Kuna haja gani ya kufanya hivyo ilhali namba, zipo nyingi tu, si wangesubiri hata 5 years labda.Hiyo ni kawaida kwa mitandao yote. Line ikiwa dormant miezi mitatu wanapewa wateja wengine.
Ifunge Ili Uepuke KadhiaTunauziwa matatizo badala ya huduma
Pole sana. Ulikuwa umeisajili kwa jina lako? Kama ndio hivyo ninaona bado tatizo halijaisha vizuri.Nimeitupa mkuu hali haijawa shwari kabisa