Domestic and wild animals episodes

Domestic and wild animals episodes

Hawa nao wana politics, sometimes kuna migogoro ya kifamilia au makundi ambayo hupelekea mauaji na kuwa- exile baadhi ya members
Wana adhabu zao ukofanya makosa au ukotoka familia tofauti na kwenda kupeleka sheria za huko au usiwe na familia kwa muda mrefu uje uibuke tu na kundi lingine la nyani wanakutimua na ugeni wako.
 
Hawa ni ndugu zetu kabisaa sema wale ndugu wenye upendo sio hawa wa kuuana kisa uchaguzi hawa nyani hawawezi kufanya hivyo akili wanazo..
FB_IMG_1754363562037.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom