Domestic workers

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,713
1,263
KAMPENI KWA NJIA YA VYOMBO VYA HABARI, JUU YA KAZI ZENYE STAHA KWA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI, mnakaribishwa wote mnazi mmoja.

Wamama wote wenye manyanyaso kwa wafanyakazi wenu wa ndani, mnatunga sheria ambazo hata katika ulimwengu wa roho hazipo, mnapiga mara nyingine hata kuwajeruhi wasaidizi wenu wa ndani (chungeni sana), kama mwanaharakati naombeni sana mhudhurie mpate nasaha.

Karibuni sana

Nawakilisha.

CD
 
^^
Tufanye nini..kama tuna wake wasioambilika? Ishikeni adabu na upole mengine mtapata..vyeo vyenu na utajiri wenu sio mwalimu mzuri
^^

Himidini, kuna wale wanawake wanafanya wasaidizi wao wa kazi kama wajinga. Unamwacha HG nyumbani unakuta amefanya vitu ambavyo wewe mwenyewe huwezi kufanya, anajali familia yako na kulea watoto wenu kama mama yao. Nafikiri nikikuta husband anajisevia HG sishangai.

She is more than a wife.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom