Donald Trump afuata nyayo za Magufuli

Donald Trump afuata nyayo za Magufuli

Rais mteule Marekani ameonekana kufuata nyayo za Magufuli katika kuwatumikia wananchi.Rais John Pombe Magufuli ni rais anayekosa usingizi kwa kupigania maisha ya wanyonge bila kutaka kuwafurahisha baadhi ya watu.Tabia hii hata Trump anayo.

Kuna maeneo mengi misimamo ya viongozi hawa inafanana.Hii ni mifano michache..

1.KUBANA MATUMIZI
Viongozi wote hawa wameonesha nia ya kubana matumizi.JPM; ameokoa pesa nyingi holela kama safari za nje, posho, sherehe zisizo na tija na matumizi mengine holela, pesa hizi zimeelekezwa kwenye maendeleo .Trump; amezuia pendekezo la kununua ndege mpya ya rais yenye thamani ya trillion 8 za Kitanzania , pia anafikiria USA kuacha kutoa pesa kwa majeshi ya NATO.

2.UCHOCHEZI WA VYOMBO VYA HABARI
Viongozi wote hawa wanakerwa na uzushi na uchochezi wa vyombo vya habari katika nchi zao.Tumeona JPM alivyokerwa na magazeti mawili yanayohatarisha mustakabali ya amani yetu akiwa ziarani Shinyanga.Hali hiyo pia tumeiona kwa Trump alipokuwa anaongea na waandishi wa habari kwa kukituhumu kituo cha televisheni cha CNN kwa kutoa HABARI za uongo na uzushi.

3.KUSIMAMIA UKWELI NA KUJIAMINI.
Viongozi wote hawa hawana unafiki wala hawafanyi kazi ili wapendwe.Mara nyingi husimamia haki na ukweli.JPM ; amejitoa kupigania maisha ya Watanzania masikini, amekuwa mkweli siku zote na wala haongozi nchi kuwaridhisha mafisadi wachache na kuwaumiza wananchi wengi.Siku zote yeye husema ukweli.Trump; yeye pia hataki ujinga amekuwa akitoa kauli zenye ukweli kwa mustakabali wa Wamarekani.

4.VIWANDA NA UWEKEZAJI
Viongozi wote hawa wana nia thabiti ya nchi zao ziwe na viwanda vingi.JPM; ameweka mazingira rafiki kwa wawekezaji kujenga viwanda vingi , vile vile kuwa na mipango ya kuzuia kuingia bidhaa kuingia nchini kiholela .Trump; amepinga hatua ya wawekezaji kujenga viwanda Mexico ili wapate cheap labour na kuifanya Marekani soko la bidhaa zinazotengenezwa Mexico.

Kwa hiyo inabidi viongozi hawa wawe karibu sana kwani wote wana sifa zinazofanana katika kuwatumikia wananchi wanyonge.
Ila Trump anatekeleza alichoaidi kwenye kampeni, tusimsingizie dhambi za wengine.
 
1. Wote walipigwa vita wakati wa kampeni na kupewa nafasi ndogo ya ushindi na vyombo vya habari.

2. Wote wameshinda urais kwa mshangao wa wengi.

3. Wote wanapigwa vita na upinzani kwa kutumia vyombo vya habari. Trump kwa upande wake anaviita fake news na amefikia kufukuza baadhi vyombo vya habari kwenye mikutano yake. Magufuli ameonya vyombo vya habari juu ya kutumia vibaya uhuru wao wa kusema.

4. Wote wameapa kuweka mbele maslahi ya nchi zao.

5. Wote wamepania kusafisha uozo serikalini.

6. Wote wamekuta mikataba mibovu ya kibiashara. Trump anapangua mikataba iliyoachwa wakati wa Obama na Clinton. Magufuli anapangua mikataba mibovu ya wakati wa Kikwete na Mkapa.

7. Wote wako vitani dhidi ya ugaidi.

8. Wote hawasiti kufanya mabadiliko ya viongozi.

9. Wote wana nia ya kuzijenga nchi zao. Trump ana mpango wa kukarabati madaraja, barabara na reli na kuleta maendeleo ya ujenzi kwa kutumia chuma na glass kama Dubai. Magufuli anataka kuleta flyovers , mandege, meli na mwendo kasi. Viva Magufuli.

10. Wote wana mpango wa kurudisha viwanda na uzalishaji nyumbani. Trump anataka viwanda vya magari, simu, kokolo zote za Marekani zinazotengenezwa China na Mexico zirudi Marekani. Trump anataka migodi ya chuma na coal ifufuliwe. Magufuli anataka Tanzania ya viwanda kama tulivyoona juzi juzi anataka kiwanda cha kuyeyusha dhahabu kijengwe Tanzania.

11. Wote wanakabiliwa na wapinzani wenye lengo la kuwatoa madarakani bila ya kujali wanafanya mazuri kwa nchi au vinginevyo.

12. Wote nawakubali sana. Hapa kazi tu. Let's make America great again!
 
Wote vipanga kwa totozi. Akili zao pia wanazijua wenyewe!
 
Tuendelee kudumisha Umoja, Amani, Mshikamano na tulipe Kodi katika Nchi yetu ya Tanzania nasi tutapata Maendeleo. "Hapa Kazi Tu"
 
Enyi mazwazwa, acheni kufananisha kifo na usingizi..
 
Mleta Uzi yumo katika ile Set ya ma Zwazwa aliyodokeza Ayatoula ZZK
 
Back
Top Bottom