Dondosha sifa moja tu ya Wanaume weusi

Rangi nyeupe kwao ni sugar sukari
 
"Namskiliza kwa makini halafu namkataa kwa adabu "

Nafuu umwambie tu mapema kabla hajashusha mistari kuliko huu ukatili unaofanya unajua wengine wanakaa kwenye kioo ghetto almost masaa wana memorize mistari kabisa kabla ya kuwatokea
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Hawajui wanavyotutesa
 
Watitu tupo stendbye hapa kuskia sifa zetu
 
Unaposema Weusi wanono kwa bed ina maana ulipitia kila sampuli mpaka ukafikia hilo hitimisho?
 
Poleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi

Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both PHYSICALLY na MENTALLY...

NOTE: Comment ziwe fupifupi

Hongera kwa kusuguliwa vizuri mkuu
 
Wenyewe wadada wanasema wanapendelea black and tall.
 
Huu ulemavu wa akili unawashurutisha watu, rangi ya mtu kweli hasa mwanaume inaweza kumfanya awe na tabia fulani.Kwa upande wa wanawake labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…