Don Shkuba Yupo Huru

Don Shkuba Yupo Huru

Tuagize

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
244
Reaction score
590
Chei Chei Waungwana

Muna Habari Yoyote Kuwa Shkuba Yupo Huru ?

Kwa Taarifa zilizonifikia wakati huu kuwa Tajiri Shkuba kamaliza kifungo chake cha miaka minne na sasa yupo huru na yupo nchini hapa
Mwenye update anaweza kushare na sisi pia kuhusu Tycoon Shkuba

IMG_7449.jpg
 
Tajiri Shkuba

Ali Khatib Haji Hassan almaruf a.k.a “Shkuba” ahukumiwa miezi 99 jela mwaka 2019 nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kuongoza genge la wauza madawa ya kulevya kimataifa .

9 August 2019
U.S. Attorney's Office, Southern District of Texas

11 Sentenced in Transnational Heroin Trafficking Ring

Houston – A total of 11 men from the countries of Tanzania, Pakistan and Iran have been ordered to federal prison for their part in trafficking multiple kilograms of heroin to the United States from abroad, announced U.S. Attorney Ryan K. Patrick.

Ali Khatib Haji Hassan, 49, Makame Haji Mwinyi, 49, Ernest Michael Mbwile, 35, Abdulahtif Juma Maalim, 43, Ibrahim Omary Madega, 52, Tiko Emanuel Adam, 41, Iddy Saleme Mfullu, 46, Mohammed Said Mohammed, 48, Daud Michael Vedasto, 58, all from Tanzania, previously pleaded guilty as did Salim Omar Balouch, 36, from Iran, and Abdul Basit Jahangir, 40, from Karachi, Pakistan.

On Aug. 7, 2019, U.S. District Judge Sim Lake completed two days of hearings and ordered them all to federal prison.

Jahangir received a 151-month term of imprisonment. Mfullu and Mohammed both received terms of 50 months, while Hassan, Mwinyi, Mbwile, Maalim, Madega, Adam and Vedasto, were ordered to serve 99, 62, 52, 46, 87, 37 and 46 months, respectively. The court imposed a 135-month sentence for Balouch. Not U.S. citizens, they are all expected to face deportation proceedings following their sentences.

This case began with the arrest of an internal body carrier at Houston’s Bush Intercontinental Airport June 3, 2012. That defendant had swallowed 1.5 kilograms of heroin packaged in 100 pellets.

The investigation eventually led to the charging of 15 defendants, including two Consolidated Priority Organization Targets, one U.S. Treasury Department designated “King Pin” and seizures of approximately 1,600 kilograms of heroin.

This investigation not only touched the United States, but also Canada, Afghanistan, Pakistan, Iran, South Africa, Tanzania, The Republic of Seychelles, Hong Kong, Australia, Oman, United Kingdom (UK), Italy, Brazil, United Arab Emirates, South Korea, Mozambique, The Netherlands and Saudi Arabia.

Thirteen have pleaded guilty. Two remain fugitives.

Immigration and Customs Enforcement’s Homeland Security Investigations (HSI) conducted the Organized Crime Drug Enforcement Task Force Investigation dubbed Operation Diver Down with assistance from other HSI offices domestic and foreign, Drug Enforcement Administration, South African Police Service, Dubai Police Department, Royal Oman Police, UK National Crime Agency, Royal Canadian Mounted Police and Australian Federal Police.

Assistant U.S. Attorney Richard Magness is prosecuting the case.
Source : 11 Sentenced in Transnational Heroin Trafficking Ring
 
Shikuba mbona yuko nje muda kidogo, kijana wake Tikotiko naye yuko kitaa muda pia.. salama yake ni kwenda kuhukumiwa USA, angejaa kwa yule Mwamba JPM angenyolewa kama yule mwenzie wa Tanga Yanga Omar.. JPM ndiye alikuwa kiboko yao hawa.

Sasa hivi mdebwedo tu, naamini siku si nyingi yule jamaa wa migomigo kingpin mwingine Chonchi naye atakuwa huru maana mpaka sasa hajahukumiwa, naona wanatafuta njia wamteme.

Vijana kwasasa wanabinjuka tu, ni kama lango liko wazi, njia zote zinapitika.
 
Khaah, movie zinaharibu sana jamani nini hiki???
ni na miaka 3 sasa sijawah kuangalia muvi wala kutazama tv, broo mi mwenzako huwa napendaga sana matukio maovu maovu tokea nikiwa na miaka 15 nimekuwa navutiwa sana na uhalifu kuna siku niliwekwa ndani jera kwa kosa la privet kidogo huwez amini nilifurah sana ubaya walinifunga miez sita siku ya kunitoa niliuzunika sana kwahy hapa natafuta namna nifanye kosa lenye umaharufu ndan yake, yaan lenye pesa ili nikiwekwa jera nikae japo miaka 30
 
Sasa si ukauze vipande vya Nyama ya Swala kama yule Mama wa Iringa aliyekula mvua ya miaka 22!!
 
ni na miaka 3 sasa sijawah kuangalia muvi wala kutazama tv, broo mi mwenzako huwa napendaga sana matukio maovu maovu tokea nikiwa na miaka 15 nimekuwa navutiwa sana na uhalifu kuna siku niliwekwa ndani jera kwa kosa la privet kidogo huwez amini nilifurah sana ubaya walinifunga miez sita siku ya kunitoa niliuzunika sana kwahy hapa natafuta namna nifanye kosa lenye umaharufu ndan yake, yaan lenye pesa ili nikiwekwa jera nikae japo miaka 30
Dah,haya
 
Back
Top Bottom