Elisa Sanchez awatoa machozi mashabiki zake baada ya kuamua kuwa refa wa mpira

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,434
1710651672964.jpg

Aliyekuwa Muigizaji maarufu video za ngono (pornography) Elisa Sanches ameacha rasmi kazi hiyo na kuamua kuwa mwamuzi wa Mchezo wa mpira wa miguu nchini Brazil. Mwamuzi Huyo kwa Sasa anaishi katika Mji wa Rio de Janeiro,anapatiwa mafunzo kamilifu na FERJ na imeonekana yupo tayari kuanza kutumika katika challenge mbalimbali za mpira wa miguu.

Mwanadada huyo ameyasema haya kuhusu uamuzi wake wa kuwa refarii mara baada ya kuacha kucheza pornography:
"Ndoto ya kuwa mwamuzi kwangu ipo Toka nikiwa mdogo,maisha yalisababisha nikaiacha ila kwa Sasa nimeona ndio wakati sahihi wakutimiza ndoto hii na mwisho nimeianza kutimiza na nipo tayari."
[UOL] [ Enock Kobina Essel Nicollo Makavile]

Source: Derek Katey Caesar

#Juzika
 
Back
Top Bottom