Kitu Cha 1982 bado kabisa sijazaliwa. Pure traditional country music.Lord i hope this day is good.Best song kwangu.
Nimetoka kusikiliza sasa hivi sikuwa naufaham dah meanest man in the state of Georgia. Je umesoma comments za watu chini ya video kwenye huo wimbo.Ahsante mkuu Copenhagen DN kwa kuniita mkuu. Hebu nenda kasikilize kwanza kibao chake cha Miller's cave alichowafanyie yule demu wake machepele wa pale waycross Georgia na lile jamaa libabe, ligangwe na katili kuliko wote ndani ya hilo Jimbo la Georgia.
Aliwaahidi atakachowafanya basi the next time they meet will be in their graves na hakuwakopesha
Halafu akakimbia zake kwenda Tiger Mountauns na kutowekea zake ndani ya Miller's Cave iliyokua katika safu ya hiyo milima.
Mzee ameacha legacy aisee,RIP DONKitu Cha 1982 bado kabisa sijazaliwa. Pure traditional country music.
Lord have forgotten me have been praying to you faithfully am a sinner but rightopus man but Lord hope you understand.
Kila niamkapo naenda kazini naanzaga Na huu wimbo.
Yani huyu mzee