Donda ndugu, ni nini?

Kwani donda ndugu halitibiki likipata huduma stahiki. Maana vidonda cya kisukali navyo havitaki wapiga ramli.
Kwa mazingira ya kijijini inaaminika hivyo. Msimamo wangu mimi uko tofauti. Ninaamini vinatibika kupitia tiba sahihi.
 
Neno "donda ndugu" (au dondandugu) linamaanisha kidonda sugu, kikubwa, na kisichopona kwa muda mrefu.
Neno hili limeundwa kwa kuunganisha maneno mawili: "Donda" (jeraha kubwa) na "Ndugu" (ikimaanisha kuwa kidonda hicho kimegandana au kimeambatana na mwili wako kama ndugu wa damu asiyetaka kuondoka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…