Mweeeeh....
Unaweza ukawa unamatatizo mengine yote anatibu tu usijal
Mmmh mimi ninayo hayo macho?
Mmmh! nitajuaje sasa haya haya ndo yanasema ai lavu yuu au vipi
Sanaaaaaaa! utamu wa vanilla
kwa vitu vya docta kisarawe lazime uzimie!
morning my don.
sory for late reply,how are u my tinna cute? adondoshe stor nyingine watu tupenzike mamy
Mweeeeh kumbe madokta wana mambo