Dunia ilivyoumbwa huwezi wakosa watu kama haoHama hapo unapopaita kijiweni,utakuja kuishia pabaya,
Mtu anakwapua simu za watu unamuita very smart? Huyo dogo hajakutana na watu bado,ngoja akutane na watu kama hujampost na mishumaa.
mtu anaiba na kutembea na sime na mapanga ndio unampamba hivi,Sio muonevu anaendaga uko anarudi na mazaga alishaga fungwa
Sio muonevu anaendaga uko anarudi na mazaga alishaga fungwa
Umeelewa nilichokiandika lakini? Nimekutahadharisha kukaa mbali na huyo dogo,pia huo ujinga na hatari anayo ifanya sio ya kumsifia,Dunia ilivyoumbwa huwezi wakosa watu kama hao
Hawezi kukwapua ya ndugu zanguUmeelewa nilichokiandika lakini? Nimekutahadharisha kukaa mbali na huyo dogo,pia huo ujinga na hatari anayo ifanya sio ya kumsifia,
Siku akikwapua simu ya watu wa familia yako utamsifia bado? Akipigwa kiberiti utaendelea kumsifia? Watu wa hivyo hua hawana mwisho mwema.
Wamatumbi tumekuja humu duniani kusindikiza wengine waishi🚮Ata mafisadi wanakwapua mbona mkuu kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba
Wajiandae kuna siku watapata taarifa dogo kauwawa alikamatwa na polisi akajaribu kumshambulia kwa silaha askari. Kisha Askari akamuwahi.Unasifia ujinga. Jiandaeni na lolote baya mtaani kwenu