Dogo ana miaka 6 ila hizo bikini noma

Dogo ana miaka 6 ila hizo bikini noma

mbali na video wimbo anaoimba sasa,unaitwa ''booty pop''
 
ndio basi wanamsosea sosea hapo unafikiri kuna mtoto tena ni laana tu imebakia
 
ndio basi wanamsosea sosea hapo unafikiri kuna mtoto tena ni laana tu imebakia

Hamna kitu tena labda rehma za mungu tu wenziwe 6 yours old wanacheza hide n seek na michezi mengine ya kitoto ya ku enjooy yeye yupo na booty tu so sad
 
Heeeee! wadada sie, sijui njaa au nini, mimama mizima inaneng'eneka mauchi uchi mbele ya mtoto, kwanza viuno vyenyewe vigumuuu. Arghaaaaa!
 
Kuna dogo mwingine anaitwa lil poopy ni kwere tupu huyo dogo anamiaka sita na yeye, yuko coke boyz na wakina french montana
 
Kuna dogo mwingine anaitwa lil poopy ni kwere tupu huyo dogo anamiaka sita na yeye, yuko coke boyz na wakina french montana

Nimeona aisee huyu kapinda kabisa,duh nilikuwa simfahamu
 
Heeeee! wadada sie, sijui njaa au nini, mimama mizima inaneng'eneka mauchi uchi mbele ya mtoto, kwanza viuno vyenyewe vigumuuu. Arghaaaaa!

Mi pia nilijiuliza hao madada kwanini wakaamua hayo mauno,dah
 
Duh..... hakifikishi miaka ishirini huyo mtoto.. UKIMWI
 
Back
Top Bottom