Donald Trump ni bepari mkubwa

Donald Trump ni bepari mkubwa

nyiokunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
2,135
Reaction score
1,303
Nilikuwa naangalia kikao cha Trump live akiwa White house kupitia Aljazeera, Trump alikuwa na makamu, waziri wa mambo za nje, waziri wa nishati pia aliwaalika wakuu wa makampuni makubwa ya mafuta.

Alisema Venezuera sasa ni mshirika na jana mapipa ya mafuta yalisafirishwa Marekani. Wakuu wa makampuni walieleza mikakati yao ya kurudi venezuera na amesema atawekeza 100b usd.

Makampuni ya mafuta yatawajibika kwa USA na sio Venezuera na pia kawaambia kama Urusi na China wanataka mafuta ya Venezuera waende kununua USA.

Kamuonya Raisi akienda tofauti atashambulia tena pia ataweka ulinzi wake kwenye makampuni ya mafuta.
Huu ni ubepari uliopitiliza.
 
Ila makampuni yanaseme kwamba wanahitaji pretty signifacant preparation and changes kurudu venezuela kwa mara ya tatu, sio rahisi kihivyo zile kampuni zinahitaji security guarantee hata baada ya trump ili kuwekeza pesa zao, zile sio kampuni kama SGM au Vodacom zina long term vision.
 
sijaelewa, whats wrong with ''bepari mkubwa''? ulitaka awe communist mkubwa na kula watoto kama communists, au? hivi wakati mwingine huwa hata mnaelewa maana ya haya maneno au mnayatumia tu?

afrika ni masikini miaka 70 sasa baada ya uhuru kwa maana mmedanganywa na kuwa brain washed na communists ...
 
Sasa venezuela itafaidika vipi na mafuta yake? Wananchi wake watakuwa na hali nzuri za kimaisha au wataachwa wataabike bila kuboreshewa maisha yao?
 
Nilikuwa naangalia kikao cha Trump live akiwa White house kupitia Aljazeera, Trump alikuwa na makamu, waziri wa mambo za nje, waziri wa nishati pia aliwaalika wakuu wa makampuni makubwa ya mafuta.

Alisema Venezuera sasa ni mshirika na jana mapipa ya mafuta yalisafirishwa Marekani. Wakuu wa makampuni walieleza mikakati yao ya kurudi venezuera na amesema atawekeza 100b usd.

Makampuni ya mafuta yatawajibika kwa USA na sio Venezuera na pia kawaambia kama Urusi na China wanataka mafuta ya Venezuera waende kununua USA.

Kamuonya Raisi akienda tofauti atashambulia tena pia ataweka ulinzi wake kwenye makampuni ya mafuta.
Huu ni ubepari uliopitiliza.
Trump ni mnyama, nawashangaa wanaomshabikia.
 
Trump yupo kuondoa ustaarabu wa Dunia na kutumia nguvu za USA kufaya atakalo ni jamaa mkatili sana kaua hapo Venezuela ili apate mafuta kwa gharama nafuu na kuyauza.
 
Back
Top Bottom