Dokta mimi siumwi huko

Dokta mimi siumwi huko

DOKTA SIUMWI HUKO-8


ILIPOISHIA:
“Hebu acha maneno yako wewe…,” alijibu Dokta Kisarawe huku akimalizia kufunga kufuli la mlango.
YUMBAYUMBA NAYO SASA…
“Kha, dokta mbona sikuelewi…?”
“Hunielewi kivipi wewe….?”
“Si hivyo, ina maana kweli hujui kilichonileta…?”


“Sasa kama ningekuwa sijui si ningekuuliza…?”
Sulee alibaki kimya. Akawa hana cha kujibu wala kuongezea kwa hapo. Majibu ya mkato ya Dokta Kisarawe yalikuwa yamemuumiza na kumvunja moyo vibaya mno.
“Unajua Sulee mimi nakushangaa sana…,” Dokta Kisarawe alifungua tena uwanja wa mazungumzo baada ya Sulee kubaki kimya.


“Wewe unanishangaa mimi, au mimi ndiyo nakushangaa wewe…?”
“Kwani, hebu ngoja nikuulize, hivi inawezekana kweli nikawa nawaita wagonjwa wengine, hadi nafunga mlango halafu nisijue kilichokuleta, inawezekana kweli?”
Sulee alibaki kimya tena, akawa anamwangalia Dokta Kisarawe kwa macho ya ‘unataka kusema nini sasa?’


“Sikiliza, nina mazungumzo na wewe nje ya mazingira haya ya kazi, ndiyo maana sikutaka kukuita toka mwanzo,” alisema Dokta Kisarawe na kumfanya Sulee aachie tabasamu kwa mbali.
“Hapo sawa, kwa hiyo tunaelekea wapi…?”
“Wewe tulia, si uko na mimi sasa wasiwasi wako nini…?”
“Mmh…!”, Sulee aliishia kuguna.


Dokta Kisarawe akanyanyua simu na kupiga upande wa pili, ambapo ndani ya dakika kumi na tano, ilikuja teksi na kusimama karibu kabisa na walipokuwa.
Sulee akaelewa kuwa kumbe ile simu ilikuwa ni wito wa teksi. Kwa tahadhari kubwa sana, Dokta Kisarawe akampa ishara Sulee ya kumtaka akae siti ya nyuma.


Yeye akakaa mbele na dereva. Safari ikaanza huku Sulee asijue walipokuwa wakielekea.
Akataka kuuliza lakini dhamira ikamsuta na kubaki na maswali yasiyokuwa na majibu.
“Sijui tunaelekea wapi jamani…?”
“Lakini namie bwana, si nimeambiwa nitulie kwa kuwa niko naye…!”


“Lakini hata kama, sasa ndiyo napelekwa pelekwa tu kama mbuzi…!,” alizidi kuwaza lakini wakati akiendelea na mawazo hayo, ghafla mazungumzo yake na Dokta Kisarawe yakajirudia kichwani kwa kasi ya ajabu.
“Haa, sasa Dokta mbona unaondoka vipi kuhusu mimi jamani…?”
“Kuhusu wewe nini tena…”
“Si tiba yangu…”


“Ipi…?”
“Ya siku zote, ina maana umesahau kabisa…?”
“Hebu acha maneno yako wewe…,”
“Kha, dokta mbona sikuelewi…?”
“Hunielewi kivipi wewe….?”
“Si hivyo, ina maana kweli juhui kilichonileta…?”


“Sasa kama ningekuwa sijui si ningekuuliza…?”
“Sikiliza, nina mazungumzo na wewe nje ya mazingira haya ya kazi, ndiyo maaana sikutaka kukuita toka mwanzo.
“Hapo sawa, kwa hiyo tunaelekea wapi…?”
“Wewe tulia, si uko na mimi sasa wasiwasi wako nini…?
Ikabidi atulie.


“ngoja nione mwisho wa safari hii…,” akawaza moyoni huku akiegemea kwa nyuma.
Safari ikaendelea, mbele kidogo dereva alianza kupunguza mwendo, Sulee alipochungulia kupitia kioo, akasoma bango lililoandikwa Utulivu Gest House.
Moyo ukamlipuka, akajua nikilichokuwa kinaendelea.


Baada ya kuteremka, dokta alimlipa dereva pesa yake na kumruhusu aondoke zake lakini akamwambia angempigia simu baaadaye kwa ajili ya kwenda kuwapokea. Alionekana kuwa ni mtu wake wa karibu sana, ndiyo maana Dokta Kisarawe alikuwa anamuamini kwa kiasi kikubwa namna hiyo.
Wakazama hadi mapokezi ambapo baada ya kukamilisha taratibu zote, wakapewa chumba.
Walipoingia tu, Dokta akaanzisha mazungumzo.


“Umeona mwisho wa safari yetu…?”
“Nimeona, umeshinda bwana…”
“Ulikuw ana wasiwasiii….?”
“Mmh…”


Dokta Kisarawe alimwambia Sulee kuwa alikuwa mjamzito jambo lililomshangaza sana Sulee.
“Unasema kweli dokta…?”
“Wewe niamini mimi…”
“Kweli…?”


“Ili uhakikishe, naomba kesho ukapime kwa daktari mwingine halafu uje uniambie.”
Waliongea mengi lakini mwisho wa siku wakaelekea kwenye uwanja wa fundi seremala ambapo shughuli ilikuwa pevu, Sulee alijiachia na kutamka maneno yote aliyoyajua. Hatimaye walifika pamoja mwisho wa safari yao.


Baada ya shughuli hiyo, Sulee aliingia bafuni kujiweka sawa, na kisha kutoka ambapo alichukua usafiri hadi nyumbani kwake.
“Mbona leo umechelewa sana kurudi…?,” Mumewe Sulee, Masofa alimuuliza akiwa amekunja ndita.
Ilikuwa ni kama saa mbili na dakika kumi usiku kwa wakati huo.
“Watu walikuwa wengi sana, halafu nina habari njema sana mume wangu…”


“Habari gani hiyo…?”
“Nina mimba…”
“Amekupima…?”
“Sasa asingenipima ningejuaje…?”
“Ok, mimi siamini labda twende kwa daktari mwingine…”


“Sawa…”
Waliongoz
ana hadi kwenye zahanati ya jirani, na kumkuta daktari akiwa peke yake.
“Karibuni jamani”
“Ahsante…”
Walieleza shida zao, taratibu zikafanyika na baada ya dakika ishirini, waliitwa na daktari huyo.

'kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili' mithali 11:22
 
Tunaendelea na story yetu ya Doctor kisarawe
 
DOKTA SIUMWI HUKO-18


ILIPOISHIA
Monica alifedheheka, akaanza kuhisi Sulee amemwingiza mkenge kwa kumpeleka kwa daktari feki na si yule aliyemsaidia yeye…
“Lakini kama ni feki, mbona pale nje palikuwa na wanawake wengine wengi tu tena wasiofahamiana na Sulee. Au..?” alishindwa kumalizia.
Baada ya dakika tano mumewe kuondoka, Monica alishika simu, akampigia simu Dokta Kisarawe…
“Dokta za leo, mimi Monica…”


“Ooo, Monica mpenzi, umeamkaje? Vipi, umenimisi my dear?” “Sikiliza Dokta Kisarawe…”
ENDELEA SASA…“


Enhe, nakusililiza baby.”
“Umenipa dawa gani?”
“Lini?”
“Jana.”


“Si za kusaidia kutunga mimba!”
“Mh! mbona ni dawa za mafua?”
“Sikiliza mpenzi wangu, mimi siwezi kukupa dawa sizo. We endelea kutumia hizo dawa halafu baada ya siku ishirini utaniambia matokeo,” alisema Dokta Kisarawe.


“Mh! Sijui, yangu macho.”
“Kwani uko wapi Monica mpenzi?”
“Nyumbani.”
“Unafanya nini?”
“Ndiyo nimeamka.”


“Naomba tuonane leo nje ya nyumbani kwako au nje ya hapa hospitalini kwangu.”
“Unataka nini tena? Jana si ulifanikiwa?”
“Nilifanikiwa lakini si kwa uhuru nilioutaka.”
“Uhuru gani? Kwani ulitaka uhuru au ulitaka kutimiza haja yako?”
“Haja na uhuru.”


“Kwanza nimegundua kitu, wewe na Sulee ni wapenzi, unabisha dokta?”
“Si kweli, kama mwenyewe Sulee amekwambia hivyo basi ujue ananitaka maana nilishawahi kuona dalili za kunitaka lakini nikampotezea, unajua lazima upende kilicho kizuri kama wewe.”


“Kwani mi mzuri dokta?” Monica alianza kulainika sasa, hata lugha aliyotumia iliashiria hivyo…
“Sana, Sulee atasubiri sana kwako.”
“Mmmh! Ya kweli hayo?”
“Mimi nakwambia ndiyo maana nimeomba tuonane na wewe nje ya nyumbani kwako au nje ya hapa kazini kwangu.”


“Saa ngapi?”
“Sema wewe unataka saa ngapi?”
“Mimi jioni siwezi kutoka kwani nakuwa naandaa chakula cha mista mwenyewe, muda wangu ni asubuhi mpaka kwenye saa sitasita hivi.”
“Basi tukutane asubuhi hii.”


Walipanga kukutana kwenye gesti ya Kivumbi na Jasho nusu saa mbele ambapo Monica palepale aliingia bafuni kuoga na kuvaa. Kwa vile ilikuwa ahadi maalum, Monica alivaa sana siku hiyo.
Alipigilia gauni jepesi la kufika magotini na hivyo sehemu kubwa ya mapaja kuwa wazi. Hakuacha pafyumu kwa kujipulizia kwa wingi.


Midomo aliichora kwa rangi nyekundu huku nyusi akizipunguza kwa staili ya kukatia na kusiliba kwa wanja.
“Hapa naamini dokta ndiyo atazidi kukubali uzuri wangu. Si amesema mimi ni mzuri kuliko Sulee. Leo atajua mimi pia ni mzuri kuliko Kleopatra wa Misri.”


Alibeba kipochi cha begani kilichokuwa na kanga pea moja ndani yake, akachukua Bajaj hadi kwenye gesti hiyo ambapo dokta alishafika kama dakika kumi nyuma.
Alisimama nje ya gesti akamtumia meseji…
“Nipo nje.”
“Ingia namba kumi.”
***
Monica alishaingia chumbani na alikuwa amelala kwenye mapaja ya Dokta Kisarawe akimkunakuna mgongoni huku akizidi kumsifia sana…
“Baby wewe umeumbika bwana, kama hujui naomba ujue sasa.”
“Kweli dokta?”
“Kweli kabisa.”


Kule kushikwashikwa kulimpandisha mashamsham Monica, akaanza kuchaji. Hata kuhema kwake kulibadilika, pozi zilikuwa na kutegatega. Yeye mwenyewe akatoka kwenye miguu ya kwa dokta na kusimama, akajivua gauni, akabaki na kufuli tu, dokta akabahatika kuona uzuri wa mapaja ya mwanamke huyo.


Naye alikurupuka, akasimama, akavua suruali huku akichekacheka kama fisi aliyeona mbuzi akikatizia jirani yake kule porini.
“Lakini leo lazima dokta utumie kinga.”


“Khaa! Monica unataka mimba hutaki mimba? Kinga ya nini tena wakati unasema hujawahi kunasa ujauzito?”
“Ndiyo, lakini sitaki ujauzito wa kwako au mwanaume mwingine nje ya mume wangu.”
 
DOKTA SIUMWI HUKO-19


ILIPOISHIA
Naye alikurupuka, akasimama, akavua suruali huku akichekacheka kama fisi aliyeona mbuzi akimkatizia jirani yake kule porini.
“Lakini leo lazima dokta utumie kinga.”
“Khaa! Monic wewe unataka mimba hutaki mimba? Kinga ya nini tena wakati unasema hujawahi kunasa ujauzito?”
“Ndiyo, lakini sitaki ujauzito wa kwako au mwanaume mwingine nje ya mume wangu.”
BANJUKA SASA…


“Unaamini yeye anaweza kukuzalisha?”
“Si umenipa dawa!”
Dokta Kisarawe alikosa cha kuongeza, akabaki amemkodolea macho mwanamke huyo lakini kutoka moyoni hakupenda kutumia kondom kwake.
“Please my dear, twende uwanjani bila viatu,” alisema dokta huyo huku macho yake yakiwa yanakosa nguvu polepole.
“Hapana dokta, siwezi, tutumie viatu ili nisichomwe na miba. Kama ni miiba nataka ya mume wangu tu.”
“Nikwambie kitu Monica?”
“Niambie dokta.”
“Ujue raha ya mchezo kama huu ni kuingia uwanjani pekupeku, mguu kwa mguu, nyasi kwa nyasi,” hapo sasa Dokta Kisarawe alikuwa amemsogelea Monica na kumshika, akamvutia kwake…
“Noo dokta.”
“Please, nikubalie Monica,” dokta alisema huku akisogeza midomo yake kwenye sikio moja la mwanamke huyo na kumpumulia kwa karibu hali iliyomchanganya Monica ghafla…
“Aaa…dokta…”
“Nini tena Monica jamani?”
“Acha!”
“Kwani unaumia Monica?”
“Dokta bwana, unaniteke…”
“Mmm, polepole Monica wangu,” alisema dokta kwa sauti nene huku akizidi kumhemea, maskini Monica alikosa nguvu ghafla na kulegea.
“Do…do…dok…taaa.”
“Ee.”
“Kwa…kwa…ni…ni..?”
Dokta Kisarawe alimbeba Monica na kumpandisha kitandani, akamfuatia kwa haraka ili asimtoe kwenye ile hali ya msisimko.
Kuanzia hapo, Monica hakusema tena, alimwacha dokta huyo afanye kila alichotaka na yeye alikuwa tayari.
Miguno ilimtoka kinywani mrembo huyo kila pasi ya mpira ilipopigwa kwake, macho yalijaa giza jekundu huku mwili ukiwa mwepesi hasa sehemu ya katikati ambayo inaruhusu mwili kujimega sehemu moja na nyingine, hasa juu kwenda kifuani na chini kwenda magotini.
Wakiwa wazimawazima, wote walijikuta wakitangaza kila mmoja kujipatia pointi moja kwa mkwaju wa nguvu kuliko ule wa penati, wakatulia Monica akijikunjakunja kama samaki aliyerushwa nchi kavu kutoka majini na mvuvi mwenye utaalam wa hali ya juu.
“Iloo, lione kwanza,” Monica alimwambia Dokta Kisarawe huku akijua kwamba alizidiwa na kujikuta akishindwa kusimamia msimamo wake wa kucheza mechi na viatu, akakubali kucheza bila viatu.
“Umedhurika nini sasa mpenzi wangu Monica?” aliuliza dokta huku akichekacheka kimtindo.
“Madhara yapo. Je, nikinasa?”
“Hupendi kunasa?”
“Nilishasema nataka kwa mume wangu.”
“Huwezi kunasa, mi najua. Utanasa kwa mumeo tu.”
***
“Mambo Sulee?” Monica alimsalimia shoga yake huyo siku saba baada ya siku thelathini na moja za mwisho wa mwezi.
“Poa Monica, niambie.”
“Hivi unajua nimepita siku kama kumi na moja?”
“Kweli?”
“Eee.”
“Basi piga vigelegele Monica, tayari.”
“Inawezekana kweli?”
“Kabisa.”
***
Monica aliamua kwenda kwenye zahanati ya jirani na kwake ili akathibitishe kama kweli amenasa…
“Mh! Kama kweli atakuwa mume wangu tu. Siku ile si dokta alisema hakukuwa na uwezekano.”
Monica alipima haja ndogo, akasubiri majibu yake huku kiroho kikimdunda! Hakuwa amemwambia mume wake kuhusu kupitisha muda huo wote na mume naye siku hiyohiyo alikwenda kwenye hospitali moja kubwa kwa ajili ya kucheki mfumo wake wa uzazi kama upo sawa au la!
Wakati mumewe akiwa kwenye benchi akisubiri majibu, yeye alikuwa kwa dokta akipokea na alipanga asimwambie mkewe kwa majibu yoyote yale…
“Ndugu nani…katika maisha yako uliwahi kupata ajali ya gari hivi?” dokta alimuuliza mume wa Monica.
“Yeah! Mwaka elfu mbili na tatu.”
“Ulikuwa hujaoa?”
“Yah!”
“Sasa bwana sikiliza nikwambie, wewe mfumo wako wa uzazi ulivurugika baada ya ajali hiyo. Kwa hiyo huwezi kumpa mimba mwanamke.”
“Kweli dokta?”
“Ndiyo vipimo vinavyosema.”
***
“Mrembo majibu yako yapo sawa. Una ujauzito wa siku kumi na moja sasa. Hongera sana, mwambie mzee pia nampa hongera
ake,” daktari wa zahanati aliyokwenda Monica alimwambia.
“Kweli dokta?”
“Ndiyo kipimo kimesema hivyo mrembo. Wewe ni mjamzito.”
“Jamani, kweli Mungu mkubwa. Asante Mungu wangu. Mume wangu atafurahije?
 
DOKTA SIUMWI HUKO-20


ILIPOISHIA
“Ndiyo kipimo kimesema hivyo mrembo. Wewe ni mjamzito.”
“Jamani, kweli Mungu mkubwa. Asante Mungu wangu. Mume wangu atafurahije?”
JIRUSHE MWENYEWE…


Monica alitoka akiwa na furaha iliyopitiliza, moja kwa moja hadi nyumbani, akafikia sebuleni ili ampigie simu mumewe na kumpa habari njema.


Simu ya mume wake iliita kwa muda bila kupokelewa, ikakatika akapiga tena…
“Khaa! Huyu vipi kwani? Simu hapokei, yuko wapi?”


Akajaribu kama mara tatu mpaka nne bila kupokelewa, akaamua kutuma meseji akiamini kwamba kama mumewe yuko mbali na simu, akiifikia atakutana na ujumbe wake mzuri…


“Baby, Mungu mkubwa mume wangu. Nimekwenda kupima nimeambiwa nina ujauzito. Da! Kweli Mungu hamtupi mja wake.”


Baada ya kutuma meseji hiyo, Monica alikaa nusu saa bila kujibiwa hali iliyompa wasiwasi, alianza kuhisi mumewe amepata matatizo makubwa mahali, akapiga tena simu, haikupokelewa.


“Mmh! Siyo kawaida,” alisema moyoni Monica lakini hakuchukua hatua yoyote. Ile furaha yake ikachanganyika na wasiwasi.
***
Mume wa Monica alikaa kwenye mgahawa mmoja na mume wa Sulee wakizungumza. Mume wa Monica alikuwa akimsimulia alichoambiwa na daktari baada ya kupima eneo la uzazi…
“Kwa hiyo ndiyo hivyo bwana, mimi sina uwezo wa kuzaa tena kwa mujibu wa yule daktari. Nimeumia, lakini nimeikubali hiyo hali, sina jinsi.”


“Da! Sasa shemeji yeye huko anakohangaika kwa Dokta Kisarawe ina maana anapoteza muda tu?”
“Kiukweli anapoteza muda ndugu yangu.”


Meseji nyingine iliingia kwenye simu ya mume wa Monica, mume wa Sulee akamshauri azisome…
“Kaka, kuna simu zimepigwa na meseji zimeingia, ungesoma hata meseji ujue nani, pengine madili ya hela.”
Mume wa Monicha aliivuta simu ilipokuwa, akaitumbulia macho…


“Shemeji yako amepiga mara kibao, halafu kuna meseji yake hapa, anasemaaa…baby, Mungu mkubwa mume wangu. Nimekwenda kupima nimeambiwa nina ujauzito… Da! Kweli Mungu hamtupi mja wake.”
Mume wa Sulee alishtuka kusikia hivyo, mume wa Monicha akaishiwa nguvu kabisa…


“Au dokta amekudanganya ndugu yangu, uko fiti!”
“Noo! Sidhani, huyu atakuwa na mimba ya mwanaume mwingine, kweli kabisa.”
“Hapana bwana, itakuwa yako.”


“Kaka, mimi nimemwamini dokta. Unajua nilishawahi kuwa na demu kabla ya Monica hakuwahi kunasa ujauzito wangu, lakini nilipomwacha tu, akaenda kunasa kwa jamaa mpya. Huoni kama ni kweli sina uwezo wa kuzalisha?”


“Mh! Shemeji anaweza kufanya hivyo?”
“Ndugu yangu, wanawake wanaweza. Tena unajua afadhali na mwanaume anayeweza kuzaa mtoto akamwacha kwa mama yake huko wapi sijui, lakini wao mtoto unalala naye kitandani lakini si wako.”
“Sasa unadhani iweje ili kubaini ukweli au uongo wake?”


“Itabidi nifanye uchunguzi.”
“Dah! Aisee, kama mimi nigundue mke wangu amebeba mimba ya mwanaume mwingine kwa kweli nadhani naweza kufanya jambo baya sana ulimwengu ukanishangaa.”


“Ni kweli. Lakini wewe mwenzangu si uwezo wa kuzaa unao kama hivi shemeji ni mjamzito na ulishawahi kumpa mimba yule mtoto wa mjumbe ukaitoa.”


“Eee, mimi ni mzima kaka, si Diana mtoto wa mjumbe tu, kuna demu anaitwa Maureen naye nilishampachika mimba ikatoka yenyewe,” alisema mume wa Sulee kama anayejitapa kwa mwenzake.


“Mimi bwana nitakwenda hadi kwenye DNA kutaka uhakika, niko tayari kutumia gharama yoyote ile lakini najua mwisho wa siku mtoto si wangu, naamini.”


“Mimi nitakuwa pamoja na wewe.”
Waliagana, kila mmoja akaelekea nyumbani kwake.
***
“Za kazi mume wangu?” Sulee alimsalimia mumewe.
“Nzuri tu.”


“Mbona kama haupo sawa?”
“Nitakuwa sawa kivipi wakati kumbe mnatusaliti?”
“Kivipi tena?”


“Monica amekwenda kupima akagundulika ana ujauzito…’
“Usiniambie, mbona hajania…”


“Sikiliza wewe, mbona unadandia kwa mbele.”
“Enhe?”


“Wakati yeye amekwenda kupima, mumewe naye alikwenda kupima, akabainika hawezi kumpa mimba mwanamke, sasa hiyo ya Monica ameipata wapi?”
“Mh! yamekuwa hayo?”


“Ndiyo maana yake. Nadhani hata hiyo ya kwako si yangu mke wangu.”
“Hamna my dear, mimba yako hii wala usiwe na wasiwasi,” Sulee alisema huku sura yake ikichora alama ya unyonge, alivuta picha kuhusu Monica akaamini hisia zake kwamba alitembea na Dokta Kisarawe ni za kweli.


“Lakini baby, unajua niliwahi kuhisi kwamba Monica anatembea na yule dokta aliyetupa dawa.”
“Dokta Kisarawe?”


“Ndiyo.”
“Kama ametembea naye yeye basi hata wewe umetembea naye maana ndiye uliyempeleka.”
“Wala, mimi hawezi.”


“Hawezi wewe mkali, mgumu, mjeuri au mwanaume mwenzake?”
“Hawezi tu.”
“Sikia Sulee…”
 
DOKTA SIUMWI HUKO-21


ILIPOISHIA
"Sasa ndiyo we unipe kwa njia ya ukweli dokta?" alihoji Monica huku akianza kulia machozi.
"Ndiyo njia ninayoitumia Monica, hata rafiki yako Sulee pia ana ujauzito wangu."
"Ha! Kweli dokta?"
"Sana tu."
Kidogo Monica alijiona kama amepoa kusikia Sulee naye ni mjamzito…
"Sasa utanisaidiaje mimi kuhusu majibu ya DNA?"
"Rahisi sana, ila kama uko tayari kusaidiwa twende gesti sasa hivi."
NENDA NAYO SAMBAMBA…"


Mh! halafu?"
"Aah! Kwani Monica hujui tukienda gesti halafu ni kitu gani?"
"Ina maana dokta bado unataka?"
"Si sana, ila kwa ajili ya kuburudika mwili wangu."


"Hivi dokta huoni kama sitajisikia vizuri kutokana na matatizo?"
"Ni akili tu Monica, unaweka pembeni mawazo yote. Kwani si nimekwambia nitakwenda kuongea na daktari wa DNA kwenye ile hospitali?"


"Utamwambiaje?"
"Najua mimi."
"Nihakikishie kwanza ili kama nikiona kweli inawezekana tunaweza kwenda huko gesti."
"Nitamwambia ayapindishe majibu. Yawe ni kweli mimba ni ya mumeo."
"Lakini si amepimwa imeonekana hawezi kuzaa?"


"Bwana wewe Monica, kila kitu kinawezekana, ujue hilo kwanza ili mengine yaendelee."
"Mh! Dokta huo ni mtihani mkubwa kwangu. Lakini poa twende."
"Sasa sikia, wewe tangulia kufika kwenye ileile gesti ya siku ile."
"Usichelewe."


"Ndani ya dakika sifuri nitakuwa nimefika na mimi."
Monica alikwenda gesti bila kupenda, lakini angefanyaje wakati aliitaka ndoa yake. Dada yake wa kwanza aliachika, wa pili pia, watatu hajaolewa, wa nne kaachika na uzee juu, sasa ilikuwa lazima yeye ajichunge.


Wakati anaingia gesti hiyo, mume wa Sulee akamwona akiwa ndani ya teksi…
"Haa! Yule si shemeji Monica?"
Alichofanya mwanaume huyo alimpigia simu mkewe, Sulee ili amsimulie lakini namba ikawa haipatikani hewani…


"Khaa! Huyu naye vipi? Mbona hayupo hewani!"
Alijaribu mara mbili tatu, mwishowe akaamua kumpigia simu mume wa Monica…
"Mshikaji wapi saa hizi?"
"Job, niambie…"


"Mh! Kuna ishu moja hivi lakini naona kama haijakaa sawasawa."
"Ipi hiyo tena?"
"Nimepita kwenye gesti moja hivi, nimemuona shemeji akiingia. Mna mgeni yeyote ambaye amefikia gesti?"


"Hapana! Ni wapi?"
"Hapa Kinondoni Mkwajuni."
"Nakuja, nisubiri hapohapo ulipo."
"Poa."


Mume wa Monica alikodi teksi akamuomba dereva aendeshe kwa kasi hadi Kinondoni Mkwajuni. Hakutaka kumpigia simu mke wake asije akapoteza ushahidi. Alikutana na mume wa Sulee ambaye alihama kwenye teksi akaiacha iende na kuingia kwenye teksi aliyofika nayo mume wa Monica.
"Vipi mshikaji, gesti gani?"


"Ile pale yenye maua. Lakini ni vyema umpigie umuulize aliko si ajabu si yeye, nilifananisha tu."
"Hapana, nikimpigia nitapoteza ushahidi."
"Huwezi, kwani akiwa yeye kweli na sisi tumesimama hapa nje atajiteteaje?"
"Lakini kweli."


Mume wa Monica aliiseti simu yake akampigia mke wake, simu iliita kwa muda mrefu mpaka ikakatika...
"Hapokei," alisema mume wa Monica kwa sauti iliyoambatana na mtetemesho wa ghadhabu kama siyo hasira za kupitiliza.


Mara Dokta Kisarawe akatokea, mume wa Sulee anamjua alishakutana naye siku moja…
"Ha! Mshikaji, huyo anayeshuka kwenye gari ndiye Dokta Kisarawe ambaye anawatibu wake zetu."
"Mh! Au ndiyo jamaa mwenyewe?"
"Huenda."
"Sasa?"


"Tusubiri hapahapa nje."
Mara, simu ya Monica iliingia kwa mume wake…
"Huyo anapiga."
"Pokea."
"Haloo."


"Ee my husband, nimeona missed call yako hapa."
"Uko wapi kwani mpaka hukupokea simu?"
"Kwani we uko wapi?"
"Khaa! Mimi nakuuliza na wewe unaniuliza, una akili kweli wewe?"
"Mimi nipo jirani na nyumbani kwa mama Mariam."
"Oke, sawa."


Upande wa pili, yaani kwa Monica ikakata simu haraka.
"Sasa sikia, tukisema tukavamie vipi?" aliuliza mume wa Monica.
"Mawili. Kwanza niambie, kama kweli ni yeye utachukua hatua gani mzee?"
"Talaka tu."
"Una uhakika?"


"Mungu vile ni talaka tu."
"Okey, kama ni talaka basi tusivamie, tukae mpaka watoke sisi tushuke kwenye gari tukiwa wawili hivihivi."
"Sawa, niko tayari."
 
DOKTA SIUMWI HUKO-22


ILIPOISHIA
"Mh!" aliguna Sulee.
"Unaguna nini, au unajua si yake kweli?"
"Hapana, nimeguna kuona amefikia huko."
Palepale, Sulee alishika simu na kumtumia meseji Monica…
"Mwenzangu unalo, mpaka kwenye DNA?"
JIACHIE MWENYEWE…


Monica aliposoma meseji ya shoga yake huyo alishtuka sana, lakini pia aliumia moyoni…
"Ina maana mume wangu amemwambia Sulee kuhusu hili?"
"Mbona siamini! Mume wangu na Sulee wapi kwa wapi mpaka amwambie mambo mazito kama haya?" aliwaza moyoni Monica huku akiseti namba za Sulee ili amtwangie…
"Ee…"


"Sulee, nani amekwambia?"
"Ni kweli si kweli?"
"Ni kweli ndiyo, lakini nani amekwambia?"
"Mume wangu."


"Kaambiwa na nani?"
"Si kaambiwa na shemeji."
"Kamwambia tu au?"
"Kamwambia amsindikize hospitali."
"Mh!" aliguna Monica, mapigo ya moyo yalimwenda kwa kasi ya ajabu.
***
Usiku wa kuamkia siku ya kwenda hospitali, Monica alimwamsha mumewe…
"Baby…baby."
"Mh!"
"Nataka kuzungumza kidogo."
"Kuhusu nini?"


"Hivi ni kweli kabisa umedhamiria kesho kwenda kupima DNA?"
"Hilo lilishapita na kama umeniamsha kwa ajili hiyo naomba aniache nilale vinginevyo niambie ukweli una mwanaume mwingine nje?"


Monica hakujibu swali hilo. Moyoni alijua anaye mwanaume hata kama si rasmi ambaye ni Dokta Kisarawe, lakini atawezaje kumwambia mumewe kuhusu hilo?
"Sina," alijibu kwa mkato.


"Basi majibu tutayapata kesho kwenye DNA."
"Mh!" Monica aliguna, akabaki kimya. Usingizi haukumpata, muda mwingi akili yake ilikuwa ikifikiria namna ya kufanya ili kuepukana na zoezi la kwenda kupima hiyo DNA…
"Au niamke mgonjwa?" aliwaza…


"Tena nataka kukwambia hivi Monica, kesho asubuhi hata ukiamka unaendesha tumboni, daktari na vipimo vyake atakuja hapahapa nyumbani," alisema mume wake na kuuza mawazo kwamba aamke anaumwa japokuwa naye alitoa kauli ya kumchimba mkwara tu.
***
Asubuhi Monica ndiyo alikuwa wa kwanza kutoka kitandani, hakupata usingizi kwa usiku kucha huku akiendelea kuwaza kitanzi kilicho mbele yake…
"Za asubuhi?" alimsalimia mumewe.
"Nzuri, jiandae tuwahi."
***
Saa mbili na nusu walifika hospitali yenye kutoa huduma ya DNA ambapo pia walimkuta mume wa Sulee…
"Za leo mkubwa?" mume wa Sulee alimsalimia mume wa Monica…
"Salama kaka, mzima?"


"Mzima sana. Naona tumewasili."
"Sana tu."
Sura ya Monicha ilionesha wazi kwamba haikutaka kusalimiwa na wala haikuwa tayari kupokea salamu kutoka kwa mtu mwingine.


"Shemeji vipi?" mume wa Sulee alijipa kichwa ngumu na kumsalimia hivyohivyo tu, aitikie, agome angejijua mwenyewe.
"Salama," Monica aliitikia kwa mkato, mumewe aligundua lakini hakuhusika naye kumuuliza kuna nini mpaka ameitikia salamu kwa staili hiyo.


Walipata huduma kwa kuchukuliwa vipimo muhimu ambapo Monica alichomwa sindano ya tumbo na kuchukuliwa sampo ya maji huku mumewe akichukuliwa vipimo vya kawaida.
"Majibu mje baada ya wiki mbili," alisema dokta.
"Sawa dokta, hakuna neno."
***
Mchana wa siku hiyo, Monica alikuwa kwenye chumba cha Dokta Kisarawe kwa mazungumzo muhimu…


"Kwa hiyo dokta kama nilivyokwambia, hapa sijalala. Mawazo yote ni kuhusu hicho kipimo je, kitasema mtoto wa nani wakati yeye kaenda kupima akaambiwa hana uwezo wa kuzaa?"
"Mimi ninavyojua, mtoto huyo tumboni ni kweli si wa mume wako."


"Nini dokta? Unamaanisha ni wa nani sasa? Maana mwanaume pekee niliyekutana naye kwa mwaka huu nje ya mume wangu ni wewe."
"Inaweza kuwa ya kwangu."
"Aaah! Dokta, lengo lako ni nini?"
"Ilitokea tuu!"
"Ili?"


"Unajua mazingira yalikuwa si ya kutafuta kinga Monica, sasa tungejikingaje? Halafu we shida yako si ilikuwa kupata mtoto kwa sababu mumeo hakuwahi kukupa ujauzito…"


"Sasa ndiyo we unipe kwa njia ya ukweli dokta?" alihoji Monica huku akianza kulia machozi.
"Ndiyo njia ninayoitumia Monica, hata rafiki yako Sulee pia ana ujauzito wangu."
"Ha! Kweli dokta?"
"Sana tu."


Kidogo Monica alijiona kama amepoa kusikia Sulee naye ni mjamzito…
"Sasa utanisaidiaje mimi kuhusu maji ya DNA?"
"Rahisi sana, ila kama uko tayari kusaidiwa twende gesti sasa hivi."
 
Hutu Sulee wa ajabu sana,sasa anaona wivu Kwani yeye hajui tiba aliyoipata ilipitia njia zipi? Au alijua Monica ata conceive kwa vidonge vya kuzugia alivyokuwa anabeba yeye?
 
DOKTA SIUMWI HUKO-5


ILIPOISHIA
Toka siku hiyo, Dokta Kisarawe akawa anashinda akila karanga pamoja na kunywa mchuzi wa pweza kwa wingi, yote hiyo akiwa amempania Sulee atakapokuja siku ya tatu, kwani aliamini kwa vyovyote vile ni lazima aende peke yake.
OGELEA NAYO SASA…


Kila mara Dokta Kisarawe hakuacha kumkumbuka Sulee…!
“Dah, yule ni mwanamke bwana…,” aliwaza Dokta Kisarawe jioni moja akiwa amejipumzisha.
“Halafu, si nilimwambia aje baada ya siku tatu…?,” aliendelea kujiuliza maswali mengi.
“Eeh bwana…Ina maana kesho yupo hapa…Afadhali, kesho nitabimbilika naye tena…,” akaendelea kujikumbusha mwenyewe ndani ya chumba hicho.


“Twende mbele, turudi nyuma, aisee yule ni demu…Na hata muumba aliposema nitakufanyia msaidizi, alimaanisha yule…Kweli tena, fuatilia sana…,” Dokta Kisarawe akazidi kuzama kwenye mawazo hayo ya kujibizana na nafsi yake.
Dozi kali ya mchuzi wa pweza na karanga mbichi kwa wingi alizokuwa akizitumia Dokta Kisarawe, ziliendelea kumuweka sawa kwa ajili ya mechi kali ya kukata na shoka siku atakapokutana na Sulee.
“Mume wangu si unakumbuka dokta alisema nirudi baada ya siku mbili…?,” Sulee alimuuliza mumewe baada ya siku hiyo kufika.


“Kha!, sasa mimi na wewe nani anapaswa akumbuke…?,” Masofa alimjibu kwa mkato na sauti ya kishari.
“Wote…,” Sulee naye akajibu kishari huku akimtupia jicho.“Halafu wewe siku hizi mtata sana…”
“Nakumbuka basi, unasemaje…?”
“Basi ni leo…”
“Sasa ulikuwa unauliza au kunitaarifu…?,” Masofa alijibu lakini safari hii akiwa ‘siriasi’ zaidi.
Maisha ya Sulee na Masofa ndani ya ndoa yao, yalikuwa yameshaanza kuingia dosari.


Hii ni kutokana na hali ya Sulee kutopata ujauzito.
Sulee alinyamaza na kuendelea na shughuli zake. Masofa naye akaondoka kwenda kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
Jioni ilipofika, Sulee alijiandaa kwa ajili ya kwenda kuonana na Dokta Kisarawe, moyoni akiwa amepania sana kupata tiba ya uhakika.
Akaianza safari ya kuelelekea kwenye zahanati ya daktari huyo. Alipofika alimkuta akiwa na mwanamke mwingine ndani, ikabidi asubiri nje.


Dakika moja baadaye, yule mwanamke aliondoka na kumpa nafasi Sulee kumuona Dokta Kisarawe…
“Niambie jamani…,” alisema Sulee huku akipanua mikono yake ili kumruhusu Dokta Kisarawe amkumbatie.
“Safi tu, mbona una furaha sana…?”
“Aah!, si nimefurahi kukuona jamani, au hupendi…?,” Alijibu Sulee wakiwa bado wanaendelea kukumbatiana.
“Sijasema hivyo, vipi kwema lakini…?”


“Kwema tu, naona ulikuwa na mwanamke humu, naye ana tatizo kama la kwangu…?”
“Hapana, kuna dawa nilikuwa namuelekeza, vipi mume mwenzangu mzima…?,” Alijibu Dokta Kiasarawe lakini mikono yake ikianza kukosa utulivu mwilini mwa Sulee.
“Aah!, jamani sa…saaa…,” Sulee alijaribu kuuliza lakini tayari joto la miili yao lilikuwa likimuendea ndivyo sivyo.
“Sasa kwani nini tena jamani…?,” Dokta Kisarawe aliuliza huku mikono ikiendelea kuutalii kwa utundu wa hali ya juu sana mwili wa Sulee.


“Aaa….h, mmh…,” Sulee alishindwa kuvumilia utundu wa mikono ya Dokta Kisarawe ambaye sasa alikuwa amemsogeza karibu kabisa na kifua chake kuliko hapo awali.
Mikono ikashuka hadi kwenye kiuno cha Sulee kilichobinuka vyema na kujitenga kwa juu.
Akawa kama anakibinya kimtindo, hali iliyomfanya Sulee apige ukelele wa kuashiria kuguswa yalipo maruhani yake.
Dokta Kisarawe hakuishia hapo, sasa akawa anaparaza kifuani na kuzigusa nido kimtindo…


Sulee akawa anajinyonga huku naye akirudisha mashambulizi kwa kummiliki Dokta Kisarawe.
Ikafika wakati kila wakishikana, wanakuwa wanalegezana nguo taratibu, baadaye kila mmoja alijikuta akiwa kama alivyokuja duniani.
Dokta Kisarawe akamuweka sawa Sulee kwa chini na kuanza kuchimba chumvi kisimani hali iliyozidisha uraha wa ajabu kwa Sulee.


“Yes, yesiii..yee..eee…siiiiii…..,” Sulee alizidi kuitikia kila alichoulizwa na Dokta Kisarawe.
Wakati akichimba chumvi, mikono ya Dokta Kisarawe ikawa bize na kifua cha Sulee, alizishika nido na kuzizungusha, Sulee akawa hana cha kufanya, akatoa macho yake meupe na kuyazungusha huku na kule.
Sulee aliposhindwa na uzalendo, akamgeuza Dokta Kisarawe na kuikimbilia maiki yake, akaishika vyema na kuanza kuimba nyimbo mbalimbali tamu.


Dokta Kisarawe akawa anasikilizia utamu wa mashairi ya Sulee kwa kufuatisha alivyokuwa akiimba.
Muda wa sebene ukawadia, kila mmoja akamuweka sawa mwenzake. Mechi kali ikaanza.

Duuuh hii story
 
DOKTA SIUMWI HUKO-23


ILIPOISHIA
"Yule msichana anaitwa Mwasiti, ina maana anatembea na baba Anode?" alihoji mume wa Monica akionekana kushangaa sana.
Tena ili kudhihirisha kwamba kweli walikuwa wote gesti, Mwasiti alikazana na kumfikia baba Anode ambapo walishikana mikono na kutembea kwa maringo kama wapo fungate.
TAMBAA NAYO SASA…"


Jamani, hawa ni majirani kabisa, tena yule msichana na mke wa yule bwana wanasukanaga kila mara. Loo! Dunia hii imefikia mwisho," mume wa Monica alikazia.
"Ndiyo ujue kikulacho kimaungoni mwako shemeji," alidakia Sulee huku macho yakiwa pima kwenye mlango wa gesti.


"Ha! Sulee na yule anayetoka sasa si yule kijana Hamis wa kwa mama Suedi?" mume wa Sulee naye alidakia.


"Ee, mwenyewe. Mh! atakuwa amekuja na nani na yeye jamani?" alihoji Sulee…
"Ooo, Mungu wangu! Ina maana Hamis ndiyo kaingia na mama ‘ake Mlokozi?" alishtuka Sulee.
Mshangao walioupata ulikuwa mkubwa sana, mama Mlokozi ni mtu mzima sana, Hamis ni kijana mdogo tu iweje wawe wapenzi?


"Ama kweli duniani kuna siri, si ajabu mke wangu hapo ulipo ukawa unatembea na yule kijana mpangaji mwenzetu, Salasala lakini mimi sijui," mume wa Sulee alifunguka, mkewe akacheka kicheko cha kinafiki…
"Usicheke nakwambia kweli."


"Sijacheka kwa maana unachoniambia si cha kweli, ila nimeshangaa kuona mawazo umeyapeleka huko mbali kabisa na mimi."
"Ukaribu wako ni kwa nani?"


"Jamani mume wangu, hebu tuangalie lililopo mbele yetu," alisema Sulee kwa sauti ya umakini.
Mara, akachomoka Monica kutoka ndani ya gesti ile, wote walimwona wakang'aka, mume wake akataka kupiga kelele lakini mume wa Sulee akamzuia akimwambia papara zitaharibu kila kitu.


Pale walipoegesha gari ilikuwa lazima mtu anayetoka kwenye gesti hiyo apite jirani yao kabisa lakini kwa sababu vioo vya gari hilo ni vya tinted haikuwa rahisi mtu wa nje kuona ndani…


"Ngoja tujue alikuwa na nani ndiyo biashara za kutoka, kupiga kelele au kuzomea itaanza," alisema mume wa Sulee kwa sauti iliyojaa ujasiri. Sulee alimtumbulia macho shoga yake huyo bila kujua cha kusema, alibaki akishangaa.


"Atakuwa na nani?" alihoji mume wa Monica kwa sauti ya kukwaruza…
Mara, kabla hajapata jibu ambalo hata hivyo halikuwepo maana hakuna aliyejua alikuwa na nani ndani ya gesti ile, mara nyuma yake Dokta Kisarawe alitokea…


"Ha! Kumbe alikuwa na Dokta Kisarawe," alisema kwa mshtuko Sulee, mumewe akaunga mkono, mume wa Monica akashangaa sana.


Baada ya kutoka, Monica alikuwa akitembea polepole ili kumsuburi daktari huyo aliyekuwa akitembea huku akichomekea sawa shati lake. Alitoa kitambaa na kufuta jasho lililokuwa likimtiririka.


"Da! Yaani jamaa ndiyo ametoka kulala na mke wangu?" alihoji kwa kuumia mume wa Monica.
Sasa Monica na Dokta Kisarawe walikuwa wakitembea sanjari, tena Monica akamshika mkono dokta kuashiria kwamba, mapenzi yake kwa dokta huyo ni makubwa sana.


"Sasa bro, wakifika usawa wetu wewe fungua mlango, halafu mke wangu amuite Monica, si ndiyo?" alisema mume wa Sulee.
"Sawa."


Walitulia ndani ya gari na kuwaangalia wanavyowasogelea ambapo wenyewe hawakuwa na habari yoyote.


Wakiwa wanataka kulipita gari hilo, Sulee alifungua mlango na kusema…
"Monica, mambo?"


Monica alishtuka sana, akatupia macho ndani ya gari na kumwona Sulee, alipotaka kuanza kuachia tabasamu akamwona mume wa Sulee, alipokaza macho akamwona mume wake.


Alianguka chini! Mume wa Monica na mume wa Sulee walishuka, Sulee naye akashuka ambapo Dokta Kisarawe alipoona hivyo, alitoka mbio lakini kutokana na unene, hakuweza kumwacha kwa mbali mume wa Sulee ambaye alimfikia na kumshika shati kabla ya kumpiga mtama na kuanguka chini…


"Wewe unajifanya mjeuri siyo, mke wetu utuchukulie halafu utukimbie?" alihoji mume wa Sulee.
"Jamani mimi sikuwa naye yule."
"Sasa mbona umekimbia?"
"Nimeogopa tu."


"Mbona alipokushika mkono hukuonesha kukataa?"
Swali hilo likawa gumu kwa daktari huyo, alijikuta akitumbua macho tu huku akihema kwa kasi ya ajabu.


Wanasema anayefumaniwa hupoteza nguvu hata kama ni baunsa, mume wa Sulee licha ya wembamba wake lakini aliweza kumkwida Dokta Kisarawe na kumtembeza hadi walipokuwa akina Sulee.
 
DOKTA SIUMWI HUKO-24

ILIPOISHIA
Wanasema anayefumaniwa hupoteza nguvu hata kama ni baunsa, mume wa Sulee licha ya wembamba wake lakini aliweza kumkwida Dokta Kisarawe na kumtembeza hadi walipokuwa akina Sulee.SASA ENDELEA…



Monica alikuwa hajazinduka, Dokta Kisarawe akawekwa chini akae pembeni ya Monica huku kazi ya kumpepea Monica ikiendelea ili azinduke…


"Katika hali kama hii shemeji halafu mwanamke aje kuniambia eti mimba ni yangu inawezekana kweli?" Mume wa Monica alimwambia Sulee…
"Kweli lakini shemeji. Inauma sana!"


Dokta Kisarawe aliinua uso na kumwangalia Sulee kwa sura inayosema…
"Hata wewe unaongea maneno kama hayo wakati mimba yako pia ni yangu?""Unaniangalia nini, kwenda huko?" Sulee alimkandia daktari huyo kwani alijua kwa pale hakuwa na ujanja wa kumfanya chochote wala kutoboa siri. Atoboe siri ale mkong'oto!


Katika hali isiyotarajiwa, mume wa Monica alimvaa Dokta Kisarawe kwa kumpiga teke la tumbo na mangumi ya kichwani hadi naye akaanguka na kupoteza fahamu…
"Siwezi kumlegezea mtu kama huyu, ameharibu ndoa yangu," alisema mume wa Monica huku akitaka kumwongezea kipigo lakini mume wa Sulee akazuia. Watu walianza kujaa eneo la tukio.


"Jamani kuna nini kwani?" Walihoji watu huku wengine wakiwa tayari wameokota mawe kutaka kumpiga Dokta Kisarawe.


"Ha! Jamani huyu si Dokta Kisarawe?" Mwanamke mmoja aliuliza kwa mshangao mkubwa.
"Ni yeye bwana," mwenzake alijibu halafu akaendelea kusema…
"Halafu mi nilijua tu jamani kwamba iko siku moja dokta atafumaniwa. Kutibu gani wagonjwa kila siku uko na wake za watu?"


"Mimi mwenyewe siyo siri niliacha kwenda kwake baada ya kunitongoza kila nikifika. Wengine dokta hatujaumbwa hivyo. Wewe kila mwanamke unadhani anaweza kukukubali?"
Mazungumzo ya wanawake hao wawili yalitoa mwanga mpya kabisa kwa akina Sulee, mume wa Monica akasema anataka kummaliza dokta kwa kumpiga risasi…


"Noo…nooo, usifanye hivyo," mume wa Sulee akamzuia.
Alipoona amezuiwa kwa tendo hilo, mume wa Monica akaomba watu watawanyike ili abaki yeye, Sulee na mume wake.


Watu walitii, wakaondoka lakini wengi walionekana kumkandia daktari huyo. Wapo waliodai wamewahi kusikia kwamba kuna daktari anapenda ngono na wake za watu. Wakati huo Monica alishaamka.


Sasa walibaki sita tu, wakamuomba dereva wa teksi aondoke akakae mahali ili wao waingie ndani ya gari. Walimbeba Monica hadi ndani ya gari, wakamwingiza na Dokta Kisarawe. Walikaa wote wakaenea…


"Dokta," alianza kwa kuita mume wa Monica…
"Naam."


"Ni kwa nini unatembea na mke wangu tena mpaka umempa mimba?"
Dokta Kisarawe aliangalia chini tu. Alijua ukweli wa madai ya mwanaume huyo…
"Monica," mumewe alimwita…
"Bee."


"Ni kwa nini uliamua kunisaliti kwa kutembea nje ya ndoa hadi kupata mimba?"
"Nisamehe mume wangu ni shetani tu."
"Sawa, labda nikuulize kitu kingine. Ni kwa nini uliamua kusema mimi ndiye mwenye mimba?"
Monica alibaki kimya, akaulizwa tena pia akabaki kimya. Kidogo mume wake amchape makofi…
"Si nakuuliza wewe mbwa."


"Monica si useme tu ukweli, kama kusamehewa usamehewe, unakatakata maneno ya nini?" Alisema Sulee, Monica akakasirika sana na kusema…
"Jamani, haya yote sababu kubwa ni Sulee."


"Ha! We Monica mwogope Mungu, sababu kubwa ni mimi kivipi?
"We si ndiyo ulinipeleka!"
"Halafu nikakutongozea kwa dokta?"
"Unajua mwenyewe."


"Sikia Monica, sidhani kama mimi ni mjinga kiasi hicho. Wewe mzigo wote huu ni wako, hakuna ubishi. Unapotaka kumsukumia mwenzako ni kutapatapa tu."
"Mwambie shemeji, nahisi kama anataka tufe wote."


"Siyo nataka tufe wote, kwani na wewe si una mimba ya Dokta Kisarawe."
Mambo yaliharibika! Monica alisema kauli nzito na mbaya, ni kama alichochea kuni kwenye moto wa kuni ulioanza kuzimika.


"Unaona Sulee…unaona? Sikukwambia mimi kwamba nahisi hata wewe hiyo mimba ni ya Dokta Kisarawe?" Mume wake alikuja juu.
"Jamani maneno ya Monica si ya kuyaunga mkono, amechanganyakiwa huyu mume wangu," alijitetea Sulee, msala ulishamwangukia.


Mume wake alimvaa mume wa Monica na kumnyang'anya bastola, akamwelekezea mke wake, lakini mume wa Monica akamuwahi na kumpiga mkono, ikaanguka chini.


Kuona hivyo, mume wa Sulee alitoka ndani ya gari, akaenda kuokota jiwe kubwa akawa anakwenda nalo kwenye gari ili ampige nalo mke wake. Yeye hakuonekana kuwa na haja na Dokta Kisarawe…
"Naua mimi, naua nasema," alilirusha jiwe hilo likatua kwenye mlango jambo ambalo mle ndani hakuna aliyetegemea…


"Mume wangu jamani siyo kweli," alisema Sulee akianza kulia. Tayari gari sehemu ya mlango ilikuwa nyang'anyang'a kwa lile jiwe na mwenye gari alikwenda mbali kidogo kwa vile mahali aliposimamisha gari hakukuwa na njia nyingine ya kutokea zaidi ya ile aliyoelekea yeye kwa miguu…


"Mtasha mbona umekuwa mstari wa mbele sana kunizuia mimi nisifafanye uhalifu, inakuwaje wewe unashindwa kujizuia?" Mume wa Monica alisema akimwita mwenzake huyo kwa jina lake la utani.
Mara, mwenye gari alitokea…
 
Itaendelea saa tatu a nusu ili kumalizia stori hii
 
Tumerudi tena tuendeleee kupata uhondo
 
Back
Top Bottom