Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Wee mafanikio ya unayapima kwa kuwa kiongozi wa Bunge na elimu??? Kuna raia walogundua formula za mahesabu na hawakusoma. Sidhan kama uko sahihi, mzee mwenzangu.
 

MTU hupewa madaraka/mamlaka na Mungu, Mara nyingi kupitia kwa wanadamu wenzake. Tulia amepewa ubunge, kisha unaibu spika; hakujipa. Mbatia hawezi kujipa uwaziri Mkuu au uspika. Umeelewa?
 
We Taahira, Ni bora ungekaa kimya, Mbatia amekuwa mbunge mwaka 1995-2000 pia 2010-2015 na sasa 2015-2020 harafu unasema bila JK, are you serious?
Toka 2000 had 2010 alikua kimya.msaada wa ubunge wa uwt viti maalum vya Jk
 
Mtaalamu wangu kichefuchefu umerudi tena!, hebu niambie Ni dharura gani ikitokea naibu spika anakula shavu, Na Ni kwa katiba ya nchi gani?
 
[emoji23] [emoji23] wakuu,hivi nyinyi huwa mnatumia nini kufikiri??mnatumia kichwa kama mimi au??
 
Mbatia kichwa sana.

Ni mwanasiasa wa kweli mno.
Kweli Mkuu ni mwanasiasa wa kweli mno, 2010-2015 alikuwa na wabunge zaidi ya 5, ila 2015-2020 ana mbunge mmoja.
 

Wewe ni wale ma VLZ nini?! Mbatia kapambana kwa nguvu na jasho lake wakati huyo mwingine hata haijulikani katoka wapi na kwa nini; au Baby?!
 
1.Mafanikio ya mtu hayapimwi tu kwavitu alivyonavyo. 2 mmoja kasema Mbatia miaka 1990 alifukuzwa chuo kikuu je leo hana elimu ya chuo kikuu? Je leo yeye ni nani?.

TANU ilianzishwa 1954 uhuru 1961, lakini kabla ya TANU kulikuwa na vyama vingine vilivyopigania uhuru, kabla ya hivyo vyama watemi, machifu walipigania uhuru huohuo aliohitimisha TANU. Maana yake sio kila unalopigania na kulianzisha lazima ulimalize, wanaweza kumaliza wengine wewe utabakia sehemu ya jambo hilo. Musa aliwatoa Waisraeli Misri lakini hakuwafikisha nchi ya ahadi.

Swali la kujiuliza Mbatia anamafanikio na heshima gani sasa baada ya yote kupita. Mafanikio au heshima ya chama sio wingi wa wabunge pekee, CCM inawabunge wengi je kinaonekanaje na kinaheshimikaje kwenye jamii. Katika siasa hizi za vyama vingi Tanzania huwezi kukipuuza chama cha NCCR Mageuzi ambacho Mbatia ni mwenyekiti utakuwa hujui mfumo huu wa vyama vingi ukitaka kujua hilo tafuta maana ( kirefu) cha NCCR Mageuzi.
 
Unafikiri siasa za upizani zinaweza kufanikiwa kama watu wenyewe kama wewe??? Umekalia ushabiki tu, tunawapongeza wapizani kwa kuibua mengi tuliyokuwa hatuyajui!!!!!!
 
Hivi unajua yule msemaji wa chama cha kijani ana miaka mingapi kwenye siasa,elimu haingozi
 
Sijui tuwafananishe kwa kitu gani? 1. Wakiwa bungeni wote ni wabunge na mmoja ni naibu spika ambaye kiukweli ni bosi wa wabunge akiwamo mbatia 2. Nje ya bunge Tulia ni mhadhili wa chuo kikuu mama hapa nchini akiwa na shahada ya uzamivu katika sheria (Phd) wakati mbatia hakufanikiwa kumaliza shahada yake ya kwanza ya uhandisi alipotimuliwa chuo mwaka 1991. Nasikia baadaye alijisomea akapata shahada ya kwanza. Hivyo ni vigezo vinavyopimika na kuonekana kwa kila mtu.
 
Kuwa mpinzani nchi hii ni sawa na kuweka maisha yako rehani,muonee huruma
 
mbatia ni mwanasiasa hodari acheni unafiki ila njia aliyoichaguwa ni ndefu sana Tulia kapita kichochoro ila huwezi mlinganisha na Mbatia kisiasa ACHA KUWA KILAZA WW
 
I
We Taahira, Ni bora ungekaa kimya, Mbatia amekuwa mbunge mwaka 1995-2000 pia 2010-2015 na sasa 2015-2020 harafu unasema bila JK, are you serious?
Ule wa 2010- 2015 ulikuwa ni ubunge kupitia jimbo linaloitwa jakaya mrisho Kikwete (a.k.a viti maalumu kwa ridhaa ya rais)
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
siasa ya chuo kikuu ya kumtukana mzee mwinyi?
 
kwa nguvu wanayotuia ccm pale waliposhindwa ulitaka awe na wabunge wangapi nccr,,au ndo mmeshasahau kina kafulila walitendewa ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…