Dogo na mia tano mbili

Eulers

Member
Sep 18, 2013
51
31
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!
.
.
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
 
Ha ha haaaa natamani watu wote tungekua na umakini huo wa kufuata maelekezo kwenye mambo yote tunayoyafanya. Tatizo siku hizi tunaanza kwanza kufanya, tukikwama ndio tunaangalia manual/ user guide inasemaje? Nimecheka sana mkuu.
 
Ningemkwaruza makofi asee, sasa kwani mpaka iwe,mia tano ile allocated kununua kitu flan bila kujali namba za noti??? Dogo mfyuuu zake kbs
 
Ha ha haaaa natamani watu wote tungekua na umakini huo wa kufuata maelekezo kwenye mambo yote tunayoyafanya. Tatizo siku hizi tunaanza kwanza kufanya, tukikwama ndio tunaangalia manual/ user guide inasemaje? Nimecheka sana mkuu.

Dogo ni genius nimeiona hii pahali nika comment kama hapa...

Anafuata instructions!

Dogo ni instructable!
 
Back
Top Bottom