Don Williams enzi za uhai wake alikuwa Na Swaga

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,343
27,955
Mzuka Wanajamvi.

Katika huu wimbo wake wa My heart to you ndiyo ilikuwa music video yake the humble Giant ya mwisho. Ilikuwa very simple and humble Na aliifanya kwenye ranch yake.
Screenshot_20171102-224132.png
Screenshot_20171102-224152.png
Screenshot_20171102-224132.png
Screenshot_20171102-224152.png
Screenshot_20171102-224152.png
Screenshot_20171102-224132.png
Screenshot_20171102-224259.png
Screenshot_20171102-224259.png
Screenshot_20171102-224305.png

Check pozi la Don Na Swaga kwenye hizo picha. Halafu bofya hapo chini uchek hiyo video.

A great voice gone forever. We will always miss you and listen to your music.

A MASTERPIECE FROM THE MASTER HIMSELF!

Mimi bado tu namuomboleza jamaa. Nyimbo zake zinagusa Sana hisia. Kuna hi pressure makes diamond, tears of the lonely, that's all it takes, leaving for the flat lands, we should be together, it rains on me, I recall a gypsy woman Yani zoote nazifaham nakuziimba kiufasaha
 
Ahsante mkuu Copenhagen DN kwa kuniita mkuu. Hebu nenda kasikilize kwanza kibao chake cha Miller's cave alichowafanyie yule demu wake machepele wa pale waycross Georgia na lile jamaa libabe, ligangwe na katili kuliko wote ndani ya hilo Jimbo la Georgia.
Aliwaahidi atakachowafanya basi the next time they meet will be in their graves na hakuwakopesha
Halafu akakimbia zake kwenda Tiger Mountauns na kutowekea zake ndani ya Miller's Cave iliyokua katika safu ya hiyo milima.
 
Nimetoka kusikiliza sasa hivi sikuwa naufaham dah meanest man in the state of Georgia. Je umesoma comments za watu chini ya video kwenye huo wimbo.
 
Kitu Cha 1982 bado kabisa sijazaliwa. Pure traditional country music.

Lord have forgotten me have been praying to you faithfully am a sinner but rightopus man but Lord hope you understand.

Kila niamkapo naenda kazini naanzaga Na huu wimbo.

Yani huyu mzee
Mzee ameacha legacy aisee,RIP DON
 
Nadhani ndio msaniii pekee duniani niliyekua nawish kumuona aki perform live jukwaani.

Ila ndo hivo basi tena
Sikiliza wimbo wake leaving for the flat land nauhakika utakupa imani utaona show yake huko peponi
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom