Donald Trump stunning truly and fact speeches

Donald Trump stunning truly and fact speeches

Mbona jana Trump alikuwa SC na sio Nebraska?
 
Sasa mimi naona hata kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume huku afrika wangepewa kazi hiyo wazungu wawashughulikie wake zao,haina haja ya kusumbuka kwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo la nguvu za kiume wakati wazungu wapo.
 
Ndio maana huwa nashangaa kwanini mtu mweusi alalamike masuala ya ubaguzi ikiwa kweli anaamini binadamu wote tupo sawa?

Huwezi kulalamika unabaguliwa kwa kitu ambacho huna kasoro nacho.
 
DUNIA INAHITAJI MABADILIKO YA KIONGOZI WA TAIFA LENYE NGUVU DUNIANI AINA YA DONALD TRUMP, ningependa wamarekani wamchague, akiwa rais hatutashangaa na afanyacho maana anasema anachoamini na si mnafiki.
 
I pray day n night for that man/
#WorldSystemsAjuster!
kiboko ya kina:-
Mugabe
museveni na Siasa kama za #ZNZ
 
TRUMP akishinda tutaona urafiki wa kweli kati ya Afrika na Marekani.
 
Back
Top Bottom