Donald Trump anaongoza kwa 5% dhidi ya Clinton

Donald Trump anaongoza kwa 5% dhidi ya Clinton

Hakuna alietegema Trump angefika hapo alipo
Wengi walimdharau ila kafika
Hajatumia hela kama Clinton ila mefika mbali
 
Wamarekani wanampenda Trump alivyo hawaangalii sura! wanaangalia fact/,sera
 
D.Trump!
Mpaka leo hii vyanzo vya habari vya CNN vimetangaza kwamba D.Trump yuko mbele kwa 5% kwenye kura za maoni,
Trump 44%
Clinton 39%

Habari ndiyo hiyo Wamarekani wamechoshwa na sasa wanataka mabadiliko ya kweli kama tunayoyashuhudia wenzao Watanzania chini ya Raisi Magufuli!

Trump bounces into the lead - CNNPolitics.com
Yani unataka kuifananisha nchi isiyo na kipindupindu wala kwashakoo, raia wote wanapata maji safi na salama, na swala la barabara na madaraja kwao siyo ajenda ya uchaguzi wala umeme na Tanzania ya Magufuli?

Inawezekana akili zako umezifungia kabatini kazichukuwe kwanza ukirudi ndio tuendelee na mjadala.
 
Mh aiseee !!

Mwenyewe namkubali trump sio mnafiki

Huyo jamaa mimi ningekuwa Mmarekani hata ningejitolea kumfanyia Kampeni Nyumba kwa Nyumba kama inaruhusiwa huko, ni moja kati ya wale watu ambao wanaongea, unamskikliza na unaona kabisa kwamba yanatoka moyoni!

Halafu isitoshe anampenda Yesu siyo kama Obama, Clinton &Co.!
 
Yani unataka kuifananisha nchi isiyo na kipindupindu wala kwashakoo, raia wote wanapata maji safi na salama, na swala la barabara na madaraja kwao siyo ajenda ya uchaguzi wala umeme na Tanzania ya Magufuli?

Inawezekana akili zako umezifungia kabatini kazichukuwe kwanza ukirudi ndio tuendelee na mjadala.
aacha uongo U.S.A kuna sehemu iko shida ya maji tena kwenye jamii weusi, juzi tu wamekuta cannabis chemicals kwenye maji yanayotumiwa na jamii
 
CNN ni pro-Republicans hata wakati wa Obama walikuwa wakimpa nafasi finyu wakati wote
 
That is how politics in the First worlD goes,But it is so Early to even say trump will win the Election
 
#teamtrump# nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi tu

Naaaam!
Anasema akiapishwa tu tarehe 20/01 lazima aifumue Isis, atapitia mikataba yote pmj na kuondoa majeshi ya USA nchi za ng'ambo kwamba USA itapigana vita tu pale ambapo maslahi yao yameguswa, ataongea na Putin hii ni hatua nzuri kuiepusha Dunia na Vita ya Dunia, ni hakika Trump angekuja mapema kidogo kabla ya anti christ Obama leo hii Gadafi labda angekuwepo ...
 
Back
Top Bottom