Ukinunua bidhaa iwe E bay ama Amazoni, katika shipping usikimbilie the cheapest option ama Free shipping option, utajuta. i learnt the hard way.
kitu cha kufika in two weeks kitakaa zaidi ya mwezi hapa nilipo nasubiria Casio hardlex watch haijaingia hadi sasa. vingine vimeingia ila vimechelewa zaidi ya mwezi. ni bora ulipie expediate shipping kuliko free shipping method.
niliinunua tablet ya amazon,hdx in 4 days nikawa nimeipata ingawa shipping ilini cost 50usd, ila sio mbaya mali yangu ilifika safe and sound
Samahani wakubwa,
Kama yeyote aliyewahi kununua product yoyote E-BAY na akaipokea hapa bongo naomba anipe utaratibu kuhusu shipping method na wapi pa kupokelea na nama ya kulipia bidhaa.
Uliipokelea wapi?
kabla ya kununua kitu,someni customer review inasaidia kujua hicho kitu kama ni quality.maana sometimes ukiona kitu kwenye screen na ukikiona live ni tofauti.
customer review winging wanakuwa gang wanawekea review, za bongo! me nimeshalizwa kama mara 3 seam si unajua mako ya kulipa na paypal wanakurudishia pesa yako, sema hao wengine wanaotumia CRDB ndio issue, kwa kweli wizi ni mdogo ingawa nimelizwa mara 3 lkn nimenunua vitu zaidi ya mara 200 Bila matatizo yoyote
Tunapokelea mikononi
Wakikujibu nistue
Nimeshaanza kuwaamini niliowahi kuwasikia wakisema kuwa ukiona Mzungu anamfungulia mkewe/mpenzi wake mlango ujue ni mapenzi hayo, lakini ukimuona Mwafrika anamfungulia mkewe/mpenzi wake mlango ujue huo mlango ni mbovu!!