Hawa ni watu kabisa sema wapo tofauti na wale watejaji na wauaji kwa sababu za kisiasa..
Nyati alizingua nini hapo ukute hakutaka kupisha njia dume lipite maana dume la tembo ni kavu sana.
Hawa ni ndugu zetu, tufanana vinasaba kwa >90%Hawa ni watu kabisa sema wapo tofauti na wale watejaji na wauaji kwa sababu za kisiasa..
Hawa ni ndugu zetu kabisaa sema wale ndugu wenye upendo sio hawa wa kuuana kisa uchaguzi hawa nyani hawawezi kufanya hivyo akili wanazo..Hawa ni ndugu zetu, tufanana vinasaba kwa >90%
Humans and chimpanzees shared a common ancestor approximately 5-7 million years ago (Mya). The difference between the two genomes is actually not approximately 1%, but approximately 4%--comprising approximately 35 million single nucleotide differences and approximately 90 Mb of insertions and deletions.
Hawa nao wana politics, sometimes kuna migogoro ya kifamilia au makundi ambayo hupelekea mauaji na kuwa- exile baadhi ya membersHawa ni ndugu zetu kabisaa sema wale ndugu wenye upendo sio hawa wa kuuana kisa uchaguzi hawa nyani hawawezi kufanya hivyo akili wanazo..