Dogoz za Kizanzibar

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
0
Waungwana nasikia kuwa dogozi za kizanzibar ni balaa kitandani je ni kweli?
 
kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,570
2,000
wanawake wa kizanzibari wanajua kupenda.ila dunia ya leo kidogo imebadilika.kwa mapishi ndio wenyewe,na wanajua kubembeleza mapenzi,na katika.i ndoa ni wavumilivu sana.ila tatizo lao wanapenda kuwa house wife,kidogo si watu wa kupenda kazi.Ukiwa nae ndani,utahudumiwa haswa.Utapewa huduma zote
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,558
2,000
wanawake wa kizanzibari wanajua kupenda.ila dunia ya leo kidogo imebadilika.kwa mapishi ndio wenyewe,na wanajua kubembeleza mapenzi,na katika.i ndoa ni wavumilivu sana.ila tatizo lao wanapenda kuwa house wife,kidogo si watu wa kupenda kazi.Ukiwa nae ndani,utahudumiwa haswa.Utapewa huduma zote

hiyo ndio kazi ya mwanamke ndio waliyoumbiwa hiyo, Huyo ni msaidizi wa mwanamme,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom