sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,016
- 8,374
Mwalimu Nyerere na sera ya vijiji vya ujamaa haitofutika kamwe, ila nakuakikishia BBT ya Bashe na Rais Samia inaweza kufa kifo cha mende endapo mabilioni ya fedha yanayotumika pasipo kuzingatia uzarendo ukiendelea.
Leo, Waziri Bashe ameponda live live sera ya uanzishwaji wa vijiji vya ujamaa, yakini ni sera iliyofeli haifai kulinganishwa na BBT yake na Rais wake. Namtaka atambue, Nyerere hakutumia mamilioni ya fedha kama yeye. Nyerere alijenga vijiji vya ujamaa kwa silaha moja ya kizarendo, wewe unajengea fedha ukizani utafanikiwa (kama fedha ndio kila kitu, kwa nini mnawapeleka JKT hao vijana, mungewaacha muone ndani ya miezi kadhaa ungeambulia kifo cha mende).
Ningekushauri ufananishe BBT yako na sera na kauli mbiu ya "kilimo kwanza" iliyokufa kifo cha Bibi Manka njoo mkutwange, na sio sera ya kilimo na ujenzi wa makazi ya vijiji vya ujamaa.
Ile sera, kama Mwalimu angesinhekabidho nchi kwa Mzanzibari akakabidhi kwa Watanganyika, sasa ingekuwa mbali sana.
Nimekusikia unasema raisi ameagiza na vijana wa Zanzibari waungane na Watanganyika. Hapo BBT, je, wizara ya kilimo ipo chini ya Muungano? Yaani, wewe ni wa Tanganyika au Zanzibari? Natambua vijana wa Zanzibari mmewaunganisha, je, watapewa ardhi ya Tanganyika? Je, kuna eneo ambalo liko Zanzibari nalo mmelitenga kuligawa kwa vijana wa BBT kutoka Bara? Au ndivyo hivyo, wao waruhusiwa kutula, ila sisi tuwaruhusiwa kuwaonja, ila sio kuwala?