Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
KIONGOZI MWAGA VYOMBO TUMEKUCHAGUA KWA KURA ZETU NA UTUTETEE KWA KURA ZETU
HATA MKIITAFUNA MOJA TUNAZO NYENGINE 11
Mzee pinda ana sura ya kiume Mwanamme kuwa na sura mbaya sio tatizo unataka Mzee wangu Pinda awe na sura ya kike? Acha maneno yako wewe mkuu Gwangambo
Zitto ndani ya combat inakuaje?
Au bado ni CDM dam dam.
Zitto ndani ya combat inakuaje?
Au bado ni CDM dam dam.
halafu uyu mizengo jeuri sikuizi sijui anaipata wapi,halii tena naona pesa ya escrow imempa jeuri,asubuhi bungeni amesema bado hajaaamua kujiuzulu mpaka bunge liishe
Pinda sura mbaya limemshuka, kazidi uwa mzee, kawa mdogo sio kuliko piriton bali Digoxin, Lazima huyu Babu ni mwanga.