Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Selkali haiwezi kukupangia comb ambayo haipo unadanganya kama haikuwepo awali jua ndio inaanzahabari humu ndani,nina mdogo wangu kamaliza four ila kapangiwa shule na comby ambayo hakuchagua. Na cha ajabu hata hiyo comby aliyopangiwa kwenye hiyo shule aliyopangiwa haipo.
Je inawezekana kuhama??? from government to government(school)
comby ya PCB imebalance vibaya mno na ndo anayoitaka.
yani hali,ye ni kulia tu mda ote.
Msaada please,ushauri wenu,what to do?
na kama kuhama haiwezekani please naomba mnitajie shule za private sayansi zenye ada nafuu.
Ww unaijua serikali ya Vyerehani vinne ni Kiwanda?Selkali haiwezi kukupangia comb ambayo haipo unadanganya kama haikuwepo awali jua ndio inaanza
Wwnamaliza wadogo sana,mimi ninaye hivyo hivyo,ni tabu tupu,ukiwaambiya hawakuelewi.anza nae kwa makofi maana 4m4 leaver si wa kulialia hovyo tatizo vinamaliza na 13years
kung'uta makofi mkuu maan hakuna namnaWwnamaliza wadogo sana,mimi ninaye hivyo hivyo,ni tabu tupu,ukiwaambiya hawakuelewi.
Kitu cha kwanza hakikisha uwepo wa combi hiyo hapo shuleni. Tafuta mawasiliano yao. Kama kweli haipo ina maana kuna kosa la kiufundi limefanyika na hapo usisite waone wahusika uso kwa uso wakilisha issue yako. Hujasema ufaulu wake kwa PCB ukoje? Ukieleza utapata ushauri kama ufaulu wake kwa shule za serikali atapata PCB. Kama ana ufaulu mzuri basi pata majibu kutoka kwa wahusika. Uhamisho unawezekana. Short cut aombe private kama uwezo upo.habari humu ndani,nina mdogo wangu kamaliza four ila kapangiwa shule na comby ambayo hakuchagua. Na cha ajabu hata hiyo comby aliyopangiwa kwenye hiyo shule aliyopangiwa haipo.
Je inawezekana kuhama??? from government to government(school)
comby ya PCB imebalance vibaya mno na ndo anayoitaka.
yani hali,ye ni kulia tu mda ote.
Msaada please,ushauri wenu,what to do?
na kama kuhama haiwezekani please naomba mnitajie shule za private sayansi zenye ada nafuu.
Asisumbuke na ujinga wa kusoma diploma.Hii nchi usiposoma A level utanyanyasika sana kupata nafasi ya chuo kikuu!Kama ikiwezekana asiwaze kabisa kusoma diploma.Apigane akasome digrii.akimaliza diploma ataweza kuendelea na chuo kama kawaida au?
Halafu kuipata hiyo ni kwa neema tu,akili hazina nafasi kabisa!ukumbuke nako gpa ni 3 sasa mshaurini tu diploma aje alie...
elimu bado pasua kichwa sana ufaulu mkubwa sijajua una determine kitu kip maana uozo makazin hautokwisha kwa kuongeza marks....Halafu kuipata hiyo ni kwa neema tu,akili hazina nafasi kabisa!
.Mkuuu ushauri wangu kwako na kwa mdogo wako mtafutieni chuo cha maswala ya Afya akasome zake Diploma kwa miaka 3 akimaliza hapo anze kupambana na ajira
mtaani..form 5 & 6 kwa hali ilivo sasa na vipato vyetu vya kati sioni kama ni big ishu sana.. as long as mtoto kafanya vizuri masomo ya sayansi kwa o level..
Hivo ndivo nionavyo na niaminivyo mimi...