Dogo anamaliza certificate ya maendeleo ya jamii, aajiriwe au aendelee?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Shalom wapendwa
Nina ndugu yangu anamalizia certificate ya maendeleo ya jamii
Sasa ajira huwa zinatoka na wenye certificate huwa wanapata wengi
Sasa anataka aendelee kusoma diploma ama akaajiriwe
Sasa hao maafisa maendeleo ya jamii kwa level ya cheti wanalipwa shilingi ngapi kwa mwezi??
Naomba kujua
 
Kutokana na ugumu wa ajira akipata kazi afanye huku akijiendeleza Open University....

Kwa mshahara wao ni mdogo sana. Not more than laki 2...
 
Kwa ushauri wangu wala usiulize mshahara muache dogo aendelee kusoma na kama hali ya kiuchumi inaruhusu akimaliza diploma aunganishe na shahada ya kwanza (5-6yrs). Baada ya hapo angalau ndo muanze kufikiria kuhusu ajira
 
Ajira zenyewe magumashi,Mimi nilimaliza diploma ya maendeleo ya Julie 2014, nilitafuta ajira zikakosa nikaishia kubeba zege mtaani.uzuli form four yangu nilifaulu masomo ya sayansi sasa hivi Niko nasoma diploma afya,mwache aendelee kusoma aongeze orpotunity
 
Aajiliwe ili atanue uwanja wa ajira coz its luck anapata ajira na certificate akat watu wanahustle na degree mtaani.....aajiliwe!!!!!!
 
Back
Top Bottom