Donald Dombo Ngoma amesaini mkataba mpya wa miaka miwili Yanga SC

Ataendelea na majeruhi na migomo isiyoisha ya mishahara.
Poa tu, cha msingi hayuko kwenu. Mikia fc kuwasajili Ngoma na Niyonzima kwa mpigo yangekuwa ni matusi ya nguoni kwa chama langu Young Africans SC International.

So far, Yanga imemsajili Ajibu kutoka Simba, wakati huo huo Simba haijanasa saini yoyote ya mchezaji kutoka Yanga zaidi ya majigambo ya Hans Pope na yule mfungwa wa kisoka.

Hivyo basi, hadi sasa:

Yanga 1-0 Simba.
 
Yanga inanipa raha sana Msimu huu wa usajili yaan kimya kimyaaaa

3 times VPL undisputed champion
 
IMG-20170628-WA0006.jpg
 
simba wamemfanya kitu mbaya NIYO,simba ni magaidi kabisa baada ya Yanga kutangaza kuachana na NIYO nao wakambadilishia kibao cha kumkopa
Hata Niyonzima bado hajasajili Simba..Akihojiwa na Sports HQ ya EFM leo Kaburu wa Simba amesema maneno kuwa Niyonzima amesajiliwa Simba hata yeye anayasikia mtaani.

Usishangae kuona Niyonzima anasajili tena Yanga..Lolote laweza kutokea
 
Nimeisoma kwenye website ya milladayo mkuu

Waandishi wa Kibongo wanacopy na kupaste habari zao.

Mara nyingi huwa hawafuatili habari kwa kina walishindwa kumpigia simu Ngoma na kumuuliza ukweli.

Ila wao walichikua habari iliyo kwenye kipande cha gazeti cha Sauzi na kuanza kuisambaza.
 
simba wamemfanya kitu mbaya NIYO,simba ni magaidi kabisa baada ya Yanga kutangaza kuachana na NIYO nao wakambadilishia kibao cha kumkopa
Mkwasa ana akili sana...alijua kuwa licha ya upande wa pili kuonekana wanapesa utakuwa mzigo kwao kumsajili jamaa.
 
Poa tu, cha msingi hayuko kwenu. Mikia fc kuwasajili Ngoma na Niyonzima kwa mpigo yangekuwa ni matusi ya nguoni kwa chama langu Young Africans SC International.

So far, Yanga imemsajili Ajibu kutoka Simba, wakati huo huo Simba haijanasa saini yoyote ya mchezaji kutoka Yanga zaidi ya majigambo ya Hans Pope na yule mfungwa wa kisoka.

Hivyo basi, hadi sasa:

Yanga 1-0 Simba.
Mbumbumbu fc hawawezi kubali,lazima wapeleke barua Fifa kudai Ngoma na Niyonzima ni wachezaji wao
 
NGOMA ni mchezaji wenu wana Yanga African. mnashangilia kama mchezaji bora kama level za Okwi . Sisi Ngoma anahusiana na nn kwenye chama letu? Msimu mzima kacheza mzunguko wa kwanza tu.
Mbona yeye na Niyonzima wanaonekana kwenye 'kikosi cha mauaji' cha Mnyama cha 2017/18?
 
Back
Top Bottom