waiting...
Leteni utamu huo wa dk alichonena
Si nilisema atakuja na document za siri Kubwa, hana jipya huyu mzee.
Huyu mzee anahitaji maombi, mzee wa upako ebu msaidie huyu mtu.Simuelewi kwa kweli yaani Sitta kutoa maoni yake leo anakuja na kashfa yake siku zote alikuwa wapi? inamaana Sitta asingezumza yale hizo document angekolezea mkaa nyumbani kwake?
uchovu mkuu huwa inatokea mara moja moja sio kila cku kama wassira na komba!!Hii sasa ni habari.Imekuwaje Kamanda(kwenye picha ya pili toka chini nyuma ya Dr.Slaa) asinzie wakati mambo muhimu yanaelezwa?
Si nilisema atakuja na document za siri Kubwa, hana jipya huyu mzee.
Huu moto wa m8c utapoa tu. 2015 mbali!!