Dokta slaa akihutubia mbinga, songea mjini, mkoani ruvuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dokta slaa akihutubia mbinga, songea mjini, mkoani ruvuma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Negotiator, Oct 3, 2010.

 1. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watz haturudi nyuma, hakuna kuogopa vitisho vya Shimbo na JK, wanalinda maslahi yao kwa kila mbinu. Lakini wapi ndo kwanza mambo yako jikoni.
   
 3. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ole wao walambao makalio ya mafisadi na ilaaniwe siku waliyozaliwa
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kwa hasira nilizonazo kuhusu watu hawa ni bora ungetumnia neno lile lile!!
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Hivi Malaria Sugu mbona unauliza majibu badala ya maswali?
   
 6. LOGARITHM

  LOGARITHM JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Mh. KAFIRIBANGI umenifurahisha kweli. Nimeipenda hiyo.
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sijui hata nikupe zawadi gani.

  Nashindwa kuelewa. Inakuwaje mtu anakuwa puppet wa mafisadi utadhani kapewa limbwata? Ila ipo siku watakosa pa kukimbilia.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  NEGOTIATOR hii mjomba nimeipenda sana. Ianzishie thred kabisa kama vipi ili wanaolamba na walamwaji waone kabisa jinsi tulivyochoka nao .ccm-- Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  NEGOTIATOR hii mjomba nimeipenda sana. Ianzishie thread kabisa kama vipi ili wanaolamba na walamwaji waone kabisa jinsi tulivyochoka nao .ccm-- Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Nani kasema? rudi shule, kamwambie na wenzako
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  MS.......eti unalamba nanai hii....yani kama walivyosema?
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,192
  Trophy Points: 280
  Utumwa wa akili ni mbaya sana hujadili kilichoandikwa ila unaandika kilicho kichwani mwako ni kama roboti lililosetiwa ndiyo maana unaambiwa ukalambe makalio.
   
 13. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...