ni kweli kabisa itanibidi nifanye hivyo la sivyo nitafeli.kwahiyo lazima uandike mistari kwanza?
Hahahaaa....... Ingekuwa mie ndio huyo dada ningemzaba kibao..!
ukikariri unaweza ukasahau ukishaanza kutishwa na ile misemo,nitakusemea kwa baba kumbe wewe ndio mtindo wako eh! kwahiyo yuko sahihi sana kuichukua ile mistari.kkkkkkkkHahahahahhaaha maskini weeee.afadhali hata angekariri usiku mzima.. kuliko kwenda na kijikaratasi lol.