatizo watachukua hatua moja kwa moja, hawana haja ya kupata ushauri wa Bunge," alisema Ndugai.

NASARI
Hata hivyo, Nasari aliomba mwongozo wa spika na kupinga majibu hayo yaliyotolewa na Ndugai kwenye mwongozo wa Wenje akisema maamuzi ya kutaka CAG afanye ukaguzi katika kashfa ya Escrow ni ya Bunge.

Alisema pia Bunge liliazimia kuwa Takukuru ifanye uchunguzi kuhusiana na tuhuma za kashfa hiyo.

Hata hivvyo, alisema anastaajabishwa kusikia tena Ndugai akitamka kwamba, itakayojadiliwa na Bunge na ripoti ya CAG pekee, lakini ile ya Takukuru haitawasilishwa bungeni.

"Lakini Mheshimiwa Naibu Spika hili suala linazidi kuwa na utata zaidi na sintofahamu kubwa," alisema Nasari.

Alisema hiyo inatokana na kwamba, wiki iliyopita Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah, akiwa jijini Mwanza, alikaririwa akisema kuwa ripoti ya taasisi yake amekwishamkabidhi waziri mkuu.

Lakini akasema baadaye kupitia Bunge, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akasema hajakabidhiwa ripoti hiyo."Nini kinachofichwa hapa katikati? Kwa hiyo, mheshimiwa naibu spika, naomba mwongozo wako kwamba inakuaje Bunge linadharaulika?

Na tunafahamu hizi fedha zimeliwa na watu wachache, ambao wametajwa kwenye ripoti, tayari taarifa tunazo na ndiyo sababu imegharimu kufichwa na ndiyo maana kwenye ratiba hii (ya shughuli za Bunge) hili suala limekuja kuwekwa kwa siku moja kabla ya Bunge kufungwa," alisema Nasari.

Aliongeza: "Ni kwa sababu kuna hofu kwamba serikali inakwenda kuanguka, kuna watu wametajwa, kuna mawaziri wamo ndani, viongozi wakubwa. Mheshimiwa naibu spika, naomba mwongozo wako, wakati ambao nchi ina crisis ya dawa, wakati ambapo nchi ina crisis wanafunzi wanakosa mikopo, tunaomba mwongozo wako ni kwanini ripoti hii isiletwe ndani ya Bunge ya uchunguzi wa PCCB, kwa sababu lilikuwa ni azimio la Bunge na kama ni serikali kuanguka, ianguke kihalali."

NDUGAI
Akijibu mwongozo huo wa Nasari, Ndugai alisema sehemu kubwa ya maelezo yake hayana ukweli kwa sababu hakuwa na taarifa sahihi mapema.

Alisema mwanzoni mwa mkutano wa Bunge, suala hilo liliibuliwa na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, na kwamba walikubaliana kwamba, Kamati ya Uongozi wa Bunge ikutane ili kutathmini na kuona namna gani Bunge litashughulikia jambo hilo.

Ndugai alisema kamati hiyo ilikutana na kubadilisha ratiba ya shughuli za Bunge, ambayo inaonyesha kuwa Novemba 26 ripoti ya suala hilo itawasilishwa bungeni.

Hata hivyo, alisema kulingana na utaratibu wa Bunge, ripoti haiwezi kuwasilishwa moja kwa moja bungeni kabla ya haijapitia kwenye kamati husika ya Bunge, ambayo huipitia kisha itawasilishwa mezani na kusomwa maoni yake na kamati hiyo ndani ya Bunge.

Alisema ahadi iliyokuwapo ni kwamba, kashfa hiyo ingeshughulikiwa na CAG na Takukuru.Ndugai alisema kwa upande wa ripoti ya CAG, ambayo imeahidiwa wakati wowote wiki hii itatolewa, utaratibu wake wa kibunge itapita PAC, ambayo itakaa na kuipitia kisha baadaye Novemba 26, ambayo imepangwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge, itawasilishwa bungeni ili kuwapa fursa wabunge kuijadili na kutoa ushauri.

Kuhusu ripoti ya Takukuru, Ndugai alisema itachukua muda mrefu zaidi na kwamba, haijulikani, kwani inaweza kuchukua miezi mitatu au sita kwa kuwa ni ya uchunguzi, ambao utahusisha hadi nje ya nchi.

Alisema kisheria, Takukuru wakishafanya kazi yao, wanatakiwa kuchukua hatua moja kwa moja pale, ambako wanaona kuna matatizo, ikiwamo kumuandikia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na kwenda mahakamani.

"PCCB hana sababu ya kuja bungeni. Aje ili ajadili nini sasa? Ndiyo maana ripoti, ambayo itakuja hapa ni ripoti ya CAG kwa utaratibu wetu wa kibunge," alisema Ndugai.
Alisema kama ilitakiwa ripoti ya Takukuru ipelekwe bungeni ilibidi ipelekwe kwenye Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama kisha mwenyekiti wake aipeleke bungeni jambo, ambalo haliwezekani.

"Kwa hiyo, jambo hilo haliko hivyo, liko hivi ambavyo naelezea. Kwa hiyo, hakuna kilichofichwa na mambo haya yamepangwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge. Kwa hiyo, kama kuna hoja yoyote iambieni Kamati ya Uongozi na itakutana tena na tena na tena, kama kuna jambo tunarekebisha tu," alisema Ndugai.

Aliongeza: "Lakini tusihisiane kwamba kuna mtu anajaribu kuficha chochote katika jambo hili, hapana hata kidogo. Ni mtiririko wa shughuli zenyewe za Bunge zilivyo na utaratibu wenyewe ulivyo. Tunachoweza kufanya kwa ratiba ya Bunge ni tarehe 26, 27 tutajadil jambo hilo kupitia kamati ya PAC, ambayo itakuwa imekwishaipitia na wabunge wote mtapata nakala, sioni ugomvi ni wa jambo gani."

ZITTO
Zitto alisema namna Ndugai alivyoelezea ndivyo, ambavyo inapaswa kuwa, lakini akasema changamoto iliyopo kwa wabunge ni kwamba, ripoti ya CAG inazungumzia mchakato wa ufunguaji na utoaji wa fedha katika akaunti ya Escrow.

Alisema PAC itakapokuwa ikifanya kazi ni lazima iwe na taarifa ya ziada wakati itakapokuwa ikiwahoji watu, ambao wametajwa katika mchakato mzima.

"Kwa mfano, kabla ya kuthibitisha manunuzi kama yamefanyika ilitakiwa Brela (Mamlaka ya Usajili na Usimamizi wa Biashara) wawe wamefanya due delegency (kujiridhisha).

Kama Brela hawakufanya delegancy ni rahisi fraud (wizi) kuweza kutokea. Anayeweza kuditact (kubaini) fraud (wizi) ni PCCB (Takukuru)," alisema Zitto.
Aliongeza: "Kwa hiyo, anayeweza ni lazima PAC katika mchakato mzima iwe na taarifa ya PCCB."

Pia alisema inasemekana kwamba, masuala ya kisheria, ambayo yamekuwa yakiandikwa na serikali kwa ajili ya suala la kampuni ya kufua umeme ya IPTL, yalikuwa yanaandikwa na wanasheria wa IPTL na kwamba, hilo wanalo Takukuru kwa sababu wao ndiyo waliokuwa wanaangalia mawasiliano ya kompyuta ya IPTL na ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

Hivyo, akasema ili PAC iweze kumhoji vizuri AG, lazima iwe na ripoti ya Takukuru. "Yaani hakuna namna ambayo tunaweza tukaikwepa ripoti ya PCCB," alisema Zitto.
Alisema kuna minong'ono na kampeni nyingi zinaendelea kuhusiana na suala la Escrow na kusema njia pekee ya kuondokana na hilo ni uwazi, kwani itakuwa rahisi kushughulikia jambo kama hilo na kuondoa mambo hayo aliyosema kuwa yanaendelea miongoni mwa wabunge.

Hivyo, akaomba Spika wa Bunge aiagize serikali ipeleke ripoti zote za CAG na ya Takukuru kwa pamoja bungeni ili wabunge wazishughulikie na pia mchakato mzima wa uendeshaji wa mahojiano ya kazi hiyo uwe kwa uwazi, na kwamba, usifanyike kwa siri.

"Tukiufanya kwa siri tutakuwa haya maminong'ono yanayoendelea miongoni mwa wabunge, wabunge mnajua mnapitiwapitiwa, ili tuyaondoe haya maminong'ono tufanye kwa uwazi ili kila mtu astahili adhabu kulingana na aliyoyafanya," alisema Zitto.

PROFESA MWANDOSYA
Profesa Mwandosya alisema serikali imesikia kwa makini hoja za wabunge, lakini akasema haiwezi kuficha.

Aliitahadharisha PAC na wabunge kuhusiana na kazi watakayoifanya kuhusiana na kashfa ya Escrow, isije ikaingiliana na kazi za Takukuru, ambazo alisema zinaweza kusababisha mashtaka ya jinai yakafunguliwa dhidi ya baadhi ya watuhumiwa.

"Lakini kwa maana ya kuisaidia kamati kuna ripoti za aina mbili, moja inaweza kuja kwa maandishi. Lakini kamati inaweza kuiita Takukuru kuisaidia shughuli zake," alisema Profesa Mwandosya.

Aliwataka wabunge kutozingatia ripoti akisema kwamba, hupelekwa bungeni kwa aina mbili, ambayo Takukuru inaweza kutoa kwa kamati ilimradi haitaharibu mchakato wake wa kupeleka makosa ya jinai mahakamani.

RIPOTI YA CAG KWA PINDA WIKI HII
Wakati hayo yakiendelea Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Francis Mwakasalila, amesema ripoti ya uchunguzi wa suala hilo itawasilishwa kwa Waziri Mkuu siku yeyote wiki hii.

Mwakasalila ambaye hakuta kuzungumza kwa undani zaidi suala hilo, aliiambia NIPASHE jana kuwa kimsingi, uchunguzi umekamilika na kilichobaki ni kuipitia kwa ajili ya kuikabidhi.

SOURCE: NIPASHE

Unaninyamazisha wewe kama nani!? Acha upumbavu wako banaaa. Kwa mara nyingine PCCB wamemaliza uchunguzi na ripoti kukabidhiwa kwa Pinda. Kamati ya PAC isingeomba ripoti ya PCCB ambayo kama unavyodai haipo ikajadiliwe pamoja na ripoti ya CAG. Kufanya hivyo ingekuwa ni wehu.

bak kama huna hoja busara unyamaze...kamati ya zitto imeiagiza takukuru wafanye uchunguzi wa kina...wewe unakanusha na kumwita Mheshimiwa Pinda mwongo..Mbona wew ndio mwongo mkubwa unayetaka kutulazimisha tuamini yale unayosema...Takukuru wameagizwa wafanye uchunguzi wa kina kwa wote waliohusika ili kubaini kama kuna jinai katika mchakato huo na CAG ameagizwa afafanue kauli yake kuhusu umiliki wa fedha zile ..sasa ukituambia ati si kweli bila shaka tuamini kuwa wewe ndiye yule dokta anayetajwa kufadhili na sasa unaamini kabisa kuwa mheshimiwa Pinda mwongo ila wewe ndiwe msema kweli....Halafu najiuliza una haraka gani??? mbona unashinikiza mambo wakati kuna taratibu za kufuata au uliwekeana dau na mtu kuwa lazima utamng'oa Profesa na katibu wake mkuu sasa unaona siku zinapita na hakuna matokeo...
 
na kwenye maazimio yake kamati hiyohiyo imeiagiza takukuru ifanye uchunguzi wa kina..sasa wewe simamia kuwa takukuru imemaliza nami nasimamia takukuru bado hawajamaliza tusubiri muda (time will tell) utatueleza bayana ukweli ni upi.
Unaninyamazisha wewe kama nani!? Acha upumbavu wako banaaa. Kwa mara nyingine PCCB wamemaliza uchunguzi na ripoti kukabidhiwa kwa Pinda. Kamati ya PAC isingeomba ripoti ya PCCB ambayo kama unavyodai haipo ikajadiliwe pamoja na ripoti ya CAG. Kufanya hivyo ingekuwa ni wehu.
 
Una ubishi wa kijinga. Ndugai asingeweza kukataa kuiwakilisha ripoti ya PCCB bungeni ikajadiliwe kama ilikuwa haijakamilika. Unapobisha kitu uwe na facts za kutetea kila usemacho vinginevyo inakuwa unabwabwaja.

NDUGAI
Akijibu mwongozo huo, Ndugai alisema ripoti ya Takukuru haitawasilishwa bungeni na kwamba, itakayowasilishwa ni ile ya CAG pekee.

na kwenye maazimio yake kamati hiyohiyo imeiagiza takukuru ifanye uchunguzi wa kina..sasa wewe simamia kuwa takukuru imemaliza nami nasimamia takukuru bado hawajamaliza tusubiri muda (time will tell) utatueleza bayana ukweli ni upi.
 
hao wahisanni walitakiwa wajitoe moja kwa moja kwenye makubaliano ya kuisaidia nchi ya ajabu kama tanzania, kwanza hizo pesa haina cha maana wanachofanyia zaidi ya kuitumia kianasa.
 
if it were not for the donors withholding their money, the thieves of CCM would never even have acknowledged the existence of this scandal, let alone allow it in the parliament.

You are suffering from a disease called DONOR SICKNESS.
 
Unaninyamazisha wewe kama nani!? Acha upumbavu wako banaaa. Kwa mara nyingine PCCB wamemaliza uchunguzi na ripoti kukabidhiwa kwa Pinda. Kamati ya PAC isingeomba ripoti ya PCCB ambayo kama unavyodai haipo ikajadiliwe pamoja na ripoti ya CAG. Kufanya hivyo ingekuwa ni wehu.

Kaka ngoja nikupe hint moja tu:Ukiona umeweka facts na mtu mwingine anakuja kama mbogo ili tu akuudhi upate BAN,rafiki ukimjibu mara ya kwanza usimjibu mara ya pili,maana atakuudhi zaidi.Kumbuka huku Duniani kuwa WATU na VIATU,yawezekana ukadhani unaongea na MTU kumbe unaongea na KIATU.Upo!!!!!!!!!!!!
 
hao wahisanni walitakiwa wajitoe moja kwa moja kwenye makubaliano ya kuisaidia nchi ya ajabu kama tanzania, kwanza hizo pesa haina cha maana wanachofanyia zaidi ya kuitumia kianasa.

Yaani nikama uliingia kwa kichwa changu.Hawa wazungu wanatudharau sababu tuna kila aina ya Mali,kuanzia Madini mpaka wanyama,lakini viongozi wetu hawaishi na bakuli kwenda kuomba,hakuna kitu kinaudhi kama kuomba,na wakisha omba zinaishia kweny account zao ughaibuni,ati wamelipana DSA (Perdiem )nk.Safari za semina na mialiko ya siku zakuzaliwaza viongozi wa huko UGHAIBUNI,wataondokana ndege iliyoshenani wanaowaita wawekezaji au Wafanya biashara,na hapo ndipopesa ya mfadhili imeisha.

Halafu kuna Mabogi benda humu ndani wanatetea eti bila kuomba Watanzania tutakufa,sasa hawa wametunyima pesa zao na bado tunadunda ila walioathirika ni wale ESCROW ACCOUNT members.
 
What do you have while your president walks days and nights begging for donor money? Watz bwana

Yaani hata nikikuwekea like haitatosha.Maana umempa KUBWA KULIKO.:cheer2::cheer2:
 
Mkuu BAK Mbu ndio huyo keshatua Tua kwenye 'tezi-cols" za wenye serikali yao, nawashauri waache kutumia violence way wawe wapole tu watafute ufumbuzi, vinginevyo watapasua hata hizo tezi-cols zao:-?, na sidhani kama Zina spare hizi ndude. Chakaza na tpaul na kaka Mani Hebu nisaidieni labda "baba" alirudi na za spea.

Man! you are a scream!! Yaani umeniacha hoi......Big up!
 
....labda naye alipewa mgao mnene na hao wapata mgao wengine wanalijua hilo hivyo wameshamtisha ukimwaga ugali sie tunamwaga mboga, labda ndio sababu kulikuwa na juhudi kubwa sana ya kuhakikisha ripoti ya CAG haijadiliwi Bungeni na haya kulikuwa na rumors kwamba kuna barua toka mahakama iliyozuia mjadala wa ripoti ya CAG usifanyike Bungeni na baada ya watu kutaka kuiona barua hiyo na pia kutaka kujua iliandikwa lini na nani aliyeiandika kukatokea sintofahamu nyingi huku mahakama ikisema hawajaandika barua kama hiyo na ofisi ya katibu wa Bunge ikidai haijapokea barua kama hiyo. Juhudi zote zile labda zilikuwa ni za kumsitiri Kingunge asiadhirike na hii kashfa kubwa. Haingii akilini wiki inakatika hakuna tamko lolote toka kwa Kikwete kuhusiana na mapendekezo ya PAC.

Barua ya kulilazimisha Bunge lisiendelee kujadili hoja na kumshtaki SUPIKA wa Bunge,AG,na PM,ilitolewa few minutes kabla ya kesi kusikilizwa,kesi ilianza kusikilizwa saa 8:30 Mchana,barua ilisainiwa na kupigwa mihuri tayari kwenda MJENGONI saa 8:00 Mchana,hii ni kulingana na Statement ya SUPIKA mshtakiwa,jiulize wanatuficha nini watanzania kwenye SAKATA hili?Hivi ingekuwa siyo pesa ya UMMA kuna sababu gani ya kwenda mbali zaidi na KUMSHTAKI SUPIKA na hata ikibidi kumsweka kwa RUMANDE?Sijawahi kuiona hii toka nipate akili,nimeiona wakati wa UTAWALA wa Prof wa Kichina tu.

Ninajiuliza SingaSinga ana nguvu kiasi gani cha kutaka kumweka RUMANDE kiongozi aliyechaguliwa na watanzania kupitia wabunge wao?

Nikajiuliza mara ya pili,SingaSinga huyu asiye na hata nidhamu ya kuazima,ana UWEZO na NGUVU za kiasi gani kutaka Commissioner wa TRA amabye ni mteuliwa wa RAIS aswekwe JELA wakati akitimiza majukumu yake?

Sikushangaa kuona WATAWALA wakimuabudu SINGASINGA huyu kwa kumpa support yote anayohitaji.Kweli Singasinga umeiweka SERIKALI yetu siyo tu mfukoni,nina wasiwasi umeiweka sehemu nyingine nyeti zaidi ya mfukoni.:embarassed2:😕😕 😕 😕😕
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom