Dogo anapika

Hatari nyingine hizi tunazitafuta wenyewe, yani fensi ya nyasi alafu moto upo jirani kabisa
 
Hatari nyingine hizi tunazitafuta wenyewe, yani fensi ya nyasi alafu moto upo jirani kabisa
mkuu sijui umegunduaje,yaani hapo upepo ukivuma kwa nguvu na kupeleka moto kwenye nyasi basi ni hatari sana
 
Hatari nyingine hizi tunazitafuta wenyewe, yani fensi ya nyasi alafu moto upo jirani kabisa
Exactly hii ni disaster mkuu, wabonge hawazuii majanga bali wanataka kuokoa baada ya majnga kutokea...hii ni hatari sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…