Mvaa Tai JF-Expert Member Aug 11, 2009 6,159 4,443 Aug 24, 2011 #1 MICHUZI: Bosi wa zamani wa Benki ya Dunia Dominique Strauss-Kahn afutiwa kesi ya kubaka
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Aug 24, 2011 #2 Nji za wenzetu haki bin haki hapa kijairojairo tuuu wizi mtupu
Azimio Jipya JF-Expert Member Nov 27, 2007 3,362 1,131 Aug 24, 2011 #3 flora msoffe said: Nji za wenzetu haki bin haki hapa kijairojairo tuuu wizi mtupu Click to expand... ... Jairo inatisha zaidi ya huyu Bwana ..atleast Mwanadada alifanya Oral S**! ambayo inaoyesha kuwa WILILING!
flora msoffe said: Nji za wenzetu haki bin haki hapa kijairojairo tuuu wizi mtupu Click to expand... ... Jairo inatisha zaidi ya huyu Bwana ..atleast Mwanadada alifanya Oral S**! ambayo inaoyesha kuwa WILILING!
Mwendabure JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,138 1,040 Aug 24, 2011 #4 Ila yule Dada kanona tuache masihara wajameni khaa! Lakini kazi ya yule Babu imenona zaidi... Loh! Dunia kweli tambara bovu, hakya mama!
Ila yule Dada kanona tuache masihara wajameni khaa! Lakini kazi ya yule Babu imenona zaidi... Loh! Dunia kweli tambara bovu, hakya mama!