Dogo Anawaza Mbali Sana

Labda anawaza akiwa mkubwa atapata fedha nyingi, atawajengea wazazi wake nyumba bora nk.......
 
Anawanza iwapo mzee wake atarudi na kipande cha muhogo ili azime njaa!.Maisha ya kitoto ni mazuri kwani ni kitu kimoja tu ndio mbele, tumbo lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…