Dogo katoka Analogy hadi Digatal kwa style

Dogo katoka Analogy hadi Digatal kwa style

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
1505751753152093999.jpg
 
Jamaaa dizain mariooo fulani!lkn tunawatakia maisha mazito ktk beka Yao

Ova
 
Mume kapotea sanaa uke unabadilika na kuharbika ataukimbiaa huo
 
Asee kupiga picha sasa itabidi tuwe makini la sivyo kuna siku tutashangaa... Sijui watu wanafukunyua wapi picha hizi.
 
Ila dogo anaonekana SUKARI flani hivi ya WAREMBO!!
 
wanataka watu waanza kupigana ngumi huko honeymoon! akizipata picha hizi huko huko hanemuni lazima flora amnyime unyume siku walau moja adi atoe maelezo ya picha hizo. siajabu alimficha.
 
Back
Top Bottom