Donald Trump sacks FBI Director Comey!

Donald Trump sacks FBI Director Comey!

Haha, aliandikiwa barua na Nixon? What a coincidence! 😀

Duh!, hii issue inaweza kwenda mpaka 2019?
Hiyo ni karibu na uchaguzi tena.
Ki Nixonian you mean with the Watergate Scandal?

yeah in 1980s ana sema Mara nyingi Nixon alimwambia akigombea urais atashinda, pia ana barua yake kabisa ipo kwenye kumbukumbu Nixon alimwandika, ali ionesha mara tu alipo win election.

yes, ni issue sensitive, huwezi ukazuka tu na kusema Trump couled with Russia, lazima uchunguzo ufanyike, we watergate ilikuwa tu kesi ya bulgary ila ilichukua mwaka na miezi issue ya Trump na Russia itachukua more than two years nadhani.

Trump is Nixonian in the sense, he over use his executive powers iver any one who goes against his will, he hates the press, he thinks people dont give him respect enough, he likes to isolate himself and is unpredictable that is very Nixon alike nimesoma biography za Nixon nyingi zinampa characters kama hizo, halafu wote wanavo approach matatizo yao whether watergate na Russia issue they opearate it with rage and cover ups in the sense they all raise doubts.
yaan naiona ikulu ya Nixon na ikulu ya Trump zina feel the same in some sense.
 
Awww!, thanks Mr. Iceman, missed you too!

Ni ukweli Trump is so lucky Republicans have both houses of Representatives na wanambeba kiaina. Ingekuwa Democrats wameshika huko kwingine sijui kama angemaliza hata mwaka bila kuwa impeached.
thanks, mam

hahaha
ku mu impeach mtu siyo rahisi, na kumbuka ni only two presidents have been impeached, Andrew Johnson and Bill Clinton. and both were not removed from office, so hata democrats wangegundua ni kazi.
halaf uki mu impeach Trump unamuweka Pence ambaye Republicans wangefurahi kweli kweli kumpata, then Pence akifanya vzuri tu kidogo na 2020 atawashinda kwa kuwa uchumi wa US now uko stable sasa ukimpata na mtu mtulivu kama Pence hakosi second term, the Dems must sit down na waweke stratergy ya kushinda 2020 it is very possible and a very easy way to remove Trump.
 
Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi Mkurugenzi wa FBI, James Comey. Hili linakuja wakati ambapo FBI inaendesha uchunguzi kubaini kama kulikuwa na uhusiano kati ya wasaidizi wa Trump na Urusi wakati wa kampeni za mwaka jana. Urusi inatuhumiwa kuingilia uchaguzi wa Marekani kumsaidia Trump kumshinda Hillary Clinton.

Chanzo: CNN

Binafsi naona Trump kumfukuza kazi James Comey amefanya jambo la busara sana, actually alipaswa kumtimua kazi mapema zaidi, Mkurugenzi huyo ilionekana tangu mwanzo kwamba atakuwa liability kwa Serikali yaTrump, mara zote alionekana ni mtu ambaye hana msimamano leo atasema hiki kesho kile - chukulia fiasco ya Hillary Clinton ali handle vipi? ovyo ovyo tu!! Sasa Mkurugenzi wa kitengo nyeti ambaye anaonekana ni flip flopper, je, Trump anaweza kumuamini vipi? Huyu ni rahisi kununuliwa na group la ma Neocon kuendeleza ngojera za kulahumu Urusi kwa kila kitu ambacho akiendi vizuri ndani ya Taifa lao - huu mwezi wangapi Tangu Trump ashike usukani lakini bado wapinzani wake wanaendelea kushikilia bango la Urusi - Urusi, Urusi mpaka inatia kinyaa as if hawana shughuli nyingine za kufanya zaidi ya kuhunda ma Probe Committees lukuki wanaendelea kufuja tax payers' money ku probe madai ya kuchonga tu ilimradi Trump aondolewe madarakani.

Mambo mengine ukiyasikiliza sana unashikwa na mshangao - hivi Taifa kama Urusi lina uwezo gani wa kuingilia upigaji kura nchini Marekani, hii inaingia akilini kweli? Amerika Taifa ambalo limekubuhu katika udukuzi wa taarifa kutoka kila binadamu wanaye mtilia shaka popote pale Duniani - leo hii ndiyo watuletee maigizo/ usanii wa kujitia kulia lia kwa kuisingizia Urusi eti ndiyo ilihusika kuwachangulia Rais, kwani Amerika ni a banana Republic?? - iweje Taifa lenye teknolojia ya kufa mtu lizidiwe kete na Urusi, Warusi walipitia media gani kuingilia Systems za upigaji kura wa kumchagua Rais wa Marekani au walipitia kwenye ETHER, mbona Hillary alishinda Popular Votes.

Nani ambaye hajui mbinu zinazo tumiwa na Security Agencies za Serikali ya Marekani wakishirikiana na wamiliki wa kampuni za mtandaoni zenye search engines e.g Google, Bing, Yahoo nk sorting aligorithms zao wanacode robots za kufatilia watu wanao keyin keywords hatarishi zinazo tiliwa shaka, wana probe webmail zako na kuangalia address za marafiki zako unakuwa tracked in realtime kila unapo ingia mtandaoni, wanakwenda mbali zaidi kwa kusikiliza/record mazungumzo ya simu za watu na kuchunguza majina kwenye address book na kujua ni akina nani unawapigia simu mara kwa mara, kama ni smartphone yenye gps/glonass/baidu wanaweza kukufatilia na kuona ulipo jichimbia, wana Brigade nzima huko Marekani na Uingereza ya kuchunguza watu wengi Duniani 24x7X365, invading privacy za watu Duniani bila ya victims kujua kinacho endelea, sina shaka mnakumbuka taarifa kuhusu Smart TV za Samsung zilizo wekewa software na tiny webcam kusikiliza mazungumzo na kurecord kinacho endelea nyumbani kwako na kutuma taarifa hizo kwenye Security Agencies huko Amerika au Uingereza, yaani wamepania ku-run Dunia kama a semi Police State - no one is safe katika ujahili wao - hawana simile wanadukua mpaka Viongozi wa washirika wao(NATO) Angela Merkel kwa mfano. Watu kama hawa wana moral Authority gani ya kuwanyoshea kidole Warusi.
 
yeah in 1980s ana sema Mara nyingi Nixon alimwambia akigombea urais atashinda, pia ana barua yake kabisa ipo kwenye kumbukumbu Nixon alimwandika, ali ionesha mara tu alipo win election.

yes, ni issue sensitive, huwezi ukazuka tu na kusema Trump couled with Russia, lazima uchunguzo ufanyike, we watergate ilikuwa tu kesi ya bulgary ila ilichukua mwaka na miezi issue ya Trump na Russia itachukua more than two years nadhani.

Trump is Nixonian in the sense, he over use his executive powers iver any one who goes against his will, he hates the press, he thinks people dont give him respect enough, he likes to isolate himself and is unpredictable that is very Nixon alike nimesoma biography za Nixon nyingi zinampa characters kama hizo, halafu wote wanavo approach matatizo yao whether watergate na Russia issue they opearate it with rage and cover ups in the sense they all raise doubts.
yaan naiona ikulu ya Nixon na ikulu ya Trump zina feel the same in some sense.

I see!, thanks for this elaboration. Now I see why, the Russian issue sio ya Kuisha kesho hata Trump akiweka Comey wake.
 
thanks, mam

hahaha
ku mu impeach mtu siyo rahisi, na kumbuka ni only two presidents have been impeached, Andrew Johnson and Bill Clinton. and both were not removed from office, so hata democrats wangegundua ni kazi.
halaf uki mu impeach Trump unamuweka Pence ambaye Republicans wangefurahi kweli kweli kumpata, then Pence akifanya vzuri tu kidogo na 2020 atawashinda kwa kuwa uchumi wa US now uko stable sasa ukimpata na mtu mtulivu kama Pence hakosi second term, the Dems must sit down na waweke stratergy ya kushinda 2020 it is very possible and a very easy way to remove Trump.

Haha, aseee!
Kwa hiyo Democrats hii issue haiwapi wepesi ki hivyo sana. Nikadhani ingekuwa rahisi kwao 2020.
Lakini wanahitaji strategy haswa, kama tunavyoona Trump is a survivor na atakuwa kashaanza kujipanga for the 2nd term.
 
Hakuna kitu.mbona bongo hapa watu wanapigwa chini kila siku na hakuna kinachotokea
Watapiga kelele mwishowe watachoka na maisha yataendelea.

Kwanza nashangaa kwa nini huyo bweegee imechukua muda wote huu kufukuzwa.

Alipaswa afukuzwe na Obama kabla hata Trump hajala kiapo.
 
Watapiga kelele mwishowe watachoka na maisha yataendelea.

Kwanza nashangaa kwa nini huyo bweegee imechukua muda wote huu kufukuzwa.

Alipaswa afukuzwe na Obama kabla hata Trump hajala kiapo.
True alikuwa anaingilia majukumu hata ya mwanasheria Mkuu wa serikali.kazi ya FBI wanachunguza halafu wanafikisha mahali husika lakini yeye alikuwa anapitiliza yasiyomhusu.
 
Haha, aseee!
Kwa hiyo Democrats hii issue haiwapi wepesi ki hivyo sana. Nikadhani ingekuwa rahisi kwao 2020.
Lakini wanahitaji strategy haswa, kama tunavyoona Trump is a survivor na atakuwa kashaanza kujipanga for the 2nd term.
yeah
but they will loose if they will put watu kama Clinton au Biden lets say
watafute mgombea mzuri na wawe wamoja, wanaweza shinda.
tatizo ni kuwa kama hali ya uchumi itakuwa nzuri, Trump atakuwa haja anzisha vita yyte ya kijinga, ku mdefeat inatakiwa wajikusanye sanaa.
 
Kwa kweli, it needs more than just a good speech kuweza kumshinda. He probably knows all tricks already, He is a New Yorker you know..with Russian ties..[emoji2]

Democrats wanaweza kujikuta wanakuwa Republicans wa last 2 terms.
 
hahahaha
your intelligence is something i admire.
lets wat, i too am concerned the dems will focus on wrong things and it will become Trump 2 Dems 0 in 2020 if hawajipangi
 
hahahaha
your intelligence is something i admire.
lets wat, i too am concerned the dems will focus on wrong things and it will become Trump 2 Dems 0 in 2020 if hawajipangi

I admire yours too! [emoji85] [emoji85]

Haha!, I like that expression, Trump 2. Dems 0. Smart you..[emoji2]
 
I admire yours too! [emoji85] [emoji85]

Haha!, I like that expression, Trump 2. Dems 0. Smart you..[emoji2]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
i feel guwd! ngoja nilale niwe nime maliza siku vizuri
 
President Trump is dealing with a budding scandal after firing FBI Director James B. Comey on Tuesday.

But even before that, he appears to have hit a new low with the American people.

A new poll from Quinnipiac University shows Trump's disapproval rating rising to 58 percent — a new high in Quinnipiac's regular polling and the highest in a high-quality, non-tracking poll since his inauguration. Just 36 percent approved of Trump's job performance.

The only other poll to show his disapproval that high since his inauguration was Gallup, which briefly showed his disapproval rating ticking up to 59 percent in March before it dropped to 52 percent a week later. Quinnipiac's polls have been among the worst for Trump, but it's also one of the most frequent, and the trends are looking bad for Trump.

The Quinnipiac poll also shows the president's favorable rating — more of a personal measure than a job measure — dropping to a new low of 35 percent. The percentage of Americans who strongly approve of him is tied for an all-time low at 25 percent. And the percentage who strongly disapprove has reached an all-time high of 51 percent.

SOURCE: Washington Post
 
(CNN)
Former FBI Director James Comey, who was fired Tuesday by President Donald Trump, on Wednesday sent a letter to friends and agents. Here is the text of that letter, which was obtained by CNN.

To all:
I have long believed that a President can fire an FBI Director for any reason, or for no reason at all. I'm not going to spend time on the decision or the way it was executed. I hope you won't either. It is done, and I will be fine, although I will miss you and the mission deeply.

I have said to you before that, in times of turbulence, the American people should see the FBI as a rock of competence, honesty, and independence. What makes leaving the FBI hard is the nature and quality of its people, who together make it that rock for America.
It is very hard to leave a group of people who are committed only to doing the right thing. My hope is that you will continue to live our values and the mission of protecting the American people and upholding the Constitution.

If you do that, you too will be sad when you leave, and the American people will be safer.
Working with you has been one of the great joys of my life. Thank you for that gift.
Jim Comey
 
Back
Top Bottom