Ukiwa mtengenezaji magari, nyumba ! Halafu ukawa na kipaji hiki tangu mapema ni added advantage;Hv nn tofaut kat ya engineering na arts ka vyote vinahusisha creativity? Hapa kwetu naona anaechora picha ya gari anachukuliwa kama anaweza kutengeneza gar akiendelezwa!!!
Hukupata wa kukiendeleza kipaji chako! Nenda kawatembelee wanafunzi wa architecture Ardhi University uone wanavyo kesha kukata maboksi wanaita kutengeneza models!unaishi wapi wewe hata usione watoto kibao wanatengeneza maboksi hayo, mi mwenyewe nimetengeneza sana hayo utotoni na haikua kipaji ni akili za kawaida tu kuangalia na kubandika bandika, angetengeneza kitu ambacho sijawahi kuona hapo kweli ningesema kipaji , wabongo acheni shobo, kwa hiyo unataka aendelezwe kutengeneza viwanja vya maboksi ? au unasema wale watoto wote wanaotengenza magari ya maboksi mtaani wanaweza kutengeneza gari ? au wanaotengeneza midoli ya udongo wanaweza kutengeneza robots ?
Inaonekana shule ulienda tu ila haikukusaidia kufuta ujinga.Ungejua technology unayoiona leo ilipoanzia usinge andika upupu wako.Au soma tena ulichoandika utafakari halafu andika tena labda utaandika kitu tofauti na ulichoandika.Binadamu ameambatana na mabadiliko daima na anapopewa nafasi anakua zaidi na kinyume cha kupewa nafasi ni kudumaa watoto wengi kwenye jamii yetu tumedumaza uwezo wa fikra na hivyo tumeua uwezo wa ubunifu.Matokeo hakuna ufanisi kiutendaji.Halafu aliyekuambia kuiga kitu fulani kwa kukiboresha ni vibaya ni nani?Hebu waza kama ugunduzi wa magari au ndege ungebaki Marekani leo dunia ingekuwaje?Lakini leo kwa kuona magari na ndege za Marekani mataifa yote yaliyoendelea yanaunda za kwake sababu ni hawakudumaza ubunifu kama sisiunaishi wapi wewe hata usione watoto kibao wanatengeneza maboksi hayo, mi mwenyewe nimetengeneza sana hayo utotoni na haikua kipaji ni akili za kawaida tu kuangalia na kubandika bandika, angetengeneza kitu ambacho sijawahi kuona hapo kweli ningesema kipaji , wabongo acheni shobo, kwa hiyo unataka aendelezwe kutengeneza viwanja vya maboksi ? au unasema wale watoto wote wanaotengenza magari ya maboksi mtaani wanaweza kutengeneza gari ? au wanaotengeneza midoli ya udongo wanaweza kutengeneza robots ?
Ukitulia utagundua hicho kitu alichofanya kina maanisha nini kwenye maisha yake hapo baadae. Usipende kuangalia hapa hapa.Kuna kipaji gani hapo? hayo maboksi watoto wote wanaweza kutengeneza mtaani.
Ndiyo maana mtu akitumbuliwa tunashangilia hata bila kujua sababu.Duh why wabongo tumekaa ki-hater hater muda wote.
Panga na wewe basi tuyaone acha u-snitchKapanga mabox hayo kwa kuiga unasema katisha?
Mola aingilie kati walahi duh!Duh why wabongo tumekaa ki-hater hater muda wote.
yan kuna watu bhn wanajifanya kama vile hawaelewi kabisaHuna macho??
TrueKuna post jukwaa la jokes nadhani ni ukweli unaoishi.Ukiona unachukia chukia tu bila sababu mafanikio na matarajio ya wengine na huna sababu ya kufanya hivyo tambua wewe ni mchawi na una roho ya kichawi inaishi ndani yako.Labda ulichokosa ni tunguli tu.Hao madogo wanaoweza kuchonga hivyo mtaani wako wapi?mbona hawachongi?tofautisha kuchora na kuchonga.Kama wapo jamii ambamo wewe pia umo inafanyaje ili kuendeleza vipaji vyao?Mmesha muona mtoto ni mbunifu na msanifu majengo nyie mnampa sahani ya miguu ya kuku akauze badala ya kumsaidia akuze ndoto yake iwe kubwa zaidi na kuwa msaada zaidi.Lakini kama mnawaona wapo nanyi mnachukulia kawaida au ni michezo ya kitoto tu nyie ni wachawi kasoro tunguli mnaua wengine kwa kutokuchukua hatua na kuwajibika hata tu kuwaonesha kwa wengine wenyemaono zaidi ili kuwasaidia na kuwajenga watimize ndoto zao.Halafu jnakuja kifua mbele eti hakuna kipaji wewe mwenye kipaji umeunda nini?Uchawi tu
nimependa reaction yako na jinsi inavyojenga.Kuna post jukwaa la jokes nadhani ni ukweli unaoishi.Ukiona unachukia chukia tu bila sababu mafanikio na matarajio ya wengine na huna sababu ya kufanya hivyo tambua wewe ni mchawi na una roho ya kichawi inaishi ndani yako.Labda ulichokosa ni tunguli tu.Hao madogo wanaoweza kuchonga hivyo mtaani wako wapi?mbona hawachongi?tofautisha kuchora na kuchonga.Kama wapo jamii ambamo wewe pia umo inafanyaje ili kuendeleza vipaji vyao?Mmesha muona mtoto ni mbunifu na msanifu majengo nyie mnampa sahani ya miguu ya kuku akauze badala ya kumsaidia akuze ndoto yake iwe kubwa zaidi na kuwa msaada zaidi.Lakini kama mnawaona wapo nanyi mnachukulia kawaida au ni michezo ya kitoto tu nyie ni wachawi kasoro tunguli mnaua wengine kwa kutokuchukua hatua na kuwajibika hata tu kuwaonesha kwa wengine wenyemaono zaidi ili kuwasaidia na kuwajenga watimize ndoto zao.Halafu jnakuja kifua mbele eti hakuna kipaji wewe mwenye kipaji umeunda nini?Uchawi tu
wewe umewahi tengeneza au mwana ukoo wako ametengeneza, penda kutambua mchango wa wengine hata kama ni wa kukwambia usikae hapo kiti kinavumbiKuna kipaji gani hapo? hayo maboksi watoto wote wanaweza kutengeneza mtaani.