Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,099
Pole sn kwa wazazi wa mtoto huyo.Kwa uelewa wangu mdogo mtoto mara baada ya kuzaliwa anatakiwa alie.Huku kulia kunatokana na baridi anayoikuta huku nje ukilinganisha na ndani alikokuwa.Kulia huku kuna faida yake kibailojia.Kuna presha ambayo utengenezwa na tundu kwenye ukuta unaotenganisha upande wa kulia na kushoto hufunga na mtoto anaanza kujitegemea mzunguko wk wa damu na upumuaji.Kupumua hapa ni tendo la muhimu sn kwani ubongo huishi kwa kutumia oksijeni.Oksijeni husambazwa na damu baada ya lile tundu kuziba.Ubongo ukikosa oksijeni zaidi ya dakika tano(hapa yaani mtoto hajalia)basi sehemu husika ya ubongo itakufa!Hi, Great Thinkers,
Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu niwashirikishe great thinkers ili kulipatia ufumbuzi jambo hili
Ishu yenyewe ni kuwa huyu binti alijifungua mtoto wake wa kike ambaye ndie first born almost miaka miwili na nusu iliyopita. Mtoto akaendelea kukua vizuri lakini kwa bahati mbaya mtoto huyu kila alipokuwa akifanyishwa mazoezi ya kukuaa alikuwa akilia sana kuashiria kuwa anapata maumivu makali sana.
Hali ikaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ndipo ikabidi apelekwe hospitali, majibu ya vipimo yakaonyesha mtoto ana tatizo kwenye central nervous system, kwa maana kwamba ana tatizo kwenye uti wa mgongo na upande flan wa brain unaohusika na kukontrol movement
Ushauri wa madaktari ukawa hakuna dawa ya moja kwa moja ya kutibu tatizo hili isipokuwa ni kwa kumfanyisha mazoezi ili kuactivate hiyo sehemu ya brain iliyo dormant, lakin sasa ni takribani miezi sita but no changes.
Lakini nilipotaka kujua nini chanzo cha tatizo hili, alinieleza kuwa ameambiwa na daktari tatizo hili lilisababishwa na mtoto kuchelewa kulia mara tu baada ya kuzaliwa (hili litalihoji siku nyingine, uhusiano uliopo kati ya kulia kwa mtoto baada ya kuzaliwa na maendeleo yake kiakili)
Ndugu zanguni katika mazingira kama haya, naanza kuona kama vile huenda mtoto huyu ndio akalemaa moja kwa moja na kuwa kilema.
Great thinkers naomba msaada wenu ni kwa namna gani tunaweza kumsaidia huyu binti pamoja na mwanae, kwa upande wangu nachelea kuamini kuwa hakuna dawa ya tatizo hili apart from mazoezi. GT allow me to present.
Nashukuru sn mkuugreen_marwa, Naomba nisahihishe haya
Celebral pulse- Cerebral palsy.
Epigiscore- Apgar score
Kulia hakutokani na "baridi anayoikuta huku nje"..mtoto bado huhifadhiwa/hutunzwa katika sehemu ya kuhifadhi joto sana..bali kutokana na kuvuta hewa kwa mara ya kwanza, ikiashiria uwezo wa kujimudu(kwa kupumua atleast) mara baada ya kuzaliwa.
Pole sn kwa wazazi wa mtoto huyo.Kwa uelewa wangu mdogo mtoto mara baada ya kuzaliwa anatakiwa alie.Huku kulia kunatokana na baridi anayoikuta huku nje ukilinganisha na ndani alikokuwa.Kulia huku kuna faida yake kibailojia.Kuna presha ambayo utengenezwa na tundu kwenye ukuta unaotenganisha upande wa kulia na kushoto hufunga na mtoto anaanza kujitegemea mzunguko wk wa damu na upumuaji.Kupumua hapa ni tendo la muhimu sn kwani ubongo huishi kwa kutumia oksijeni.Oksijeni husambazwa na damu baada ya lile tundu kuziba.Ubongo ukikosa oksijeni zaidi ya dakika tano(hapa yaani mtoto hajalia)basi sehemu husika ya ubongo itakufa!
kumbuka ubongo ndo makao makuu ya mfumo wa fahamu.Kwenye ubongo kuna vituo kwa ajili ya kusimamia sehemu mbalimbali za mwili.Sasa km kitakufa kituo kinachosimamia miguu badsi mtoto hatotembe.Km ni kituo cha ufahamu mtoto atakuwa na mtindio wa ubongo(celebral pulse)najua wengi mnafahamu watoto wenye hili tatizo hili.Kuchelewa kulia kunaweza sababishwa na mtoto kuchelewa kutoka aidha kutokana na mama kuchoka au njia kubana.Pia kuna matatizo kama mtoto kunyongwa na kondo au kutoka na miguu badala ya kichwa.Mtoto asiyelia manake hufariki!Sasa sijui huyo mtoto alikumbwa na lipi.Ubongo ukifa akuna dawa tena...utakuwa ulemavu wa kudumu kwa mtoto(permanent residue disability)mazoezi husaidia mtoto kulimudu tatizo na kujua jinsi ya kuishi nalo.Baada ya kuzaliwa mtoto hupewa maksi(Epigarscore)... Sehemu kubwa ya maksi au point hizi ni kulia tena kwa sauti!Wataalam wanasema masi hizi zinauhusiano kabisa na uwezo wa kiakili mtoto atakapokuwa mtu mzima.Nadhani zingekuwa zinaandikwa kwenye cheti...ukiwa mtu mzima ujijue kwamba ww kwa nn ni kilaza darasani...lol!natania tu!
Mkuu mbona umerudia nlichoandika mimi?umesoma vizuri kweli?hatuko hapa kutibu ila kutoa mwangaza kuhusu tatizo.huyu jamaa yy si mwenye mtoto na maswali ya ndani km hayo si rahisi kujibu kwa haraka.Hata mhusika mwenyewe labda mganga au muuguzi alimuhudumia.Ukiulizwa swali jaribu kuingia kwa undani na kufind all possibilities ili mhusika atengeneze swali km hajaelewa na si ww kumuuliza maswali!Hebu acha kudanganya watu nyinyi ndo mnaojifanya Mdr na kudanganya watanzania.
Mleta mada naomba ujibu maswali uliyoulizwa hapo juu pamoja na haya yafuatayo afu tukujue nini shida kwa mwanao na nini kifanyike.
1. Ulimzaa kwa njia gani operation au kawaida.
2. Mtoto baada ya kuzaliwa alilia baada ya muda gani.
3. Uchungu wa kukazana kabisa ulichukua muda gani.
Pia jibu maswali ya hapo juu ya makuzi ya mtoto huyo mpaka sasa.
Mkuu mbona umerudia nlichoandika mimi?umesoma vizuri kweli?hatuko hapa kutibu ila kutoa mwangaza kuhusu tatizo.huyu jamaa yy si mwenye mtoto na maswali ya ndani km hayo si rahisi kujibu kwa haraka.Hata mhusika mwenyewe labda mganga au muuguzi alimuhudumia.Ukiulizwa swali jaribu kuingia kwa undani na kufind all possibilities ili mhusika atengeneze swali km hajaelewa na si ww kumuuliza maswali!
Kwenye fani ya afya hakuna kujua au kujua zaidi kila siku ni kujifunza.Ndo mana huoni hata siku moja matangazo ya hospitali wala dawa au madaktari kubishana.Jamaa amenikosoa hapo juu nikamshukuru sana.Doctors practice mdecine...
nazungumzia kashfa uliotoa hapo juu.MaDk wanadhurumiwa lkn hata siku moja uwezi mwona anabishana...wako kimya...
Mkuu
Hi, Great Thinkers,
Ndugu zanguni kuna binti mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida na nimefahamiana nae hivi karibuni, amenieleza kisa cha mtoto wake nikaingiwa na huruma sana nikakaona hebu niwashirikishe great thinkers ili kulipatia ufumbuzi jambo hili
Ishu yenyewe ni kuwa huyu binti alijifungua mtoto wake wa kike ambaye ndie first born almost miaka miwili na nusu iliyopita. Mtoto akaendelea kukua vizuri lakini kwa bahati mbaya mtoto huyu kila alipokuwa akifanyishwa mazoezi ya kukuaa alikuwa akilia sana kuashiria kuwa anapata maumivu makali sana.
Hali ikaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu ndipo ikabidi apelekwe hospitali, majibu ya vipimo yakaonyesha mtoto ana tatizo kwenye central nervous system, kwa maana kwamba ana tatizo kwenye uti wa mgongo na upande flan wa brain unaohusika na kukontrol movement
Ushauri wa madaktari ukawa hakuna dawa ya moja kwa moja ya kutibu tatizo hili isipokuwa ni kwa kumfanyisha mazoezi ili kuactivate hiyo sehemu ya brain iliyo dormant, lakin sasa ni takribani miezi sita but no changes.
Lakini nilipotaka kujua nini chanzo cha tatizo hili, alinieleza kuwa ameambiwa na daktari tatizo hili lilisababishwa na mtoto kuchelewa kulia mara tu baada ya kuzaliwa (hili litalihoji siku nyingine, uhusiano uliopo kati ya kulia kwa mtoto baada ya kuzaliwa na maendeleo yake kiakili)
Ndugu zanguni katika mazingira kama haya, naanza kuona kama vile huenda mtoto huyu ndio akalemaa moja kwa moja na kuwa kilema.
Great thinkers naomba msaada wenu ni kwa namna gani tunaweza kumsaidia huyu binti pamoja na mwanae, kwa upande wangu nachelea kuamini kuwa hakuna dawa ya tatizo hili apart from mazoezi. GT allow me to present.
Nimekusoma mkuu.Ukitibu mgonjwa hapa ni kinyume na ethics za matibabu na nna shaka na utaalam wako.Kanuni zinasema hivyo...mgonjwa anatibiwa kwny forum?ingekuwa hivyo watu wangekuwa wanapiga simu tu hospitali kaka.Hapa ni ushauri tu.mfano akipewa dawa ikareact unafanyaje?au akifariki kutakuwa na rekodi yeyote?maisha ya mwanadamu hayachezewi kaka.Hakuna kitu kidogo...huyu jamaa he is just curios to know...kisheria hata dawa huruhusiwi kuandika hapa.nimerudia vizuri post zote sijaona swali nililouliza hapo kama limeulizwa na sijaona kama umeuliza swali. Maswali niliyosema ajibu ni hippocrist hapo juu, kamwe siwezi kufanana idea na wewe mgonjwa wa kienyeji.
Pia kwa taarifa yako hapa tunatibu wagonjwa wengi tu, hivyo acha watu wajieleze na wengine wajifunze na pia wale wanaoona aibu huwa nawambia wanipm.
Naomba mtoa mada nijibu maswali hayo nitoe majibu hapa.
nimerudia vizuri post zote sijaona swali nililouliza hapo kama limeulizwa na sijaona kama umeuliza swali. Maswali niliyosema ajibu ni hippocrist hapo juu, kamwe siwezi kufanana idea na wewe mgonjwa wa kienyeji.
Pia kwa taarifa yako hapa tunatibu wagonjwa wengi tu, hivyo acha watu wajieleze na wengine wajifunze na pia wale wanaoona aibu huwa nawambia wanipm.
Naomba mtoa mada nijibu maswali hayo nitoe majibu hapa.
There are all kinds of theories, but no one knowsLeo nimecheka na kuamini JF ni kisima cha kila kitu Mupirocin ulichotakiwa ni kutuelewesha sote ndio tungejua nani ni Mganga wa Kienyeji na nani ni Mkunga green_marwa simbishii kabisa kwani tangu dahari ya Dunia hii MUNGU alimwambia Hawa atazaa kwa uchungu na wakunga ndio hawahawa wanaosomea kila siku
Huku kwetu kina Mama wajawazito wanajifungulia kijijini na mitaani kwa staili nyingi ambazo huwezi kuwabishia kuwa hawajaelimika
Tatizo linakuja ni nini kinasababisha haya magonjwa ya mtindio wa Ubongo unaosababisha UZEZETA au kuwa na KICHWA KIKUBWA je ni wakati wakuzaliwa?
Mleta Mada ukiambiwa mtoto akikutana na hewa baridi analia ni NO BIG NOOO jibu ni kuwa wakati mama mjamzito anaokuwa na mimba huwa mtoto anatumia njia ya kitovu kupata mahitaji yote sasa anapozaliwa hukata kile kitovu kwa mkasi au wembe msafi na hivyo kutokuwa na mawasiliano tenana Mama
anachofanya Mkunga hata huko Kijijini ni kumnyanyua miguu juu na kichwa chini na kumtikisa au kumiga nyuma ya mgongo ili kufungua mapafu yafanye kazi (kitendo cha Diaphram kufunguka na hewa kuingia na kutoka hapo mtoto hupata Oxygen ambayo husafirisha damu kote na hata huko kichwani)
kwa hiyo haa JF tuwaruhusu wote wachangie hata hawa wagonjwa wa kienyeji tutapata mengi
Epigiscore- Apgar score.
Appearance, Pulse, Grimace, Activity, andNaomba nielezwe zaidi juu ya hii APGAR Score. mfano: wangu aliscore 8 hii tafsiri yake ni nini?
Appearance, Pulse, Grimace, Activity, and
Respiration.
Five factors are used to evaluate the baby's
condition and each factor is scored on a scale of 0 to
2, with 2 being the best score:
1. appearance (skin coloration)
2. pulse (heart rate)
3. grimace response (medically known as "reflex
irritability")
4. activity and muscle tone
5. respiration (breathing rate and effort)
Tumesema hizi ni point kuanzia 2(hi-score),1(afadhaliy na 0(mbaya)Pointi hizi anapata katika vigezo vyetu vile vitano.Ina mana ss point ni kati ya 0(kafa) mpaka 10.Pointi hizi hutolewa baada ya tu mtoto kutoka,halafu baada ya dk 5 na kama ana hali mbaya hata baada ya dk 10. Mfano Kupumua(kulia):kama amelia kwa kutumia nguvu na anahema vizuri ni pointi 2,akilia kichovu na kuhema kwa mapozi au anagwaya ni 1 na asipofanya lolote ni 0.Kuangalia motorsystem relexis(misuli)unambeba halafu unafanya km unamwangusha hivi...utamwona anashtuka sn...unajaza.mara nyingi hawatoi zote 10 kwa hiyo mtoto mzima kabisa anapata 8.sikumbuki kwa nnAksante sana Green_Marwa. lakini naona ulichofanya ni kunyambulisha vitu hivi!
ningependa bado kujua tafsiri ya score hizi katika hiyo scale ya 0,1,2,3,4,..15.
mfano: mtoto anapo score 4/15 tafsiri yake nini-ana afya, ana mapungufu au vipi?
thanks once more!