Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Yeye ubunge wa kupewa hajui wenzake walivyo upata kwa mbinde.
Unaamuru Nasari atolewe nje na polisi kama mwizi? Uchungu aliopitia Nasari hadi kuwa Mbunge yeye haujui na hatujui yeye kaupata vipi ule ubunge na unaibu wa haraka haraka
Muulize Mbatia awamu iliyopita aliupataje ubunge alipoteuliwa na Kikwete
 
Mbatia ana matatizo sana,aliona bora aue chama ili mradi abebwe na ukawa apate ubunge
 
Jamani mbona hamlielewi hili '' Laziama atende kazi zake kwa matakwa ya yule aliyemfikisha hapo'' . Unapokuwa mteule wa rais halafu ukawa dhaifu na mwenye kuhofia uteuzi wako haya tunayoyaona kwake ni dhahiri kuwa ameshindwa kutambua kuwa pamoja na kuteuliwa anatakiwa kubalance na kutambua kuwa hata kama yeye ni mteule lkn uteule wake ni kwa mujibu wa katiba ya nchi inayompa mamlaka kutekeleza majukumu yake bila kujikosha. Anatakiwa aige aliyoyafanya J.Mbatia wakati wa awamu ya nne.
 
Kwa Mfano wewe Mumeo ni wa ngapi ki Mamlaka ?
 
Ukweli mtupu huyu Tulia ni mtoto mdogo sn ndyo maana imekuwa rahisi kwake kufanya kazi kwa maelekezo kutoka kwa watawala
 
Mbatia ni bonge la mbunge anatakiwa awe ni wa kuigwa
 
Usitoe pofu bwana kaka, kwani ukichaguliwa ndo inakuwaje? kuchaguliwa pekee hakiwezi kuwa kipimo cha busara ama bonge la mbunge. Tafadhali angalia hapa: baadhi ya waliochaguliwa na wananchi ni Kibajaji, prof. Maji marefu, Sugu, prof.j (joseph haule), mbowe, lameck airo, joseph msukuma, mr.bwege, kubenea etc. na baadhi ya walioteuliwa na rais ni prof. Mbarawa, prof. Ndalichako, dr. Tulia, dr. Possi na dr. Philipo Mpango. Kwa hivyo kuna uwezekano mkubwa kwa wananchi kuchagua yeyote hata kama kichaa kuliko mh. Rais anavyoweza kufanya makosa ya aina hiyo.
 
Kumbuka tulia hakufika hapo alipo kwa uwezo wake binafsi bali ni cheo cha kupewa kwa maslahi fulani.Fungua ubongo kujifikirisha.
 
Uncle upo sahihi huyu mwanamke mwenzetu ni jibu la karne
 
yaani wewe ndio choka mbaya,unamfananisha mbatia na huyo mama aliyepewa cheo?
 
Wanapozidi kuongelea mambo ya posho maana yake imewagusa ktk mfupa!!
 

Unaelewa kilichomweka spika mdogo hapo AU UNAROPOKA TU????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…