Dogo gani katoka chicha?

Dogo gani katoka chicha?

Dah! dogo kweli sharo baro. hapo ni mtoto tu. Je akikua atakuwaje?
 
Huyo wa kati mimi ndo nimemkubali, wa ukwe........li
 
Chicha = kupendeza, jamani msishangae kiswahili ndio kinakua hivyo misamiati inatoka kila siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom