Mwisho wa safari yake upo karibu sana maana kashindwa kujiongeza, ukibebwa shikilia sasa yeye kabebwa anajiachia mikono ina cheza tuTulia kaingizwa juzi kwenye siasa, na wala hatafika popote kwenye siasa.
Ndani ya ukawa hakuna wabunge wanaopigania matumbo yao,wabunge wa ukawa kwanza huo ubunge wameupata kwa uhalai na mbinde kwa kushindana na wagombea wa ccm wenye hila na vitisho,sisi wananchi tulio wachagua ndio tunawaaminiKichwa kwa lipi mkuu????..Yeye anasema hivyo kwa kuwa ZIPO NYINGI ZILE ZA KUMKARIBISHA MZEE UKAWANI....but kwa hawa wabunge wapya ambao ndio wameingia BUNGENI kwa mara ya kwanza hii KAULI LAZIMA IWAUME na mpka sasa wanasikitika sana kwa huu mkumbo wanaoshurutishwa kuufata......WALE WAKUBWA MIFUKO YAO IMETUNA they have nothing to regret so far
KARIBU SANA JFKichwa kwa lipi mkuu????..Yeye anasema hivyo kwa kuwa ZIPO NYINGI ZILE ZA KUMKARIBISHA MZEE UKAWANI....but kwa hawa wabunge wapya ambao ndio wameingia BUNGENI kwa mara ya kwanza hii KAULI LAZIMA IWAUME na mpka sasa wanasikitika sana kwa huu mkumbo wanaoshurutishwa kuufata......WALE WAKUBWA MIFUKO YAO IMETUNA they have nothing to regret so far
Mkuu wala husipoteze nguvu zako nyingi kujadili wala kujibu point za huyu mtu,yeye kamezeshwa cd ya kuitetea ccm na wana ccm wote wanao itetea ccmMaisha hayana cross multiplication ndugu.... kwa umri wako kuna wanao kuzidi cheo na madaraka mno tu... ni suala la chance tu.....
Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Unajionyesha ulivyo mgeni wa siasa za ulimwengu na ni dhahili kuwa ndio kwanza umeanza kulijua bunge na shughuli zake kupitia tbc,kama hujui madhara na thamani ya wabunge wa upinzani kususia vikao vya bunge basi endelea kujifunza zaidi kupitia tbc usiku wa mananeKwenye siasa za Kibunge, wingi ndo kila kitu. Siri pekee iliyopo kwa upinzani ni kuongeza idadi ya wabunge kufikia asilimia ambayo watawala hawawezi kuipuuza. Kwa idadi ndogo ya wabunge wa upinzani hata wakiandamana, wakigomea bunge, wakipiga kelele bungeni, n.k. ni vigumu kuwa na impact. Kumtukana Naibu spika kwamba ni mtoto wa siasa, haitaleta tija yoyote sana sana kutapunguza wanaowaunga mkono. Visa na sababu zilizofanya wabunge watimuliwe vinaeleweka na kuna precedence kibao za kuonesha kuwa wabunge waliofanya yale walifanyiwa nini. Mbinu ya kugomea vikao muhimu vya bunge ina madhara makubwa zaidi kwa wabunge wa upinzani.
Siasa hizi za harakati zina wakati wake, huu si wakati wake!
Ukimuhitaji nenda lumumba ofisi za ccm sehemu ya jikoni utamkuta tuWewe Una miaka mingapi na umefanikiwa na Kipi?kupiga Picha na Wabunge?
Kwa lugha rahisi, Naibu Spika ni employee/mwajiriwa wa Ikulu.Bunge chini ya ikulu....anayeongoza bunge kateuliwa na rais
Yeye Tulia kateuliwa kuwa mbunge na kwa kuwa CCM ni wengi bungeni kapata Unaibu spika. Mbatia ni mkongwe kisiasa na mchango wake ni mkubwa. tena ni mwenyekiti wa chamaNafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!
Mfano: Mh, Mbowe huyu amepata mafanikio ya kisiasa, kutoka Chadema chama kilichokua kinaonekana kidogo kuliko NCCR, na kuwa chama kimbilio na watu wote wanaohitaji mabadiriko ya kisiasa, na uongozi wa dolla. NCCR ya mbatia yenyewe imetoka juu, na inatelemka chini, ilikuwa na watu ambao NCCR ingefanikiwa kushika dolla walikuwa wanatosha kuwa viongozi wa nchi. Kwamantiki hiyo Mh, Mbatia hajafanikiwa kisiasa.Wewe kwako mafanikio kisiasa ni yapi ebu twambie,
Dua za ccm kamwe haziwezi kumpata mbatiaMfano: Mh, Mbowe huyu amepata mafanikio ya kisiasa, kutoka Chadema chama kilichokua kinaonekana kidogo kuliko NCCR, na kuwa chama kimbilio na watu wote wanaohitaji mabadiriko ya kisiasa, na uongozi wa dolla. NCCR ya mbatia yenyewe imetoka juu, na inatelemka chini, ilikuwa na watu ambao NCCR ingefanikiwa kushika dolla walikuwa wanatosha kuwa viongozi wa nchi. Kwamantiki hiyo Mh, Mbatia hajafanikiwa kisiasa.
Ni mtizamo wako, kamwe maishini mwangu sitokua mwanachama wa chama siasa, kura yangu kila ifikapo uchaguzi naweza wapigia watu watatu tofauti, kulingana nivyoona mimi anafaa, na sio chama chake.Dua za ccm kamwe haziwezi kumpata mbatia
Kwa hiyo Kwa akili zako za mwendo kasi, Mwenyekiti Kichwa ni yule Mwenye wabunge zaidi ya mmoja bungengeni?Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Maajabu hayataisha duniani,nilini mgombea binafsi ameruhusiwa nchini tanzania?Ni mtizamo wako, kamwe maishini mwangu sitokua mwanachama wa chama siasa, kura yangu kila ifikapo uchaguzi naweza wapigia watu watatu tofauti, kulingana nivyoona mimi anafaa, na sio chama chake.
Halafu yule ni Mnyakyusa kweli? Mbona ana lafudhi kama limbukeni wa Wazungu?Kwa lugha rahisi, Naibu Spika ni employee/mwajiriwa wa Ikulu.
Umemjibu vizuri sanaNafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya Raisi, Naibu Spika Tulia (PhD) ana uwezo wa kukabidhiwa kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina na hii ni kwa miaka 25 anayojisifia nayo!