Dogo Janja.!

Dogo Janja.!

Hili dada kuna siku nilikutana nalo hotel moja hapa Dar, nikaligonga aisee hadi mwili ulisisimka
"Kuligonga" tungo tata mazee. Funguka.

Umeligonga mmegusana katika kupita njia hotelini au umeligonga kunako kwenyewe?
 
beebcd208e47f209b4f0d310bf5beb5f.jpg
Dogo jilie mzigo taatiib; wenye wivu......
 
Yani hili li Dada nazan janjaro anaanzia kupiga deki kwenye unyayo hadi uvinza ...daaahh aseee mwacheni tuu ngarenaro apige kiterero[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
....Juzi nilipita Moshi na Arusha aisee jamaa ni wabunifu, konyagi jibapa wanapima kwenye toti za mia tano na za buku...
Na bange je ubunifu wake ni upi?
 
Hawa wahivi hata vyombo hawawezi kuosha. DJ ajiandae kuwa house boy wa huyu manzi
 
sio siri mizuka na rangi za papai huwa sina tena bora iwe amezaliwa nayo, hizi za kununua huwa kuna kipindi ukilikunja kisawa sawa make up zote zinalegea aisee unadhani unaatazamana na unyao wa nyani au sokwe mtu. Mungu nisamehe
 
....Juzi nilipita Moshi na Arusha aisee jamaa ni wabunifu, konyagi jibapa wanapima kwenye toti za mia tano na za buku...
Mkuu ni Tanzania nzima kwa sasa,mbadala wa kiroba umekuwa toti tena TDL wametoa kabisa grasi zao za kupimia...zama zmerud kama mwanzo jero unajibust...!wakurupukaji oyeee[emoji15]
 
Mkuu ni Tanzania nzima kwa sasa,mbadala wa kiroba umekuwa toti tena TDL wametoa kabisa grasi zao za kupimia...zama zmerud kama mwanzo jero unajibust...!wakurupukaji oyeee[emoji15]
[emoji23] [emoji106]
 
Back
Top Bottom