Mtani mtandao wa mwendawazimu huoWeka hapa nijiunge, the earlier the better
Your tiny, dark analysis (or should we say name-calling) is paralyzing!Mtani mtandao wa mwendawazimu huo
You mean freemasonsMtani mtandao wa mwendawazimu huo
Your tiny, dark analysis[emoji848]Your tiny, dark analysis (or should we say name-calling) is paralyzing!
#Trump4President!
Kugombana na tajiri mkubwa ndiyo matokeo yake haya.Unamtishia kitu ambacho yeye ana uwezo nacho,unatarajia nini?View attachment 2127362
Picha: Chapisho la kwanza la Trump kwenye mtandao wake
Jukwaa la mtandao wa kijamii la Donald Trump, Truth Social limezinduliwa,kwa kiasi kidogo kwenye Apple App store nchini Marekani.
Wachambuzi wamebaini kuwa programu hiyo inafanana na Twitter. Bw Trump alipigwa marufuku kutoka Twitter, Facebook na YouTube mwaka jana.
Na watumiaji wengine wa mapema walikuwa na shida kusajili akaunti.
Kiongozi wa mradi na mbunge wa zamani Devin Nunes alisema unatarajiwa kufanya kazi kikamilifu mwishoni mwa Machi.
Baadhi ya wale wanaojaribu kujiandikisha walikuwa wameambiwa: "Kwa sababu ya mahitaji makubwa, tumekuweka kwenye orodha yetu ya wanaosubiri," shirika la habari la Reuters liliripoti.
Imeundwa na kampuni ya Trump Media & Technology Group (TMTG), Truth Social hapo awali ilitolewa kwa watumiaji wapatao 500 wanaojaribu beta.
Wiki iliyopita, Donald Trump Jr aliweka mtandaoni picha ya skrini ya "ukweli" wa kwanza wa baba yake kwenye mtandao wa kijamii: "Jitayarishe. Rais wako unayempenda atakuona hivi karibuni." Aliandika .
Trump for presidency...... Jamaa huwa hatishiwi nyau.
Mshana umeniangusha aisee, na utata wote huo kiakili, upo kwa democrats 😂😂Mtani mtandao wa mwendawazimu huo
[emoji23] [emoji23]Mtani mtandao wa mwendawazimu huo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mshana umeniangusha aisee, na utata wote huo kiakili, upo kwa democrats [emoji23][emoji23]
Atajiunga yeye na wayahudi wake [emoji23]
Za mkizi hizo...Mzee Ana hasira huyu [emoji16][emoji16]
It is most arguably kwamba Mshana Jr hajui aende au arudi!Mshana umeniangusha aisee, na utata wote huo kiakili, upo kwa democrats 😂😂
FYI: Tayari umeanza kuwa OVERLOADED, while ukingali majaribioni!Atajiunga yeye na wayahudi wake [emoji23]