Dondosha sifa moja tu ya Wanaume weusi

Unakuta Mdada anajichubua ili awe mweupe halafu anakwambia kua yeye anawapenda wanaume Black! haya ni maajabu!
Wanawake wengi weupe wanapenda wanaume weusi! Ajabu wanawake weusi ni wagonjwa kwa wanaume weupe! Ni ngumu sana kujua rangi gani ni pendwa! Labda mzungu aliye date na mwanaume mweupe na mweusi anaweza kutoa fair analysis
 
Kwani kuna sehemu nimesema mm sina pesa? Zangu za kula ninazo na matumizi yangu nayamudu mwenyewe. Sema nikipewa pesa nashukuru sana pesa ni tamu najua kuitafuta.

Nb najitambua.
 
Kwani kuna sehemu nimesema mm sina pesa? Zangu za kula ninazo na matumizi yangu nayamudu mwenyewe. Sema nikipewa pesa nashukuru sana pesa ni tamu najua kuitafuta.

Nb najitambua
Samahani lakini basi una tamaa moyoni mwako na inaweza kuwa hatari kwa mustakabali wa furaha yako unless otherwise umahanishe mwanaume anaejitambua labda ana uwezo wa kukidhi mahitaji fulani. All in all you're you. I wish you goodluck to find happiness in your rich relationships.
 
I don't care nawapenda jana Leo na hata milele, Ni chaguo langu mwanaume mweusi๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hujakatazwa kupenda dada hayo ni maamuzi yako, nilichokukosoa mimi ni sifa za uwongo ulizozitaja.
 
Hujakatazwa kupenda dada hayo ni maamuzi yako, nilichokukosoa mimi ni sifa za uwongo ulizozitaja.
Wasamehe hao mkuu wako emotional sana nd maan mapenzi yanawapaga kichapo sna. Eti anakazania wanaume weusi weusi sasa sijui anajielewa kweli hata hyo ngono anayoisifia kwa weusi kwamba hakuna weusi wazembe. Atleast angesema tu anapenda wanaume weusi kumaanisha colour zao eti wanatia kazi duuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ