magasi jnr
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 364
- 571
Uko Sahihi mkuu.Weusi gani huo unasema wanaume wa kiafrica ama ? Kama ni huo sifa zao ni Mahandsome na wanajua kupambana na maisha. Ila kwanini umegeneralize? Sifa si zinatofautiana kulingana na mtu mwenyewe mkuu?
Utanisamehe sana mkuu ila nyie vyeupe dawa huwa nawafananisha na ladha ya muwa kwa kule juu kusiko na utamu Ni km makapi Yani, Ni mtizamo wangu tu msiniponde maweNa sisi White je?
Coment kubwa sana hii mpumbavu haeelewi kabisa mkuuKama hali yako ya kimapokeo ya uhalisia wa maumbile yako inaathiriwa na maoni au mitazamo ya watu wengine basi una safari ndefu kuelekea kwenye furaha ya kweli........
Wana ngozi nyeusi...Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi
NOTE: Comment ziwe fupifupi
HAPANA, Namaanisha wenye MELANIN nyeusiWeusi unamaanisha WAAFRICA au?
Kuna ile nadhalia kwamba kuwa HANDSOME et lazima uwe MWEUPEHuu Weusi Mentally ndio nini mkuu ?
Boss, don't ever underestimate RACISMKama hali yako ya kimapokeo ya uhalisia wa maumbile yako inaathiriwa na maoni au mitazamo ya watu wengine basi una safari ndefu kuelekea kwenye furaha ya kweli........
Sikujua hata wanaume nao wanamentality hiii...Kuna ile nadhalia kwamba kuwa HANDSOME et lazima uwe MWEUPE
Kwaiyo tukikwambia wanaume weusi wanatomba VIZURI....wewe itakufanya ujiamini zaidi hata Kama husimamishi mkuyenge?Boss, don't ever underestimate RACISM
Mentally black... physically black...Huu Weusi Mentally ndio nini mkuu ?
Thanks for your timeKwaiyo tukikwambia wanaume weusi wanatomba VIZURI....wewe itakufanya ujiamini zaidi hata Kama husimamishi mkuyenge?
Ili uwe fit both mentally and physically unatakiwa uwe na pesa, kumbuka mwanaume asifiwi sura au rangi.Poleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi
Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both PHYSICALLY na MENTALLY...
NOTE: Comment ziwe fupifupi