We Boflo...mimi huo wimbo nlijifunzia jkt enzi izo mmepiga zoezi wee..sasa mnapewa mapumziko mnaanza kuimba
"nyama yoote umenipa kidogo mkononi kuonja, X2
kidogo mkononi we -kuonjaa
kidogo mkononi -kuonjaa.
kumbe ni wa maharusi??? Sasa harusini unakuwa na maana gani???!