Zamani ilikuwa ukitaka mali utapata shambani, sio siku hizi...

Kilimo Kwanza, shule itajiju.
Vipi kuhusu shule
Huyu katumwa na baba yake arudishe jembe nyumbani yeye kapitia pombeni.Jembe kubwa kuliko yeye atalinyanyua kweli?[/QUOTE]
Kwani hapo analiburuza?

Tofautisha kunyanyua na kubeba wewe binti mdogo anaweza kubeba baunsa lakini hawezi kunyanyua