Dominique Strauss Kahn ALIBAKA MWINGINE?

Habari toka mtandao wa Wikileak zinaonyesha kuwa mzee wa kazi Dominique Straus Kahn aliwahi kumzingua mdada katika mambo ya kiunoni. Habari kamili zipo hapa. Babu anaonekana ana ubavu sana, at 62 halafu anakuwa mtundu!

[URL="http://wikileaksnews.net/the-imf-boss-also-tried-to-rape-tristane-banon.html"]http://wikileaksnews.net/the-imf-boss-also-tried-to-rape-tristane-banon.html[/URL]

hizo ni fitna za nicolas sakorzy kumzima babu asigombee urais. hii ya wikileak inaweza kuwa hoja lakini ya juzi imepikwa. labda walimlengesha tu kwa kujua udhaifu wake kuwa anapenda viuno.
 
Back
Top Bottom